Kutoka nyuma😎Siti ya mbele
Yakupasa kujua kuwa kuna nguvu tatu.Sheria inaweza kumlazimisha mwanamke kusoma lakini siyo kuzaa. Kuolewa ni jambo moja na kuzaa ni jambo lingine la Kimungu.
Damu ya hedhi ndicho kipimo na taarifa ya Kimungu kuwa msichana amekua na yuko tayari kuzaa kwa kuolewa au kwa kutokuolewa.
Hata mama na bibi zetu walizaa kwa njia hizo za kuangalia umri wa kutoka damu ya hedhi. Hii ni kwa wanyama wote, na baada ya muda huu wa kubalehe viumbe wote wako tayari kuzaa kwa kalenda ya Mungu.
Tunakoelekea sio kuzuri ni heri serikalini kutumia rasilimali katika kusomesha na kuelimisha wanawake kuhusu madhara ya kuzaa kwenye umri mdogo badala ya kutumia rasilimali hizo katika kuzuia watu wasiolewe chini ya miaka 18. Ukisema kila msichana lazima asome hadi form 4 automatically utakuwa umesolve umri wa kuolewa indirectly badala ya kufukuzana na wasichana wasiosoma wasiolewe hadi wafikie miaka 18.
Watawala na wasomi wetu tusaidieni kutatua matatizo ya msingi yanayotukabiri kama vile njaa, huduma za afya, huduma za elimu, maji ya kunywa, nyumba Bora nk. Shida yetu sio wanawake kuolewa mapema.
Sheria inaweza kumlazimisha mwanamke kusoma lakini siyo kuzaa. Kuolewa ni jambo moja na kuzaa ni jambo lingine la Kimungu.
Damu ya hedhi ndicho kipimo na taarifa ya Kimungu kuwa msichana amekua na yuko tayari kuzaa kwa kuolewa au kwa kutokuolewa.
Hata mama na bibi zetu walizaa kwa njia hizo za kuangalia umri wa kutoka damu ya hedhi. Hii ni kwa wanyama wote, na baada ya muda huu wa kubalehe viumbe wote wako tayari kuzaa kwa kalenda ya Mungu.
Tunakoelekea sio kuzuri ni heri serikalini kutumia rasilimali katika kusomesha na kuelimisha wanawake kuhusu madhara ya kuzaa kwenye umri mdogo badala ya kutumia rasilimali hizo katika kuzuia watu wasiolewe chini ya miaka 18. Ukisema kila msichana lazima asome hadi form 4 automatically utakuwa umesolve umri wa kuolewa indirectly badala ya kufukuzana na wasichana wasiosoma wasiolewe hadi wafikie miaka 18.
Watawala na wasomi wetu tusaidieni kutatua matatizo ya msingi yanayotukabiri kama vile njaa, huduma za afya, huduma za elimu, maji ya kunywa, nyumba Bora nk. Shida yetu sio wanawake kuolewa mapema.
wewe binti yako wa miaka 14 utaruhusu aolewe?
Hako ni kadogo kwako lakini Kwa Mungu sio katoto kama unavyodhani, kama katoto kangevunja ungo? Ukivunja ungo maana yake wewe ni mkubwa na unaweza kuzaa mtoto. Hata Bibi yako aliolewa kwenye umri huo na Yuko hadi leo, yaani hizo zote ni juhudi za kumuona mwanamke kuwa ni dhaifu anayestahiki kuhurumiwa kiasi hicho. Mara apewe pedi, mara viti maalumu,mara akiwezeshwa anaweza huu wote ni udhaifu wa wapiga diliAcha kumhusisha Mungu kwenye mambo ya kingese ngese
Tamaa zako za kimwili zisikufanye ujitoe akili ivi katoto kaa miaka 14 nako kana utamu gan sasa hadi muanze kupiga kelele
Au kwa sababu watume zenu walikuwa wabakaji
sibora aolewe kuliko aniletee vijukuu vya kisulisuli ambavyo baba zao hawajulikani maana mitoto mingine hata shule haiweziwewe binti yako wa miaka 14 utaruhusu aolewe?
Eti mtoto kamaliza darasa la 7 akiwa na miaka 13 akiwa amevunja ungo, na bahati mbaya hakufaulu kwenda form one, na mtoto akishabalehe mwili unaaza kumpelekesha Kwa tamaa za kujamiana. Sasa kuanzia miaka 13 asubiri Kwa miaka 5 nyumbani hadi afikie miaka 18. Huu ni upuuzi ambao hata England hawafanyi hivyo. Kule uinhereza umri wa kuolewa ni miaka 16.Hawa Wanaharakati Wanatuharibia utamaduni wetu.
Vijinini Vijana wa Kiume+ Wakike Wanaoana wakiwa na umri wa miaka 15 au 16.
Mambo yenu ya Kizungu kukaa Mwanamke mpaka Miaka 38 bila Kuolewa Msituletee vijijini.
Kijijini Binti au Kijana Kufika Miaka 38 bila Kuolewa Tunasema ni Uchuro!!!
Mama wa Yesu(Mariam)alipata mimba akiwa ameposwa na Yusuph,umri wake ilikuwa miaka 14.Acha kumhusisha Mungu kwenye mambo ya kingese ngese
Tamaa zako za kimwili zisikufanye ujitoe akili ivi katoto kaa miaka 14 nako kana utamu gan sasa hadi muanze kupiga kelele
Au kwa sababu watume zenu walikuwa wabakaji
Hukumu ilitolewa kiharakati zaidi Kwa kutumia mioyo badala ya uhalisia.Mama wa Yesu(Mariam)alipata mimba akiwa ameposwa na Yusuph,umri wake ilikuwa miaka 14.