Ndalama
JF-Expert Member
- Nov 22, 2011
- 8,787
- 6,538
Habari wana JF
Sijui kama hili litakuwa jukwaa husika naomba mniwie radhi kama itakuwa vinginevyo.
Wanajamii ningeomba msaada kwa wale wenye uzoefu au ambao wanauelewa juu ya watoto, mwanangu wa kiume ana umri wa karibu miaka miwili na nusu mpaka umri huo hawezi kujisaidia kwenye pot akiwekwa kwenye pot atakaa muda mfupi kisha ataliondoa na kuliweka pembeni akivalishwa pampers tu anajisaidia.
Hebu naombeni michango yenu katika hili
Nawasalisha