Hivy waanze kazi/kaajiriwa katika umri upi?
18+ years, ndio legal age mkuu, kufanya kazi popote pale duniani. At least mtu apate degree yake na 18-20 years. We jiulize mtoto anakaa miaka saba shule ya msingi kusoma vita vya majimaji, raisi wa kwanza anaitwa nani, mji mkuu wa Ethiopia unaitwaje? Maana yake nini?
Wenzetu huo uchina katoto kanashona cherehani na kutengeneza mataji, mtoto anajifunza ujenzi, plumbing, carpentry na mechanic muda huo. katoto kanafanya ya coding na kutengeneza programu za kompyuta. Tembea ujifunze tajiri. 😊
Mtoto anajifunza mambo ya Kinjeketile Ngwale na unataka awe na akili ukubwani. 😊