majeshi 1981
JF-Expert Member
- Dec 7, 2013
- 2,090
- 812
kunautofauti wowote wa umri wa kutembea kati ya mtoto wa kiume na wa kike? ni umri gani mtoto akifikisha kabla ya kuanza kutembea hatotembea tena?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swali lako la kwanza, hamna tofauti yeyote kati ya mtoto wa kike na wa kiume. Kikubwa ni matunzo na lishe bora kwa mtoto.Swali la pili, sijakuelewakunautofauti wowote wa umri wa kutembea kati ya mtoto wa kiume na wa kike? ni umri gani mtoto akifikisha kabla ya kuanza kutembea hatotembea tena?
Swali lako la kwanza, hamna tofauti yeyote kati ya mtoto wa kike na wa kiume. Kikubwa ni matunzo na lishe bora kwa mtoto.Swali la pili, sijakuelewa
Hapana mtoto wa kike anaanza kukaa mapema kuliko mtoto wa kiume,mtoto wa kike ni rahisi kutembea mapema kuliko mtoto wa kiume,mtoto wa kike ni imara zaidi upande wa afya kuliko mtoto wa kiume.Mtoto wa kiume ni dhaifu zaidi kuliko mtoto wa kike.Mtoto wa kiume umri kati ya 0 - 1 year anahitaji uangalizi mkubwa zaidi ukilinganisha na mtoto wa kike.

kukaa aliwahi, kutambaa ilikuwa issue, kutembelea vitu ndiyo kaanza sasa. Ana mwaka na miezi sabaYou are wrong. Hizo tofauti zote ulizosema ni za kufikirika. Maendeleo ya mtoto yanategemea jitihada za mzazi kwenye matunzo, malezi na kwa kiasi gani anamchangamsha mwanae. Hayo mambo ya mtoto wa kiume anachelewa kukaa, kutembea n.k ni visingizio tu vinavyotumika kulemaza watoto. Binafsi nna watoto wawili wa kiume na wote wameanza kutembea wakiwa na miezi 9, kukaa wameanza na miezi minne na kuna rafiki yangu mtoto wake wa kike alianza kutembea akiwa na mwaka na miezi juu, kwahiyo acheni kutoa visingizio visivyo na mantiki. Ukuaji na wepesi wa mtoto kupiga hatua za ukuaji sio swala la kijinsia.
majeshi 1981 mtoto wako ana umri gani? Kwanini unapata wasiwasi? Stage nyingine (kukaa, kutambaa, kusimama na vitu ) ameshapitia? Huwa mnacheza nae na kum-challenge kufanya vitu ambavyo watoto wengine wa umri wake tayari wanafanya? Pengine tatizo halipo kwakr mtoto bali kwenu wazazi/walezi wake. Ongezeni effort!!!!
kukaa aliwahi, kutambaa ilikuwa issue, kutembelea vitu ndiyo kaanza sasa. Ana mwaka na miezi saba
mwanangu ana umri waa mwaka na miezi saba, anatembelea gari la mbao, ukimshika vidole anatembea kukufuata lakini bado hawezi kusimama wala kutembea peke yake, kunatatizo, na kama kunatatizo nifanyeje? mwanangu wa kwanza
kukaa aliwahi, kutambaa ilikuwa issue, kutembelea vitu ndiyo kaanza sasa. Ana mwaka na miezi saba
Atatembea huyo.
Pengine bado muoga au uzito Umezidi.
Lkn Kama una wasiwasi sana mpeleke hospital Kwa wataalam akachekiwe zaidi
Kama ana mwaka na 7 months nadhani kuna tatizo labda lishe,mazingira si rafiki au vyote kwa pamoja.Mwaka na miezi saba mtoto anatakiwa ameshatembea siku nyingi.
kukaa aliwahi, kutambaa ilikuwa issue, kutembelea vitu ndiyo kaanza sasa. Ana mwaka na miezi saba
Kweli hapo kachelewa. Ana kilo ngapi? Kama sio overweight mpeleke kwa daktari wa watoto.
Kuna uwezekano pia tabia zenu wewe na mkeo. Kama mkifanya tendo la.ndoa mkalala bila kuoga nalo ni tatizo sugu kwa watu wengi. Au labla umekwisha mpa mimba nyingine mama yake nalo ni tatizo. Vyema awe na kitanda chake la sivyo atakuwa fundi viatu