Umri wa kustaafu uwe miaka 45/Utumishi kikomo iwe miaka 15

Hivy waanze kazi/kaajiriwa katika umri upi?

18+ years, ndio legal age mkuu, kufanya kazi popote pale duniani. At least mtu apate degree yake na 18-20 years. We jiulize mtoto anakaa miaka saba shule ya msingi kusoma vita vya majimaji, raisi wa kwanza anaitwa nani, mji mkuu wa Ethiopia unaitwaje? Maana yake nini?

Wenzetu huo uchina katoto kanashona cherehani na kutengeneza mataji, mtoto anajifunza ujenzi, plumbing, carpentry na mechanic muda huo. katoto kanafanya ya coding na kutengeneza programu za kompyuta. Tembea ujifunze tajiri. 😊

Mtoto anajifunza mambo ya Kinjeketile Ngwale na unataka awe na akili ukubwani. 😊
 
Yericko jikite ktk kujiendeleza kielimu update ufahamu sahihi na sio kukopi na kupesti ideas za watu nakusema ni vitabu
 
Sawa mkuu nimekusoma..
Elimu ielekezwe zaidi kwenye fani/kazi..
 
Kijana, walioendelea wanafikiria kuongeza umri wa kustaafu. Nyinyi badala ya kutafuta mbinu za kuongeza ajira kwa kukuza uchumi mnafikiria mgawane masaa ya kazi kwenye utumishi wa umma. Mko serious kweli?
 
Hiari ni 55 yrs na si vinginevyo
 
Msaliti mkubwa, nani ataamini upuuzi wako, takataka🚮🚮🚮🚮
 
Mngeanza na mageuzi kwenye siasa kwanza mkifanikiwa ndio muendelee na watumishi wa Serikali. Haiwezekani eti sifa ya kuwa mbunge ni darasa la saba ndio maana bunge linashindwa kuisimamia Serikali limekua bunge la machawa badala ya watu wanaojitambua.
 
Mtaala MPYA unadhughulikia hayo...chukua kitabu Cha la kwanza uone mambo wanayosoma..
 
Usifananisha Dunia ya kwanza na Dunia ya 3
 
Ni vizuri tukaiga mazuri ya waliotutangulia.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…