Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuanzia miaka 2 ni umri sahihi kwa mtoto kujisaidia kwenye pot/choo.Inabidi umfanyie pot training!
- Akiamka asubuhi jambo la mwanzo muweke kwenye pot
- Usimvulishe pamper kwenye hili zoezi,na muwekee pot eneo la karibu mfano kama part ya michezo yake na umuambie kwamba akitaka kujisaidia ajisaidie kwenye pot.Ni muhimu sana mtoto aelewe matumizi ya hilo pot
- Hakika mwanzoni atamwaga mkojo sehemu tofauti na hata atajinyea lkn ukishaona anaanza process hio we mkalishe kwenye pot.Kwasababu mtoto ameshazoea kujisaidia kwa uhuru kuna uwezekano pia asiweze kujizuia akishikwa na haja yoyote mpaka afikie pot,EPUKA KUWA MKALI HALI HII IKITOKEA CHUKULIA NI AJALI TU!
- Ni vizuri ukimuwekea rutine vilevile mfano kila baada ya mlo unamkalisha kwenye pot au kabla ya kulala.
- Wakati wa kulala ni vyema akiendelea kutumia pampers mpaka utakapoona amelala usiku kucha mara kadhaa bila kujikojolea.

Mfundishe taratibu ataelewa...hakikisha siku unazokuwa nyumbani unamfundisha na dada wa kazi akiwepo ili ajue kuwa hilo nalo ni jukumu lake.
Karibu mpenzi!gorgeousmimi nashukuru sana,nilianza kumzoesha mwanangu kutumia poti badala ya pampers na sahivi ameshazoea kabisaa hata ikitokea nimemvalisha pampers hajisaidii mpaka nimtoe hiyo pampers.
Ubarikiwe sana sana
Cc: Lizzy