Umri wa mtoto kuweza kujisadia sehemu husika

Ndalama

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2011
Posts
8,787
Reaction score
6,538
Habari wana JF

Sijui kama hili litakuwa jukwaa husika naomba mniwie radhi kama itakuwa vinginevyo.

Wanajamii ningeomba msaada kwa wale wenye uzoefu au ambao wanauelewa juu ya watoto, mwanangu wa kiume ana umri wa karibu miaka miwili na nusu mpaka umri huo hawezi kujisaidia kwenye pot akiwekwa kwenye pot atakaa muda mfupi kisha ataliondoa na kuliweka pembeni akivalishwa pampers tu anajisaidia.

Hebu naombeni michango yenu katika hili

Nawasalisha
 
usikate tamaa endelea tu kumkalisha kwa pot...si unajua pampers and pot are "european constructed"
 
Habari wana JF

Sijui kama hili litakuwa jukwaa husika naomba mniwie radhi kama itakuwa vinginevyo.

Wanajamii ningeomba msaada kwa wale wenye uzoefu au ambao wanauelewa juu ya watoto, mwanangu wa kiume ana umri wa karibu miaka miwili na nusu mpaka umri huo hawezi kujisaidia kwenye pot akiwekwa kwenye pot atakaa muda mfupi kisha ataliondoa na kuliweka pembeni akivalishwa pampers tu anajisaidia.

Hebu naombeni michango yenu katika hili

Nawasalisha

inategemea na mtoto mwenyewe,lkn cha kuzingatia ni kufatilia ni muda gani anajisaidia kwny pampers hiyo itakusaidia wewe ni saangapi unatakiwa umtenge mwanao ktk pot,baada ya muda atajiongoza mwenyewe...pia ongea nae kwa upendo mfundishe kuwa ukijisikia kubanwa niambia mwanangu natumai mtoto miaka miwili kuna vitu ukizungumza nae anakuelewa..au kama vp mnunulie pot litakalo mshawishi kulitumia yapo ya kila aina.
 
kiuhalisia hayo ni madhara yatokanayo na pampers kwa mtoto, huwa inamlemaza kiakili kwamba kujisaidia ni humo humo na ustarabu wa kujisaidia anakuwa hana/haujui kabisa!! Cha kufanya wacha kabisa kumvalisha pampers mpaka kuwe na special case kama safari n.k. Hata usiku na pia usitumie nguvu (kumchapa) mfundishe kwa matendo kuchukia kujisaidia kwenye nguo na ajue sehemu maalum ni pot au kama unaishi nyumba ya single family it means utamudu usafi wa chooni so umuelekeze chooni moja kwa moja kama ni vyoo vya sinki.

Kuacha kumvalisha pampers kutamfanya ajifunze kuwa kujisaidia siyo kwenye pampers au huku umesimama!! Jaribu kumsoma vizuri kuna sign utagundua kila anapotaka kujisaidia kama kuchezesha miguu au kuhangaika na hapo mvue nguo haraka na kumweka kwenye pot au chooni.

Ukisikia samaki mkunje angali mbichi ndiyo hapo, unaanza na kumjengea ustaarabu sasa.
 
Naona kama umechelewa kumfundisha mapema, maana mimi mtoto wangu kwa umri huo wa miaka miwili na nusu tayari alishaanza shule. Nilichotaka kuchangia naona kuna member hapa ameniwahi. Hebu chukua ushauri wa KIJANAJUZI uufanyie kazi. Niwakumbushe tu akina mama wote acheni kuwashindisha watoto wenu na pampers!
 
umechelewa...hebu mlazimishe kukaa kwenye hilo bakuri. kisha kitahidi ujue mwenendo wake wa kutaka kujisaidia hilo litakusadia sana....
 
Nawashukuru wote kwa ushauri wenu nitaufanyia kazi.

