Umri wa mtoto kuanza kutembea

Umri wa mtoto kuanza kutembea

majeshi 1981

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2013
Posts
2,090
Reaction score
812
kunautofauti wowote wa umri wa kutembea kati ya mtoto wa kiume na wa kike? ni umri gani mtoto akifikisha kabla ya kuanza kutembea hatotembea tena?
 
Swali lako la kwanza, hamna tofauti yeyote kati ya mtoto wa kike na wa kiume. Kikubwa ni matunzo na lishe bora kwa mtoto.Swali la pili, sijakuelewa
 
Hapana mtoto wa kike anaanza kukaa mapema kuliko mtoto wa kiume,mtoto wa kike ni rahisi kutembea mapema kuliko mtoto wa kiume,mtoto wa kike ni imara zaidi upande wa afya kuliko mtoto wa kiume.Mtoto wa kiume ni dhaifu zaidi kuliko mtoto wa kike.Mtoto wa kiume umri kati ya 0 - 1 year anahitaji uangalizi mkubwa zaidi ukilinganisha na mtoto wa kike.

mwanangu ana umri waa mwaka na miezi saba, anatembelea gari la mbao, ukimshika vidole anatembea kukufuata lakini bado hawezi kusimama wala kutembea peke yake, kunatatizo, na kama kunatatizo nifanyeje? mwanangu wa kwanza
 
mkuu lishe siyo tatizo kabisa, ana mwaka naa miezi saba lakini bado hajatembea mwenyewe, wala kusimama. anatembea kwa gari la mbao au ukimshikaa vidole anakufuata , kuna tatizo? nifanyeyje?
 
Hapana mtoto wa kike anaanza kukaa mapema kuliko mtoto wa kiume,mtoto wa kike ni rahisi kutembea mapema kuliko mtoto wa kiume,mtoto wa kike ni imara zaidi upande wa afya kuliko mtoto wa kiume.Mtoto wa kiume ni dhaifu zaidi kuliko mtoto wa kike.Mtoto wa kiume umri kati ya 0 - 1 year anahitaji uangalizi mkubwa zaidi ukilinganisha na mtoto wa kike.

You are wrong. Hizo tofauti zote ulizosema ni za kufikirika. Maendeleo ya mtoto yanategemea jitihada za mzazi kwenye matunzo, malezi na kwa kiasi gani anamchangamsha mwanae. Hayo mambo ya mtoto wa kiume anachelewa kukaa, kutembea n.k ni visingizio tu vinavyotumika kulemaza watoto. Binafsi nna watoto wawili wa kiume na wote wameanza kutembea wakiwa na miezi 9, kukaa wameanza na miezi minne na kuna rafiki yangu mtoto wake wa kike alianza kutembea akiwa na mwaka na miezi juu, kwahiyo acheni kutoa visingizio visivyo na mantiki. Ukuaji na wepesi wa mtoto kupiga hatua za ukuaji sio swala la kijinsia.

majeshi 1981 mtoto wako ana umri gani? Kwanini unapata wasiwasi? Stage nyingine (kukaa, kutambaa, kusimama na vitu ) ameshapitia? Huwa mnacheza nae na kum-challenge kufanya vitu ambavyo watoto wengine wa umri wake tayari wanafanya? Pengine tatizo halipo kwakr mtoto bali kwenu wazazi/walezi wake. Ongezeni effort!!!!
 
Last edited by a moderator:

kukaa aliwahi, kutambaa ilikuwa issue, kutembelea vitu ndiyo kaanza sasa. Ana mwaka na miezi saba
 
Kama ana mwaka na 7 months nadhani kuna tatizo labda lishe,mazingira si rafiki au vyote kwa pamoja.Mwaka na miezi saba mtoto anatakiwa ameshatembea siku nyingi.

mwanangu ana umri waa mwaka na miezi saba, anatembelea gari la mbao, ukimshika vidole anatembea kukufuata lakini bado hawezi kusimama wala kutembea peke yake, kunatatizo, na kama kunatatizo nifanyeje? mwanangu wa kwanza

kukaa aliwahi, kutambaa ilikuwa issue, kutembelea vitu ndiyo kaanza sasa. Ana mwaka na miezi saba
 
bila shaka mtt wako atakua overweight..mtt akishakua overweight hawi active kabisa jamani tue tunaangalia na diet nzur kwa watt ubonge sio sifa!
 
Atatembea huyo.

Pengine bado muoga au uzito Umezidi.

Lkn Kama una wasiwasi sana mpeleke hospital Kwa wataalam akachekiwe zaidi

ahsante, clinic tunampeleka na tunawaeleza lakini hawaonyeshi kushangaa, ile kwetu ni vichwa vinauma
 
Kama ana mwaka na 7 months nadhani kuna tatizo labda lishe,mazingira si rafiki au vyote kwa pamoja.Mwaka na miezi saba mtoto anatakiwa ameshatembea siku nyingi.

du, maazingira kivipi mkuu, lishe najitahidi sana.
 
Kuna uwezekano pia tabia zenu wewe na mkeo. Kama mkifanya tendo la.ndoa mkalala bila kuoga nalo ni tatizo sugu kwa watu wengi. Au labla umekwisha mpa mimba nyingine mama yake nalo ni tatizo. Vyema awe na kitanda chake la sivyo atakuwa fundi viatu
 
Wanasemaga mtoto wa kike anawahi kuanza. Mtoto wangu wa kiume alianza kutembea akiwa na miezi 10. Huyo wa mwaka na miezi saba naona kachelewa sana.

Anza kumchanganya katikati ya watoto wadogo zaidi yake wanaotembea . Itasadia
 
Kuna uwezekano pia tabia zenu wewe na mkeo. Kama mkifanya tendo la.ndoa mkalala bila kuoga nalo ni tatizo sugu kwa watu wengi. Au labla umekwisha mpa mimba nyingine mama yake nalo ni tatizo. Vyema awe na kitanda chake la sivyo atakuwa fundi viatu

kwamtoro heshimu hisia za watu wengine. Hiyo sentensi yako ya mwisho sio nzuri hata kidogo!!!
 
Last edited by a moderator:
mwanangu ana umri waa mwaka na miezi saba, anatembelea gari la mbao, ukimshika vidole anatembea kukufuata lakini bado hawezi kusimama wala kutembea peke yake, kunatatizo, na kama kunatatizo nifanyeje? mwanangu wa kwanza

Mmh na kuongea ameanza? ila siyo mbaya mkazanie mazoezi na kumchanganya na watoto wengine.
 
Back
Top Bottom