Mbona ni wiki 16 hesabu kuanzia wiki ya tarehe 20/4 hadi wiki ya tarehe 1/August zitakua wiki 16.Wakuu habarini,ningependa kupata ufafanuzi,mara ya mwisho mke wangu alipata hedhi 20/4/2023.Ilitakiwa apate hedhi tena 17/5/2023 hakupata .22/5/2023 tukapima kupitia UPT ikaonesha ujauzito .1/8/2023 tukaenda kwa ajili ya clinic kama hudhurio la kwanza.Majibu ya ultrasound yakaonyesha ujauzito una umri wa majuma 16.Ukihesabu kwa kurefer LMP ilitakiwa isome majuma 14 kwa hiyo 1/8/2023.Ninaomba ufafanuzi wa kujua hayo majuma 2 yameongezekaje,
NB: Tulikutana kimwili siku zote za hatari
Kwa unataka kusemaje mkuu ? Humwamini shemeji au?Wakuu habarini,ningependa kupata ufafanuzi,mara ya mwisho mke wangu alipata hedhi 20/4/2023.Ilitakiwa apate hedhi tena 17/5/2023 hakupata .22/5/2023 tukapima kupitia UPT ikaonesha ujauzito .1/8/2023 tukaenda kwa ajili ya clinic kama hudhurio la kwanza.Majibu ya ultrasound yakaonyesha ujauzito una umri wa majuma 16.Ukihesabu kwa kurefer LMP ilitakiwa isome majuma 14 kwa hiyo 1/8/2023.Ninaomba ufafanuzi wa kujua hayo majuma 2 yameongezekaje,
NB: Tulikutana kimwili siku zote za hatari
Mamndenyi utakuja kuuwa mtuAu ulikuwa umesafiri? Tulia tu mjukuu
Ana wenge...Mbona ni wiki 16 hesabu kuanzia wiki ya tarehe 20/4 hadi wiki ya tarehe 1/August zitakua wiki 16.