Kushanrishathaimu
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 220
- 347
Unataka kusema nini? maana neno "stories" kiswahili chake ni hadithi.Uzuri mmoja hizi hadithi za biblia kuna risiti zake kabisa kuthibitisha ni stories tuš
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka kusema nini? maana neno "stories" kiswahili chake ni hadithi.Uzuri mmoja hizi hadithi za biblia kuna risiti zake kabisa kuthibitisha ni stories tuš
NdioUnataka kusema nini? maana neno "stories" kiswahili chake ni hadithi.
Kobazi endelea kuwa na chuki na ukristo ila ndio kwanza unaenea duniani we unaumiaš¤£š¤£š¤£š¤£š¤£Uzuri mmoja hizi hadithi za biblia kuna risiti zake kabisa kuthibitisha ni stories tuš
Hilo ni kobazi usiangaikie naloš¤£š¤£š¤£š¤£Unataka kusema nini? maana neno "stories" kiswahili chake ni hadithi.
Kwahio alikasirika na kuchukizwa na kilichotokea baadae wakati kuanzia mwanzo alijua watakachofanya ? Sasa alikasirika nini wakati it was / is written ?Zaburi 90 iliandikwa wakati wa Musa wasomaji wa Biblia wanaelewa kwamba Zaburi haikuandikwa na Daudi pekee. Na inasemekana wakati huo Zaburi 90 ikiandikwa ndipo wakati ambao Mungu alichukizwa na kutoamini kwa waisraeli kwamba atawapa ushindi dhidi ya watu hodari na wenye nguvu kuliko wao.
Mungu alikasirika kwa sababu mpaka kufikia hapo alishawatendea miujiza mingi ikiwemo kutengeneza njia baharini, kwa hiyo akawaahidi ndani ya miaka 40 kizazi chote cha kuanzia miaka 20 kwenda juu lazima wafe kwanza ndipo waendelee na safari.
HESABU 32:11
Kwa hiyo Zaburi 90:10 ni kama maombolezo yao wakijua hawana siku nyingi za kuishi. Ukisoma mistari ya kabla ya hapo unaweza kupata muktadha huo nilioandika
Wewe ndiye huelewi. Soma vizuri ulelewe. Hilo la miaka 120 ni Mungu alisema na aliyeandika ni Musa pia. Na hilo la miaka 80 ni yeye Musa aliandika. Tofauti iko hivi:Mimi huwa nashangaa watumishi kuchukulia maneno ya Musa (Zaburi ya 90:10) na kuacha neno la Mungu mwenyewe la (Mwanzo 6:3) "Bwana akasema, Roho yangu haitashindana na mwanadamu milele, kwa kuwa yeye naye ni nyama; basi siku zake zitakuwa miaka mia na ishirini." (Yaani miaka 120)
Sasa watu wengi wakiongozwa na watumishi wa Mungu wamekomaa na Zaburi 90:10.
Ukitaka kujua maana ya huu mstari wa Zaburi 90:10, anzia kusoma mstari wa 5 hadi 12. Hapa anaongelea maisha ya mtu anayeishi katika dhambi, mateso na maangaiko huku hasira ya Mungu ikimkalia huwe na uhakika huwezi fikisha miaka 120. Lakini ukiishi kwa kufuata kanuni za kihistaarabu na kiungwana ukaachana na umalaya, pombe za kupindukia, vyakula visivyofaa, ukafanya mazoezi, ukaheshimu wazazi wako, ukatii mamlaka za nchi, ukatumia akili sawasawa ulizopewa na Mungu (maana wengi hatutumii hata 1% ya akili), ukamcha Bwana, ukajitenga na migogoro ya kuhamsha hasira za waliokuzunguka wasikuroge au kukudhuru, ni lazima utaishi hiyo miaka! Wachungaji semeni ukweli wa huu mstari wa Mwanzo 6;3. Miaka Mungu aliyotuhahidi ni 120 au angalau ukaribie! Wengi wanazima moto ndani ya miaka 70-80 kutokana na kuaminishwa na laana ya mdomo maana maneno yanaumba! Kataa hii laana! Sema mimi nitaishi miaka 120 aliyosema Mungu katika jina la Yesu!
"ha" "he" "hi" zako zimezidi.Au wewe ni mu"hehe"?Mimi huwa nashangaa watumishi kuchukulia maneno ya Musa (Zaburi ya 90:10) na kuacha neno la Mungu mwenyewe la (Mwanzo 6:3) "Bwana akasema, Roho yangu haitashindana na mwanadamu milele, kwa kuwa yeye naye ni nyama; basi siku zake zitakuwa miaka mia na ishirini." (Yaani miaka 120)
Sasa watu wengi wakiongozwa na watumishi wa Mungu wamekomaa na Zaburi 90:10.
