Habari wana JF
Sijui kama hili litakuwa jukwaa husika naomba mniwie radhi kama itakuwa vinginevyo.
Wanajamii ningeomba msaada kwa wale wenye uzoefu au ambao wanauelewa juu ya watoto, mwanangu wa kiume ana umri wa karibu miaka miwili na nusu mpaka umri huo hawezi kujisaidia kwenye pot akiwekwa kwenye pot atakaa muda mfupi kisha ataliondoa na kuliweka pembeni akivalishwa pampers tu anajisaidia.
Hebu naombeni michango yenu katika hili
Nawasalisha
Kuanzia miaka 2 ni umri sahihi kwa mtoto kujisaidia kwenye pot/choo.Inabidi umfanyie pot training!
- Akiamka asubuhi jambo la mwanzo muweke kwenye pot
- Usimvulishe pamper kwenye hili zoezi,na muwekee pot eneo la karibu mfano kama part ya michezo yake na umuambie kwamba akitaka kujisaidia ajisaidie kwenye pot.Ni muhimu sana mtoto aelewe matumizi ya hilo pot
- Hakika mwanzoni atamwaga mkojo sehemu tofauti na hata atajinyea lkn ukishaona anaanza process hio we mkalishe kwenye pot.Kwasababu mtoto ameshazoea kujisaidia kwa uhuru kuna uwezekano pia asiweze kujizuia akishikwa na haja yoyote mpaka afikie pot,EPUKA KUWA MKALI HALI HII IKITOKEA CHUKULIA NI AJALI TU!
- Ni vizuri ukimuwekea rutine vilevile mfano kila baada ya mlo unamkalisha kwenye pot au kabla ya kulala.
- Wakati wa kulala ni vyema akiendelea kutumia pampers mpaka utakapoona amelala usiku kucha mara kadhaa bila kujikojolea.
kila la kheri mkuu!Thank you mimi49 nitayafanyia kazi

Nasukuru Mbeky, nitafanyia kazi
Nawashukuru wote kwa ushauri wenu nitaufanyia kazi.
Unajua wakati mwingine hata hii mihangaiko ya kutafuta shilingi inatufanya watoto kuwaacha na akina dada muda mwingi na ambao huyu mtoto anakuwa anahitaji kujireleave
Watoto huwa hawafanani na ndio maana kuna anayetembea akifika miezi kumi tu while mwingine hadi mwaka bado..so usione kama ni tatizo...tho ni kweli yeye amechelewa..jaribu kuwa mbunifu kwa kutafua poti yenye kumvutia atayoona kama ni sehemu ya kuchezea,pili ukiamka asb anza zoezi la kumtenga kwenye poti .. tatu soma nyakati zake za kujisaidia kama ni baada ya kula basi hakikisha akimaliza tu kula unamuweka kwenye poti...4. yawezekana pia umemchelewesha kuanza zoezi hilo..so bado anaona kitu kigeni next time usione kama huyu bado hataweza andaa poti mapema hata kama unamuona mdogo atajifunza mimi wangu alianza kutumia poti akiwa na miezi kadhaa sikumbuki well but hata mwaka hakutimiza...