Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Kweli tupu, mtu kama Ndugai, Kabudi, Mwigulu hao ni vijana?Miaka 30 is fair enough kama kuna Institutions imara za kuwadhibiti viongozi pale wanapoanza kukengeuka. Ushenzi wa mtu kama Sabaya na Bashite ukikuwa wazi awali kabisa ila wakalindwa (or rather wahusika wakaogopa kudeal nao kwa kuwa mteuzi wao alikuwa Rais na mtetezi wao)
Mtu mshenzi ni mshenzi tu hata akiwa na miaka 70
Upo sahihi sn mkuuAkili ya mtu ni ya mtu tu na huwa inatofautiana kati ya mtu na mtu
Miaka 35 wewe ni mzee maisha yanaenda kasi sana
Watu wanaongoza kaya zao wana MIAKA 10 na kaya zimefika (Kaya zinazoongozwa na watoto)
Sasa kijeba huyu ana MIAKA zaidi ya 25 umepewa madaraka amembwelambwela tu
Hiyo ni tabia ya ulevi wa kawaida kabisa wa madaraka ambao haujalishi umri, jinsi, kabila, chama wala mambo yanayofanana na hayo wa mtu husika
Bahati mbaya watanzania tunapenda zaidi kujadili na tunatumia muda mwingi kujadili matukio na si chanzo au kiini cha matukio.Umezungumza jambo la msingi sana. Nafasi za kiutawala na uongozi wa juu unahitaji umri uliopevuka. Hivi ndivyo ilivyo, hata kwenye vitabu vitakatifu Mwenyezimungu aliwapa utume na unabii wale waliofikia miaka 40. Hii inamaanisha *Age matters. Bila shaka kuna haja ya kuliangalia hili kwa jicho la ziada kwa wenye mamlaka ya uteuzi.
Ni kweli lakini watu kama Mwigulu, Ndugai na Kabudi huwezi kuwatumia kwa kuwapeleka field wakaongoze uporaji kwa kutumia silaha au kuvamia kituo cha utangazaji kama radio au tv.Kweli tupu, mtu kama Ndugai, Kabudi, Mwigulu hao ni vijana?
Hawapati muda tu lakini ni watu waovu vibaya sn Mwigulu amefanya maovu makubwa same to NdugaiNi kweli lakini watu kama Mwigulu, Ndugai na Kabudi huwezi kuwatumia kwa kuwapeleka field wakaongoze uporaji kwa kutumia silaha au kuvamia kituo cha utangazaji kama radio au tv.
Mbona Anthony Mtaka hajafika huo umri na ana hekima na busara kuliko hata Ndugai?Bahati mbaya watanzania tunapenda zaidi kujadili na tunatumia muda mwingi kujadili matukio na si chanzo au kiini cha matukio.
Ukiangalia kwa sasa utagundua vijana wengi ndio wanatumika katika kutenda maovu ya kiutawala kuliko wazee au watu wenye umri mkubwa ambao uovu au kasoro zao ziko kwenye mambo kama ya wizi na ufisadi lakini sio haya ya kuteka,kuvamia vituo vya tv/radio na mengine ya aina hiyo.
Hialii hii ni moja ya sababu ya ma-DC na mara- RC wengi vijana kulaumiwa kwa mambo kama kuweka watu ndani hovyo hovyo kinyume kabisa na sheria, au kutoa lugha za kutishia uhai na maisha ya watu wengine.
Naona wakati umefika tuweke kigezo cha umri kwa watu wanaoteeuliwa kushika nafasi au madaraka makubwa serikalini na katika Utumishi wa umma.
Katika nchi yetu, uteuzi hufanywa zaidi na Raisi na wateule wa Raisi wote hupewa dhamana au madaraka makubwa na hivyo kuna uwezekano baadhi hupewa madaraka makubwa kuzidi umri wao( wanakuwa hawajakomaa).
