Umri wa kuishi aliosema Mungu mwenyewe kwa kinywa chake ni miaka 120. Kwanini mnakomaa na miaka ya tabu ya 70-80?

Kwahio alikasirika na kuchukizwa na kilichotokea baadae wakati kuanzia mwanzo alijua watakachofanya ? Sasa alikasirika nini wakati it was / is written ?

Na kama alikasirika then kwahio kesho anaweza akafurahi na kuamua miaka iwe elfu 2 badala ya hio 120 au 70 ?
 
Wewe ndiye huelewi. Soma vizuri ulelewe. Hilo la miaka 120 ni Mungu alisema na aliyeandika ni Musa pia. Na hilo la miaka 80 ni yeye Musa aliandika. Tofauti iko hivi:
Umri wa miaka 120 ni wastani wa umri wa kuishi aliyoweka Mungu akishusha umri kutoka miaka 800 kutokana na dhambi za wabadamu. Lakini pia ni Unabii ya kwamba Mungu amewapa watu miaka 120 jabla gharika kuja.
Lakini hilo la miaka 70 ni wastani wa umri wa mtu wakati wa Musa. Ni miaka mingi baadaye. Hiyo inaitwa Life Expectancy. Hii kwa sasa ni tofauti baina ya nchi. Kwa Tanzania hatufiki hiyo 70.
 
"ha" "he" "hi" zako zimezidi.Au wewe ni mu"hehe"?
 
And in that case, ceteris peribus mtu akifika 50-60 yrs old anatakiwa kuwa bado kijana kijana au mtu wa makamo still ana nguvu za kutosha , azeeke kuanzia 90+ na hatimae kikongwe around 100+ haaah nawaza tu
 

😂😂😂😂 get confused huh? Nikuache na hii hadithi ya mtume wa ulimwengu mzima kipenzi cha Allah (the almighty) si mwingine ni mtume muhammad (peace be upon him).


(رواه الترمذي وابن ماجه)



Translation:

"The lifespan of my Ummah is between sixty and seventy years, and few among them go beyond that."
(Related by Tirmidhi and Ibn Majah)


Kiswahili
urefu wa maisha (umri wa kuishi) kwa umma wangu ni kati ya miaka 60 hadi 70 na ni wachache kati yao wataishi zaidi ya umri huo.


This hadith highlights the general average lifespan of this Ummah as conveyed by the Prophet Muhammad (peace be upon him).
 
Kwahio alikasirika na kuchukizwa na kilichotokea baadae wakati kuanzia mwanzo alijua watakachofanya ? Sasa alikasirika nini wakati it was / is written ?
Sijui kama ulinielewa, nilieleza kidogo kutokea HESABU 32:11 na ZABURI 90:10. Unaposema alikasirika nini wakati it was/is written, hapo ndo nashindwa kulipata swali lako. Labda pengine nikusaidie kitu kingine, sio kwamba kilichoandikwa kwenye kitabu cha HESABU kiliandikwa years before ZABURI 90, compilation ya hivi vitabu is not necessarily in chronological order.

Na kwenye HESABU 32:11 ni Mungu anawaadhibu Israeli sio kila mtu duniani, na ZABURI 90 ni maneno ya waisraeli wakijisemea wenyewe baada ya kuadhibiwa sio Mungu anasema kwa entire humankind (though kwenye tafsiri ya maandiko kuna kitu tunasema a single prophecy can have multiple fulfillment).

Na kama alikasirika then kwahio kesho anaweza akafurahi na kuamua miaka iwe elfu 2 badala ya hio 120 au 70 ?
Nadhani maelezo ya hapo juu yanaweza kuwa yamejibu swali lako hili, Kesho ipi tena unazungumzia alishamaliza project ya kuwatoa Israeli utumwani Misri zamani sana wakati ambapo taifa lilikuwa a theocracy, wala hawana maongozi ya moja kwa moja kutoka kwa Mungu kama ilivyokuwa zamani.
 
It does not matter kipi kiliandikwa wakati gani kama mawazo au ni nukuu kutoka sehemu moja..., na kama kilishaandikwa hata kabla hakijatokea kwahio mtiririko lazima unaeleweka ni kama maji unajua yatapita kwenye vijiji vitano kabla ya kuingia baharini huwezi kushangaa yanapoingia baharini na ukauliza kwanini yameingia ziwani wakati ulijua yataingia ziwani... (Thus Kukasirika baada ya fact which was according to the facts; kama watu wanavyoamini kila kitu kimepangwa)
Kwahio tukirudi kwenye Mada husika hio miaka walipangiwa waisraeli, dunia nzima au kina nani.., na watoto wanaokufa kwa uzembe huku bongo wapo katika hesabu gani ?
Kama alianza project kwa kupanga watu waishi miaka 120 alafu namba ikabadilika sababu ya kutokutii kwa waisraeli na kuwa hio 70 basi huenda na kesho tukitii sana atafuta na kufanya miaka kuwa 500 (ingawa ikiwa miaka 500 ni vema tukaangalia what technological na medicinal advancements tumefanya kama binadamu na sio hasira, huzuni au furaha kutoka popote)
 
Mungu hakukurupuka tu kuwaadhibu, aliwatoa kwenye utumwa mbaya sana, aliwaonesha ukuu wake kwa kuwapiga waliowatumikisha kwa mapigo 10, aliwafanya kuteka vyombo vya thamani ingawa ni watumwa, aligawanya bahari ikawa njia kwa ajili yao, aliwapa chakula cha kushuka kutoka mbinguni kilichoitwa mana, aliwapa maji kutoka katika mwamba uliokuwa jangwani n.k.