Ukitaka kujua maana ya huu mstari wa Zaburi 90:10, anzia kusoma mstari wa 5 hadi 12. Hapa anaongelea maisha ya mtu anayeishi katika dhambi, mateso na maangaiko huku hasira ya Mungu ikimkalia huwe na uhakika huwezi fikisha miaka 120. Lakini ukiishi kwa kufuata kanuni za kihistaarabu na kiungwana ukaachana na umalaya, pombe za kupindukia, vyakula visivyofaa, ukafanya mazoezi, ukaheshimu wazazi wako, ukatii mamlaka za nchi, ukatumia akili sawasawa ulizopewa na Mungu (maana wengi hatutumii hata 1% ya akili), ukamcha Bwana, ukajitenga na migogoro ya kuhamsha hasira za waliokuzunguka wasikuroge au kukudhuru, ni lazima utaishi hiyo miaka! Wachungaji semeni ukweli wa huu mstari wa Mwanzo 6;3. Miaka Mungu aliyotuhahidi ni 120 au angalau ukaribie! Wengi wanazima moto ndani ya miaka 70-80 kutokana na kuaminishwa na laana ya mdomo maana maneno yanaumba! Kataa hii laana! Sema mimi nitaishi miaka 120 aliyosema Mungu katika jina la Yesu!
Hawa Ndio Wale Bebi Nisamehe,,Bebi Am Sorry mambo ya kwenye moviUnataka kusema nini? maana neno "stories" kiswahili chake ni hadithi.
And in that case, ceteris peribus mtu akifika 50-60 yrs old anatakiwa kuwa bado kijana kijana au mtu wa makamo still ana nguvu za kutosha , azeeke kuanzia 90+ na hatimae kikongwe around 100+ haaah nawaza tuMimi huwa nashangaa watumishi kuchukulia maneno ya Musa (Zaburi ya 90:10) na kuacha neno la Mungu mwenyewe la (Mwanzo 6:3) "Bwana akasema, Roho yangu haitashindana na mwanadamu milele, kwa kuwa yeye naye ni nyama; basi siku zake zitakuwa miaka mia na ishirini." (Yaani miaka 120)
Sasa watu wengi wakiongozwa na watumishi wa Mungu wamekomaa na Zaburi 90:10.
Ukitaka kujua maana ya huu mstari wa Zaburi 90:10, anzia kusoma mstari wa 5 hadi 12. Hapa anaongelea maisha ya mtu anayeishi katika dhambi, mateso na maangaiko huku hasira ya Mungu ikimkalia huwe na uhakika huwezi fikisha miaka 120. Lakini ukiishi kwa kufuata kanuni za kihistaarabu na kiungwana ukaachana na umalaya, pombe za kupindukia, vyakula visivyofaa, ukafanya mazoezi, ukaheshimu wazazi wako, ukatii mamlaka za nchi, ukatumia akili sawasawa ulizopewa na Mungu (maana wengi hatutumii hata 1% ya akili), ukamcha Bwana, ukajitenga na migogoro ya kuhamsha hasira za waliokuzunguka wasikuroge au kukudhuru, ni lazima utaishi hiyo miaka! Wachungaji semeni ukweli wa huu mstari wa Mwanzo 6;3. Miaka Mungu aliyotuhahidi ni 120 au angalau ukaribie! Wengi wanazima moto ndani ya miaka 70-80 kutokana na kuaminishwa na laana ya mdomo maana maneno yanaumba! Kataa hii laana! Sema mimi nitaishi miaka 120 aliyosema Mungu katika jina la Yesu!
Mimi huwa nashangaa watumishi kuchukulia maneno ya Musa (Zaburi ya 90:10) na kuacha neno la Mungu mwenyewe la (Mwanzo 6:3) "Bwana akasema, Roho yangu haitashindana na mwanadamu milele, kwa kuwa yeye naye ni nyama; basi siku zake zitakuwa miaka mia na ishirini." (Yaani miaka 120)
Sasa watu wengi wakiongozwa na watumishi wa Mungu wamekomaa na Zaburi 90:10.