Unajua wakati mwingine hata hii mihangaiko ya kutafuta shilingi inatufanya watoto kuwaacha na akina dada muda mwingi na ambao huyu mtoto anakuwa anahitaji kujireleave
 
Kuanzia miaka 2 ni umri sahihi kwa mtoto kujisaidia kwenye pot/choo.Inabidi umfanyie pot training!
  1. Akiamka asubuhi jambo la mwanzo muweke kwenye pot
  2. Usimvulishe pamper kwenye hili zoezi,na muwekee pot eneo la karibu mfano kama part ya michezo yake na umuambie kwamba akitaka kujisaidia ajisaidie kwenye pot.Ni muhimu sana mtoto aelewe matumizi ya hilo pot
  3. Hakika mwanzoni atamwaga mkojo sehemu tofauti na hata atajinyea lkn ukishaona anaanza process hio we mkalishe kwenye pot.Kwasababu mtoto ameshazoea kujisaidia kwa uhuru kuna uwezekano pia asiweze kujizuia akishikwa na haja yoyote mpaka afikie pot,EPUKA KUWA MKALI HALI HII IKITOKEA CHUKULIA NI AJALI TU!
  4. Ni vizuri ukimuwekea rutine vilevile mfano kila baada ya mlo unamkalisha kwenye pot au kabla ya kulala.
  5. Wakati wa kulala ni vyema akiendelea kutumia pampers mpaka utakapoona amelala usiku kucha mara kadhaa bila kujikojolea.
 
Thank you mimi49 nitayafanyia kazi
 
Habari wana JF

Sijui kama hili litakuwa jukwaa husika naomba mniwie radhi kama itakuwa vinginevyo.

Wanajamii ningeomba msaada kwa wale wenye uzoefu au ambao wanauelewa juu ya watoto, mwanangu wa kiume ana umri wa karibu miaka miwili na nusu mpaka umri huo hawezi kujisaidia kwenye pot akiwekwa kwenye pot atakaa muda mfupi kisha ataliondoa na kuliweka pembeni akivalishwa pampers tu anajisaidia.

Hebu naombeni michango yenu katika hili

Nawasalisha

Mwanangu mie tulimwanzishia mazoea ya kukua kwenye pot immediately alipoanza kutambaa..taratibu akawa anajua akikaa kwenye poti anatakiwa kujisaidia amekua akijua hivyo...yahani we ukimkalisha tu kwenye poti utamsikia anaanza kusukuma hata kama hajisikii...ingawa bado hajafikia umri wa kutamka nataka kupupuu ila tumeshajua ratiba zake za kujisaidia so tuchofanya ni kumweka tu kwenye poti ikifika muda nae ameshazoea na sa hivi anamwaka mmoja na miezi nne na nusu hivi. Ingiwa sometimes upitiwa na kujisaidia kwenye nguo ka watoto wengine.
Kingine tumepunguza muda wa kumvalisha hizo Pampers...yahani uwa anavaa usiku akiwa analala ila mchana akiwa anacheza tumvalisha nguo kawaida akipee au kupupuu tunambadilisha...nimewai kushauliwa uvaaji wa Pampers kwa mtoto muda mwingi sio mzuri eti unachangia kupatikana kwa U.T.I kwa watoto plus mtoto kupata matege maana unamtanua miguu umsumbua wakati wa kucheza au kukimbia..
Kwa hiyo dada angu cha kufanya we kujaribu kumtengenezea mazoea na poti na kujua ratiba zake za kupuu kidogo kidogo atazoea tu..sema nahisi ulimchelewesha kumwanzishia poti.
Kingine cha kuzigandia watoto upenda michezo sana ebu jaribu kumtafutia poti itakayomfanya ajione anastareheka au anacheza wakati anajisaidia
 
Mie nashukuru kwa elim hii, nlikuwa cjui madhara ya pampers na faida za pot wala umri sahihi wa mtoto kujisaidia mwenyewe.
 
