SHIRIKI LA VIWANGO TANZANIAHabari wanajamvi. Nimesikiliza wahandisi wengi Youtube wakisema kuwa kila nchi inayotengeneza matairi ya magari ina umri wake wa matairi hayo.
Nimesikia wakisema China wana umri wa miaka mitano. Lakini hawaendelei kutaja nchi zingine zaidi.
Nimeona niulize humu nikijua kuna wabobezi wa mambo haya. Umri wa Japan ni miaka mingapi?
Nawashukuru sana.
Hapa ndipo pana mkanganyiko. Nimemsikiliza askari kitengo cha usalama barabarani akisema tairi za China umri wake ni miaka mitano. Mhandisi Michael Kyando wa Chuo cha Usafirishaji cha Taifa, yeye anasema kwa kawaida umri wa tairi ni miaka minne tu. (Chanzo ni Youtube) TBS wao wanasema ni miaka minane. Kwa tofauti hizi, tuegemee wapi?SHIRIKI LA VIWANGO TANZANIA
BUREAU OF
TANZANIA
STANDAR
TAARRIFA KWA UMMA KUHUSU UMRI
WA TAIRI ZA MAGARI
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) lilianzishwa kwa sheria ya Bunge Na. 3 ya mwaka 1975 na kuanza kazi rasmi tarehe 16 April 1976, kisha kuundwa upya kwa sheria Na. 2 ya mwaka 2009 iliyoifuta sheria ya kwanza. Sheria mpya imelipa Shirika uwezo mkubwa zaidi wa kusimamia shughuli za utayarishaji wa viwango na udhibiti wa ubora.
TBS inapenda kuwakumbusha waagizaji na watumiaji wa tairi za magari kuwa umri wa tairi za magari ni miaka nane (08) kutoka tarehe ya kutengenezwa kwake ambayo imeainishwa katika kila tairi. Tairi halitafaa kutumika baada ya umri huo bila kujali kuwa halijawahi kutumika kabisa. Matakwa yanayotakiwa katika tairi za magari likiwemo suala la umri yanapatika kwenye kiwango cha Tanzania " TZS 617:2009 - Pneumatic tyres for truck and buses" na TZS 618:2009 - Pneumatic tyres for passenger cars"
Limitolewa na:
Mkuregenzi Mkuu, Shirika la Viwango Tanzania,
S.L.P. 9524, Dar es Salaam,
Simu: +255(022)2450206
Hotline:+0800110827 Barua pepe:infor@tbs.go.tz Tovuti:www.tbs.go.tz
Na ukija dukani nitakwambia tyre ya china ni miaka minne na ya japan ni miaka 11Hapa ndipo pana mkanganyiko. Nimemsikiliza askari kitengo cha usalama barabarani akisema tairi za China umri wake ni miaka mitano. Mhandisi Michael Kyando wa Chuo cha Usafirishaji cha Taifa, yeye anasema kwa kawaida umri wa tairi ni miaka minne tu. (Chanzo ni Youtube) TBS wao wanasema ni miaka minane. Kwa tofauti hizi, tuegemee wapi?
Mpaka kumekuwa na mkanganyiko huu maana yake kwenye tyre hakuna sehemu iliyoandikwa mda wa ku expireTuchukue lipi sasa? Ukiacha TBS ambao wao huingia maabara, kuna mahali ambapo tunaweza ona hayo maelezo, kwamba umri wa tairi hili ni miaka kadhaa?
Kwahiyo tusimamie lipi?SHIRIKI LA VIWANGO TANZANIA
BUREAU OF
TANZANIA
STANDAR
TAARRIFA KWA UMMA KUHUSU UMRI
WA TAIRI ZA MAGARI
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) lilianzishwa kwa sheria ya Bunge Na. 3 ya mwaka 1975 na kuanza kazi rasmi tarehe 16 April 1976, kisha kuundwa upya kwa sheria Na. 2 ya mwaka 2009 iliyoifuta sheria ya kwanza. Sheria mpya imelipa Shirika uwezo mkubwa zaidi wa kusimamia shughuli za utayarishaji wa viwango na udhibiti wa ubora.
TBS inapenda kuwakumbusha waagizaji na watumiaji wa tairi za magari kuwa umri wa tairi za magari ni miaka nane (08) kutoka tarehe ya kutengenezwa kwake ambayo imeainishwa katika kila tairi. Tairi halitafaa kutumika baada ya umri huo bila kujali kuwa halijawahi kutumika kabisa. Matakwa yanayotakiwa katika tairi za magari likiwemo suala la umri yanapatika kwenye kiwango cha Tanzania " TZS 617:2009 - Pneumatic tyres for truck and buses" na TZS 618:2009 - Pneumatic tyres for passenger cars"
Limitolewa na:
Mkuregenzi Mkuu, Shirika la Viwango Tanzania,
S.L.P. 9524, Dar es Salaam,
Simu: +255(022)2450206
Hotline:+0800110827 Barua pepe:infor@tbs.go.tz Tovuti:www.tbs.go.tz
Kwa Japan nadhani ni miaka 6 regardless condition ya tairi hata kama uwe umeiweka bila kuitumia, lakini pia inaweza isifike miaka 6 kutokana na matumizi ya gari lako.Habari wanajamvi. Nimesikiliza wahandisi wengi Youtube wakisema kuwa kila nchi inayotengeneza matairi ya magari ina umri wake wa matairi hayo.