Umri wa matairi ya Japan

Umri wa matairi ya Japan

Makobus

Senior Member
Joined
Jul 30, 2012
Posts
169
Reaction score
110
Habari wanajamvi. Nimesikiliza wahandisi wengi Youtube wakisema kuwa kila nchi inayotengeneza matairi ya magari ina umri wake wa matairi hayo.

Nimesikia wakisema China wana umri wa miaka mitano. Lakini hawaendelei kutaja nchi zingine zaidi.

Nimeona niulize humu nikijua kuna wabobezi wa mambo haya. Umri wa Japan ni miaka mingapi?

Nawashukuru sana.
 
Kwa hapa Tanzania TBS wamesema tyre zote umri wake ni miaka nane toka kutengenezwa, ikipitisha miaka nane tayari inakuwa imepita muda wake wa matumizi
Maelezo ya TBS kwenye picha
View attachment 2611025
 
Habari wanajamvi. Nimesikiliza wahandisi wengi Youtube wakisema kuwa kila nchi inayotengeneza matairi ya magari ina umri wake wa matairi hayo.

Nimesikia wakisema China wana umri wa miaka mitano. Lakini hawaendelei kutaja nchi zingine zaidi.

Nimeona niulize humu nikijua kuna wabobezi wa mambo haya. Umri wa Japan ni miaka mingapi?

Nawashukuru sana.
SHIRIKI LA VIWANGO TANZANIA

BUREAU OF

TANZANIA

STANDAR

TAARRIFA KWA UMMA KUHUSU UMRI

WA TAIRI ZA MAGARI

Shirika la Viwango Tanzania (TBS) lilianzishwa kwa sheria ya Bunge Na. 3 ya mwaka 1975 na kuanza kazi rasmi tarehe 16 April 1976, kisha kuundwa upya kwa sheria Na. 2 ya mwaka 2009 iliyoifuta sheria ya kwanza. Sheria mpya imelipa Shirika uwezo mkubwa zaidi wa kusimamia shughuli za utayarishaji wa viwango na udhibiti wa ubora.

TBS inapenda kuwakumbusha waagizaji na watumiaji wa tairi za magari kuwa umri wa tairi za magari ni miaka nane (08) kutoka tarehe ya kutengenezwa kwake ambayo imeainishwa katika kila tairi. Tairi halitafaa kutumika baada ya umri huo bila kujali kuwa halijawahi kutumika kabisa. Matakwa yanayotakiwa katika tairi za magari likiwemo suala la umri yanapatika kwenye kiwango cha Tanzania " TZS 617:2009 - Pneumatic tyres for truck and buses" na TZS 618:2009 - Pneumatic tyres for passenger cars"

Limitolewa na:

Mkuregenzi Mkuu, Shirika la Viwango Tanzania,

S.L.P. 9524, Dar es Salaam,

Simu: +255(022)2450206

Hotline:+0800110827 Barua pepe:infor@tbs.go.tz Tovuti:www.tbs.go.tz
 
Hapa ndipo pana mkanganyiko. Nimemsikiliza askari kitengo cha usalama barabarani akisema tairi za China umri wake ni miaka mitano. Mhandisi Michael Kyando wa Chuo cha Usafirishaji cha Taifa, yeye anasema kwa kawaida umri wa tairi ni miaka minne tu. (Chanzo ni Youtube) TBS wao wanasema ni miaka minane. Kwa tofauti hizi, tuegemee wapi?
 
Na ukija dukani nitakwambia tyre ya china ni miaka minne na ya japan ni miaka 11
 
Tuchukue lipi sasa? Ukiacha TBS ambao wao huingia maabara, kuna mahali ambapo tunaweza ona hayo maelezo, kwamba umri wa tairi hili ni miaka kadhaa?
 
Mpaka kumekuwa na mkanganyiko huu maana yake kwenye tyre hakuna sehemu iliyoandikwa mda wa ku expire
 
SHIRIKI LA VIWANGO TANZANIA

BUREAU OF

TANZANIA

STANDAR

TAARRIFA KWA UMMA KUHUSU UMRI

WA TAIRI ZA MAGARI

Shirika la Viwango Tanzania (TBS) lilianzishwa kwa sheria ya Bunge Na. 3 ya mwaka 1975 na kuanza kazi rasmi tarehe 16 April 1976, kisha kuundwa upya kwa sheria Na. 2 ya mwaka 2009 iliyoifuta sheria ya kwanza. Sheria mpya imelipa Shirika uwezo mkubwa zaidi wa kusimamia shughuli za utayarishaji wa viwango na udhibiti wa ubora.

TBS inapenda kuwakumbusha waagizaji na watumiaji wa tairi za magari kuwa umri wa tairi za magari ni miaka nane (08) kutoka tarehe ya kutengenezwa kwake ambayo imeainishwa katika kila tairi. Tairi halitafaa kutumika baada ya umri huo bila kujali kuwa halijawahi kutumika kabisa. Matakwa yanayotakiwa katika tairi za magari likiwemo suala la umri yanapatika kwenye kiwango cha Tanzania " TZS 617:2009 - Pneumatic tyres for truck and buses" na TZS 618:2009 - Pneumatic tyres for passenger cars"

Limitolewa na:

Mkuregenzi Mkuu, Shirika la Viwango Tanzania,

S.L.P. 9524, Dar es Salaam,

Simu: +255(022)2450206

Hotline:+0800110827 Barua pepe:infor@tbs.go.tz Tovuti:www.tbs.go.tz
Kwahiyo tusimamie lipi?
Minne au nane?
 
We angalia tread tu sijui trade

Zikiisha sana badilisha.ila kama una safari kubwa hakikisha tyre zikopoa
 
Habari wanajamvi. Nimesikiliza wahandisi wengi Youtube wakisema kuwa kila nchi inayotengeneza matairi ya magari ina umri wake wa matairi hayo.

Nimesikia wakisema China wana umri wa miaka mitano. Lakini hawaendelei kutaja nchi zingine zaidi.

Nimeona niulize humu nikijua kuna wabobezi wa mambo haya. Umri wa Japan ni miaka mingapi?

Nawashukuru sana.
Kwa Japan nadhani ni miaka 6 regardless condition ya tairi hata kama uwe umeiweka bila kuitumia, lakini pia inaweza isifike miaka 6 kutokana na matumizi ya gari lako.
Screenshot 2023-11-29 104951.png
 
Back
Top Bottom