Kuanzia miaka 2 ni umri sahihi kwa mtoto kujisaidia kwenye pot/choo.Inabidi umfanyie pot training!
  1. Akiamka asubuhi jambo la mwanzo muweke kwenye pot
  2. Usimvulishe pamper kwenye hili zoezi,na muwekee pot eneo la karibu mfano kama part ya michezo yake na umuambie kwamba akitaka kujisaidia ajisaidie kwenye pot.Ni muhimu sana mtoto aelewe matumizi ya hilo pot
  3. Hakika mwanzoni atamwaga mkojo sehemu tofauti na hata atajinyea lkn ukishaona anaanza process hio we mkalishe kwenye pot.Kwasababu mtoto ameshazoea kujisaidia kwa uhuru kuna uwezekano pia asiweze kujizuia akishikwa na haja yoyote mpaka afikie pot,EPUKA KUWA MKALI HALI HII IKITOKEA CHUKULIA NI AJALI TU!
  4. Ni vizuri ukimuwekea rutine vilevile mfano kila baada ya mlo unamkalisha kwenye pot au kabla ya kulala.
  5. Wakati wa kulala ni vyema akiendelea kutumia pampers mpaka utakapoona amelala usiku kucha mara kadhaa bila kujikojolea.

Zawadi kwa aunt mimi49 tafadhali
 
Last edited by a moderator:
Watoto huwa hawafanani na ndio maana kuna anayetembea akifika miezi kumi tu while mwingine hadi mwaka bado..so usione kama ni tatizo...tho ni kweli yeye amechelewa..jaribu kuwa mbunifu kwa kutafua poti yenye kumvutia atayoona kama ni sehemu ya kuchezea,pili ukiamka asb anza zoezi la kumtenga kwenye poti .. tatu soma nyakati zake za kujisaidia kama ni baada ya kula basi hakikisha akimaliza tu kula unamuweka kwenye poti...4. yawezekana pia umemchelewesha kuanza zoezi hilo..so bado anaona kitu kigeni next time usione kama huyu bado hataweza andaa poti mapema hata kama unamuona mdogo atajifunza mimi wangu alianza kutumia poti akiwa na miezi kadhaa sikumbuki well but hata mwaka hakutimiza...
 
Nawashukuru wote kwa ushauri wenu nitaufanyia kazi.

Unajua wakati mwingine hata hii mihangaiko ya kutafuta shilingi inatufanya watoto kuwaacha na akina dada muda mwingi na ambao huyu mtoto anakuwa anahitaji kujireleave

Hapa umeongea kweli. Lkn jitahidi sana unapopata huo mda uwe unamfundisha. La sivo utaendelea kumvisha pampers hadi akiwa na miaka minne.

Mimi wa kwangu at least wakikaribia miaka miwili naanza kuwafundisha kutokujisaidia kwenye pampers. Ilo poti namueka tangia akiwa na miezi 6 au zaidi kdg.

Na nkianza kumuachisha pampers basi hadi usiku nampanga kwenye pot, tena nategesha reminder alarm ili nisipitiwe na usingizi.
 
Watoto huwa hawafanani na ndio maana kuna anayetembea akifika miezi kumi tu while mwingine hadi mwaka bado..so usione kama ni tatizo...tho ni kweli yeye amechelewa..jaribu kuwa mbunifu kwa kutafua poti yenye kumvutia atayoona kama ni sehemu ya kuchezea,pili ukiamka asb anza zoezi la kumtenga kwenye poti .. tatu soma nyakati zake za kujisaidia kama ni baada ya kula basi hakikisha akimaliza tu kula unamuweka kwenye poti...4. yawezekana pia umemchelewesha kuanza zoezi hilo..so bado anaona kitu kigeni next time usione kama huyu bado hataweza andaa poti mapema hata kama unamuona mdogo atajifunza mimi wangu alianza kutumia poti akiwa na miezi kadhaa sikumbuki well but hata mwaka hakutimiza...

Yah ni kweli.

Sisi kwetu ktk vitu vya mwanzo anavonunuliwa mtt basi ni pamoja na pot.

Yani kiasi akianza kukaa tu mtt unamuekesha kwenye pot anazoea
 
Back
Top Bottom