DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
Nafikiri kikubwa huwa ni experience ambayo inaweza kuchochea EI kubwa ila kwenye IQ kama ulikuwa nayo low in your 30,s and 40,s itaendelea kuwa hivyo hivyo.Umri wa miaka ' 50 ' ni umri sahihi wa ukomavu wa kiakili na kihisia.
Ukimkuta MTU ambaye yupo ghorofa ya tano anakuwa amekomaa Sana akili na hisia anakuwa na EI kubwa na IQ kubwa.
Miaka hamsini ni umri wa unaokuja na hekima Sana .
Hii unaweza kuona kupitia familia ,marfiki na wewe mwenyewe ikiwa umeshafika hapa ghorofa ya tano.
We need to Cherish every-single moment. But fifties is blessing Age.
Na ukifika 50 avoid mambo yote yanayoweza kuharibu akili na Afya ya mwili.
Mkuu wewe ni miongoni mwa watu ambao nafata sana protocol zako na naamini ntakuja kufanikiwa not financially ila kiakili tuu takua sana mkuu..
Ukweli ulichokiongea ni mesoma ila nimekaa na kujiuliza huo umri ni umri ambao ni vema ukawa tayari ushakamilisha kila kitu cha msingi maana baada ya hapo hata energy haiwi tena kama ya ujana
Ila naomba mungu pia katika umri huo niwe nina NYUMBA, GARI NA WATOTO WATATU .....
Lakini kwa upande wa wazazi itajulikana huko huko
Unadhani watu wanaamua kukomaa??....Lakini mkuu mimi nataka nikifika 30 tu niwe tayari nishakomaa kihisia na kiakili
UACHE MAMBO YA YAKUZ ukizeeka 😀Mkuu wewe ni miongoni mwa watu ambao nafata sana protocol zako na naamini ntakuja kufanikiwa not financially ila kiakili tuu takua sana mkuu..
Ukweli ulichokiongea ni mesoma ila nimekaa na kujiuliza huo umri ni umri ambao ni vema ukawa tayari ushakamilisha kila kitu cha msingi maana baada ya hapo hata energy haiwi tena kama ya ujana
Ila naomba mungu pia katika umri huo niwe nina NYUMBA, GARI NA WATOTO WATATU .....
Lakini kwa upande wa wazazi itajulikana huko huko
Ndiyo waliokuwa wanavuta bangi wakiwa chini ya 50 au maisha yaliwafua sana.
Nafikiri kikubwa huwa ni experience ambayo inaweza kuchochea EI kubwa ila kwenye IQ kama ulikuwa nayo low in your 30,s and 40,s itaendelea kuwa hivyo hivyo.
Also kulingana na takwimu, kwa Tanzania in your 50's unajiandaa kuelekea kwenye kifo, over 70% ya watu wanakufa between the age of 50 na 69.
afya ya akili na mwili ni muhimu haijalishi mtu yuko na umri gani.Do not force a button!Lakini mkuu mimi nataka nikifika 30 tu niwe tayari nishakomaa kihisia na kiakili
bangi haina shida ikitumika vizuri.Ndiyo waliokuwa wanavuta bangi wakiwa chini ya 50 au maisha yaliwafua sana.