Ukitaka kujua maana ya huu mstari wa Zaburi 90:10, anzia kusoma mstari wa 5 hadi 12. Hapa anaongelea maisha ya mtu anayeishi katika dhambi, mateso na maangaiko huku hasira ya Mungu ikimkalia huwe na uhakika huwezi fikisha miaka 120. Lakini ukiishi kwa kufuata kanuni za kihistaarabu na kiungwana ukaachana na umalaya, pombe za kupindukia, vyakula visivyofaa, ukafanya mazoezi, ukaheshimu wazazi wako, ukatii mamlaka za nchi, ukatumia akili sawasawa ulizopewa na Mungu (maana wengi hatutumii hata 1% ya akili), ukamcha Bwana, ukajitenga na migogoro ya kuhamsha hasira za waliokuzunguka wasikuroge au kukudhuru, ni lazima utaishi hiyo miaka! Wachungaji semeni ukweli wa huu mstari wa Mwanzo 6;3. Miaka Mungu aliyotuhahidi ni 120 au angalau ukaribie! Wengi wanazima moto ndani ya miaka 70-80 kutokana na kuaminishwa na laana ya mdomo maana maneno yanaumba! Kataa hii laana! Sema mimi nitaishi miaka 120 aliyosema Mungu katika jina la Yesu!
(Ų±ŁŲ§Ł Ų§ŁŲŖŲ±Ł Ų°Ł ŁŲ§ŲØŁ Ł Ų§Ų¬Ł)Ų£ŁŲ¹ŁŁ ŁŲ§Ų±Ł Ų£ŁŁ ŁŁŲŖŁŁ Ł ŁŲ§ ŲØŁŁŁŁŁ Ų§ŁŲ³ŁŁŲŖŁŁŁŁŁ Ų„ŁŁŁŁ Ų§ŁŲ³ŁŁŲØŁŲ¹ŁŁŁŁŲ ŁŁŁŁŁŁŁŁŁ Ł ŁŁŁ ŁŁŲ¬ŁŁŲ²Ł Ų°ŁŁŁŁŁ.
Sijui kama ulinielewa, nilieleza kidogo kutokea HESABU 32:11 na ZABURI 90:10. Unaposema alikasirika nini wakati it was/is written, hapo ndo nashindwa kulipata swali lako. Labda pengine nikusaidie kitu kingine, sio kwamba kilichoandikwa kwenye kitabu cha HESABU kiliandikwa years before ZABURI 90, compilation ya hivi vitabu is not necessarily in chronological order.Kwahio alikasirika na kuchukizwa na kilichotokea baadae wakati kuanzia mwanzo alijua watakachofanya ? Sasa alikasirika nini wakati it was / is written ?
Nadhani maelezo ya hapo juu yanaweza kuwa yamejibu swali lako hili, Kesho ipi tena unazungumzia alishamaliza project ya kuwatoa Israeli utumwani Misri zamani sana wakati ambapo taifa lilikuwa a theocracy, wala hawana maongozi ya moja kwa moja kutoka kwa Mungu kama ilivyokuwa zamani.Na kama alikasirika then kwahio kesho anaweza akafurahi na kuamua miaka iwe elfu 2 badala ya hio 120 au 70 ?
It does not matter kipi kiliandikwa wakati gani kama mawazo au ni nukuu kutoka sehemu moja..., na kama kilishaandikwa hata kabla hakijatokea kwahio mtiririko lazima unaeleweka ni kama maji unajua yatapita kwenye vijiji vitano kabla ya kuingia baharini huwezi kushangaa yanapoingia baharini na ukauliza kwanini yameingia ziwani wakati ulijua yataingia ziwani... (Thus Kukasirika baada ya fact which was according to the facts; kama watu wanavyoamini kila kitu kimepangwa)Sijui kama ulinielewa, nilieleza kidogo kutokea HESABU 32:11 na ZABURI 90:10. Unaposema alikasirika nini wakati it was/is written, hapo ndo nashindwa kulipata swali lako. Labda pengine nikusaidie kitu kingine, sio kwamba kilichoandikwa kwenye kitabu cha HESABU kiliandikwa years before ZABURI 90, compilation ya hivi vitabu is not necessarily in chronological order.
Kwahio tukirudi kwenye Mada husika hio miaka walipangiwa waisraeli, dunia nzima au kina nani.., na watoto wanaokufa kwa uzembe huku bongo wapo katika hesabu gani ?Na kwenye HESABU 32:11 ni Mungu anawaadhibu Israeli sio kila mtu duniani, na ZABURI 90 ni maneno ya waisraeli wakijisemea wenyewe baada ya kuadhibiwa sio Mungu anasema kwa entire humankind (though kwenye tafsiri ya maandiko kuna kitu tunasema a single prophecy can have multiple fulfillment).