Kwa hiyo Mungu alishafanya kazi kubwa ya kutengeneza mahusiano na hawa watu na alishajitambulisha kwamba ana uwezo wote, na pamoja na hayo bado aliwasamehe kwa kuwavumilia mara nyingi walipomkosea. Hakukuwa na sababu ya wao kuacha kumwamini Mungu na kulalamika wakati huu ambao wanakutana na majitu hodari.

Hawa watu walishapewa vitu vingi na Mungu, hata wewe unapokuwa na mahusiano na mtoto wako mfano kwa kumpa kila anachohitaji, unategemea upendo huo u reciprocate. Pamoja na kwamba walitumia their free will kuamua kutomwamini Mungu lakini kulikuwa na consequences zake as well. Neema ya Mungu ina kikomo leo hii watu wanamdharau Mungu lakini bado kuna mlango wa kurejea kwake ikifikia kikomo basi neema ya kutubu nayo inakoma.

Kwahio tukirudi kwenye Mada husika hio miaka walipangiwa waisraeli, dunia nzima au kina nani.., na watoto wanaokufa kwa uzembe huku bongo wapo katika hesabu gani ?
Nilishaeleza, hiyo miaka 70/80 ni response ya waisraeli baada ya kuielewa adhabu waliyopewa, maana wakipiga hesabu mtu ambaye ata consume miaka yote 40(maana adhabu ilisema watakaa hapo ndani ya miaka 40 mpaka kizazi chote cha uasi kiishe) na kama wakati huo akiwa ni kijana mwenye nguvu wa kusimama vitani miaka 30 au 40 ndo atafikisha hiyo miaka 70/80.

Hiyo haikuwa kwa dunia nzima ni wao tu lakini nikaweka caution kwamba kwa sababu Mungu aliruhusu maneno hayo yawepo kwenye neno lake na kwa sababu unabii una kawaida ya kuwa na multiple fulfillment yawezekana hiyo miaka 70/80 ika apply kwa wanadamu wote kama mtu atai analyse vizuri kutumia mistari mingine maana Biblia hutafsiri Biblia.

Kufa kwa uzembe ni kufa kwa uzembe sio kila kifo ni mpango wa Mungu haijalishi anakufa akiwa mtoto au mtu mzima

Unatakiwa uelewe in which disposition we as human beings live today in relation to God, then utajua you are framing an argument out of invalid presupposition. Kurahisisha tu niseme kipindi tunachoishi ni kipindi ambacho Mungu hutengeneza mahusiano na mtu mmoja mmoja na hukumu pia inafanyika kwa mtu mmoja mmoja. Lakini baraka au hukumu ya Mungu hutegemea na kama mtu ana mahusiano na Mungu. Nilitangulia kusema mpaka Mungu anawaadhibu Israeli tayari alitengeneza mahusiano nao kama taifa.
 
Wewe unaongelea zaburi AGANO la kale,

Ujio wa Yesu kimwili duniani,alipokufa na kufufuka,alirudisha umilele Kwa WANADAMU, tuishi tena milele kama Adam wa ndani ya Eden. Unahitaji tu kumkiri Yesu Ili uishi milele.

Mimi Rabbon ninaishi milele. Kifo hakuna tena nguvu juu yangu.

NB: Mtu ni ROHO, anayo NAFSI na anaishi ndani ya MWILI.

Ikiwa hujampa Yesu maisha Yako, fuatisha Sala hii,

EE MUNGU KATIKA JINA LA YESU KRISTO, NINAKUKIRI WEWE KUWA BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU, NINATUBU DHAMBI ZANGU ZOTE, NINAOMBA UNISAMEHE, ULIFUTE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA HUKUMU, ULIANDIKE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA UZIMA, NIPE UWEZO WA KUISHI MAISHA MATAKATIFU, DHAMBI ISINISHINDE, UOVU USINISHINDE, ULEVI USINISHINDE, NINAOMBA HAYO KUPITIA JINA LA YESU KRISTO ALIYE BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU.

Aliyeelewa na asemwe Aaaamin.
 
Yuda 1:14

BWANA atakuja pamoja na WATAKATIFU wake maelfu elfu.

.....Mwisho wa kunukuu.....

Ndipo ujue wamwaminio Mungu hawafi sababu mtu ni ROHO,

Wamwaminio Yesu/ Mungu wanaoishi hai hata Sasa na Milele Mbinguni.
 
Watu wakisoma hii wanasema there was a misunderstanding. How can someone live so long.

When Adam had lived 130 years, he had a son in his own likeness, in his own image; and he named him Seth. 4 After Seth was born, Adam lived 800 years and had other sons and daughters. 5 Altogether, Adam lived a total of 930 years, and then he died.

6 When Seth had lived 105 years, he became the father[b] of Enosh. 7 After he became the father of Enosh, Seth lived 807 years and had other sons and daughters. 8 Altogether, Seth lived a total of 912 years, and then he died.
 
Adam kabla ya kufukuzwa Eden,

Kabla hajaletewa msaidizi,

Aliishi maelfu ya miaka.

Hiyo umri wa KUISHI Adam, umehesabiwa pale tu alipofukuzwa Eden,

Akiwa ndani ya Eden, aliishi miaka mingi isohesabika.
 
Mungu nae ana kinywa? Mbona kama tushaanza kuchanganya mambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…