Umri wa miaka 40+ wengi hukubali matokeo yoyote, ndoto nyingi hufa kwenye miaka 20

Umri wa miaka 40+ wengi hukubali matokeo yoyote, ndoto nyingi hufa kwenye miaka 20

Mwanasayansi Kalivubha

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2024
Posts
344
Reaction score
926
WASIKILIZE WATU WENYE MIAKA 40+
1.Wengi wameolewa/kuoa na ambao hawakujipangia wakiwa na miaka 20
2 .Wengi wameridhika na mafanikio ambayo sio yao
3 Wachache sana utakuta bado wanapambania ndoto zao.
4 Wengi ndio waumini wa kauli ya "MAISHA NDIO HAYA HAYA" 😔
5 Wengi ndio waumini wa kauli ya MAISHA KOKOTE MUHIMU PUMZI TU 😔

NDOTO NYINGI HUFA KWENYE MIAKA 20 +
1.Wengi hutumia muda huu kuhusiana na wasio sahihi kwao
2.Wengi huwa kwenye matumizi mabaya ya pesa
3.Wengi huwa hawajitambui hapa
4 Wengi hujiona watoto wanakuja kushituka tayari wapo kwenye miaka 35+

NINI CHA KUFANYA UKIWA KWENYE MIAKA 40 NA UNAJIONA ULIPOTEZA FURSA KWENYE MIAKA 20+?
1.Bado una nafasi ya kujaribu tena usiridhike na usichostahili.
2 Achana na kauli za MAISHA NDIO HAYA HAYA ilihali upo kwenye shida
3 Jifunze kuanza upya ukiwa na mazingira mapya ambayo hukuyatarajia ukiwa kwenye miaka ya 20


# Instagram@ ikia ndoto zako.
Mwanasayansi Saul kalivubha.
 
Back
Top Bottom