Kama alianza project kwa kupanga watu waishi miaka 120 alafu namba ikabadilika sababu ya kutokutii kwa waisraeli na kuwa hio 70 basi huenda na kesho tukitii sana atafuta na kufanya miaka kuwa 500 (ingawa ikiwa miaka 500 ni vema tukaangalia what technological na medicinal advancements tumefanya kama binadamu na sio hasira, huzuni au furaha kutoka popote)Nadhani maelezo ya hapo juu yanaweza kuwa yamejibu swali lako hili, Kesho ipi tena unazungumzia alishamaliza project ya kuwatoa Israeli utumwani Misri zamani sana wakati ambapo taifa lilikuwa a theocracy, wala hawana maongozi ya moja kwa moja kutoka kwa Mungu kama ilivyokuwa zamani.
Mungu hakukurupuka tu kuwaadhibu, aliwatoa kwenye utumwa mbaya sana, aliwaonesha ukuu wake kwa kuwapiga waliowatumikisha kwa mapigo 10, aliwafanya kuteka vyombo vya thamani ingawa ni watumwa, aligawanya bahari ikawa njia kwa ajili yao, aliwapa chakula cha kushuka kutoka mbinguni kilichoitwa mana, aliwapa maji kutoka katika mwamba uliokuwa jangwani n.k.It does not matter kipi kiliandikwa wakati gani kama mawazo au ni nukuu kutoka sehemu moja..., na kama kilishaandikwa hata kabla hakijatokea kwahio mtiririko lazima unaeleweka ni kama maji unajua yatapita kwenye vijiji vitano kabla ya kuingia baharini huwezi kushangaa yanapoingia baharini na ukauliza kwanini yameingia ziwani wakati ulijua yataingia ziwani... (Thus Kukasirika baada ya fact which was according to the facts; kama watu wanavyoamini kila kitu kimepangwa)
Nilishaeleza, hiyo miaka 70/80 ni response ya waisraeli baada ya kuielewa adhabu waliyopewa, maana wakipiga hesabu mtu ambaye ata consume miaka yote 40(maana adhabu ilisema watakaa hapo ndani ya miaka 40 mpaka kizazi chote cha uasi kiishe) na kama wakati huo akiwa ni kijana mwenye nguvu wa kusimama vitani miaka 30 au 40 ndo atafikisha hiyo miaka 70/80.Kwahio tukirudi kwenye Mada husika hio miaka walipangiwa waisraeli, dunia nzima au kina nani.., na watoto wanaokufa kwa uzembe huku bongo wapo katika hesabu gani ?
Unatakiwa uelewe in which disposition we as human beings live today in relation to God, then utajua you are framing an argument out of invalid presupposition. Kurahisisha tu niseme kipindi tunachoishi ni kipindi ambacho Mungu hutengeneza mahusiano na mtu mmoja mmoja na hukumu pia inafanyika kwa mtu mmoja mmoja. Lakini baraka au hukumu ya Mungu hutegemea na kama mtu ana mahusiano na Mungu. Nilitangulia kusema mpaka Mungu anawaadhibu Israeli tayari alitengeneza mahusiano nao kama taifa.Kama alianza project kwa kupanga watu waishi miaka 120 alafu namba ikabadilika sababu ya kutokutii kwa waisraeli na kuwa hio 70 basi huenda na kesho tukitii sana atafuta na kufanya miaka kuwa 500 (ingawa ikiwa miaka 500 ni vema tukaangalia what technological na medicinal advancements tumefanya kama binadamu na sio hasira, huzuni au furaha kutoka popote)
Adam kabla ya kufukuzwa Eden,Watu wakisoma hii wanasema there was a misunderstanding. How can someone live so long.
By the way,Niko baharini hapa. Inakuja mvua balaa Dar es Salaam.
When Adam had lived 130 years, he had a son in his own likeness, in his own image; and he named him Seth. 4 After Seth was born, Adam lived 800 years and had other sons and daughters. 5 Altogether, Adam lived a total of 930 years, and then he died.
6 When Seth had lived 105 years, he became the father[b] of Enosh. 7 After he became the father of Enosh, Seth lived 807 years and had other sons and daughters. 8 Altogether, Seth lived a total of 912 years, and then he died.
Mwanzo 6:3Wapi ulithibitisha Mungu alisema hivyo mwenyewe kwa kinywa chake??