Makobus
Senior Member
- Jul 30, 2012
- 169
- 110
Habari wanajamvi. Nimesikiliza wahandisi wengi Youtube wakisema kuwa kila nchi inayotengeneza matairi ya magari ina umri wake wa matairi hayo.
Nimesikia wakisema China wana umri wa miaka mitano. Lakini hawaendelei kutaja nchi zingine zaidi.
Nimeona niulize humu nikijua kuna wabobezi wa mambo haya. Umri wa Japan ni miaka mingapi?
Nawashukuru sana.