Vijana wengi wa kitanzania chini ya miaka 35 wanakuwa bado wanasumbuliwa na ujana na hivyo inakuwa rahisi kulewa madraka na pia ni rahisi zaidi kwa watawala wabovu kuwatu vijana kwa mambo yaliyo kinyume na maadili yetu na hata utu wa mwanadamu.
Mbali na kusumbuliwa na ujana( kupsndisha mabega, n.k) ni wazi pia watawala huwachukulia vijana wanaowapa madaraka kama watoto wao wa kuwazaa hivyo inakuwa rahisi kuwatumia kwa mambo ya hovyo.
Ukiacha katika majeshi ambako amri ndio hutawala hivyo inakuwa rahisi hata kuwatumia watu wenye umri mkubwa kufanya mambo ambayo ni kinyume na sheria za nchi na maadili ya kitabzania, nii vigumu kwa watawala kuwatumia wateule wenye umri sawa na wao kutenda mambo ya hovyo kama wanavyoweza kuwaagiza au kuwatumia vijana waliowapa madaraka.
Hivyo, japo si vijana wote wanakosa busara za uongozi na wanaoweza kutumika vibaya, napendekeza umri wa wateule wote wa Raisi nchi hii kuanzia walau miaka 35 na ikibidi zaidi ya hapo.
Najua wako vijana wanafanya vizuri tu katika uongozi, ila ni bora tuweke hiki kigezo ili kuondoa au kupunguza risk ya kuwa na vijana wanaotumika vibaya na watawala au kuwa na vijana ambao bado hawajakomaa kupewa madaraka makubwa ya kuteuliwa na Raisi au Mamlaka nyingine za uteuzi.
Vijana wengi wa kitanzania wa leo hii sio sawa na wale wa miaka ya nyuma walioweza kupewa madaraka makubwa na wasiwaangushe waliowapa madaraka.
Kuhusu viongozi wa kuchaguliwa, hiyo ni agenda nyingine ingawa bado agenda hiyo inaweza ku-fit hata katika hii mad na hivyo hapa sitaiongelea.
Nawasilisha.
Kama nilivyosema tangu mwanzo kwenye huu uzi, exceptions lazima ziwepo ila tunaangalia majority katika kundi la umri fulani wana-behave vipi kufikia conclusion.Hawapati muda tu lakini ni watu waovu vibaya sn Mwigulu amefanya maovu makubwa same to Ndugai
Akina Kabudi, Ndugai na wengine wana matendo ya hovyo na wakati ni wazee kabisaMagu mwenyewe alikuwa above 55 lakini ndio alikuwa anaoongoza kwa ulevi wa madaraka. Makonda, Mwigulu nk hao wote wako above hiyo 35, unawaona walivyo na siasa za kishenzi?
Tatizo mnafikiri kutakuwa hakuna expections.Akina Kabudi, Ndugai na wengine wana matendo ya hovyo na wakati ni wazee kabisa
Vipi marehemu mkuu tabia zake alikuwa under 35? na ndiyo hawa akina Makonda, Mnyeti, Sabaya wameiga kwake, shida ni kwamba hatuadai watu kuja kuwa viongozi tunaandaa watu kuja kuua wapinzani. OverKama nilivyosema tangu mwanzo kwenye huu uzi, exceptions lazima ziwepo ila tunaangalia majority katika kundi la umri fulani wana-behave vipi kufikia conclusion.
Mkuu Bashiru na Polepole ni under 35? yote ni balaa tupuTatizo mnafikiri kutakuwa hakuna expections.
Wewe mbona huelewi?Unaelewa maana ya watawala kuwatumia vijana kufanya uovu?Hao uliowataja huoni wako Katika kundi hilo?Vipi marehemu mkuu tabia zake alikuwa under 35? na ndiyo hawa akina Makonda, Mnyeti, Sabaya wameiga kwake, shida ni kwamba hatuadai watu kuja kuwa viongozi tunaandaa watu kuja kuua wapinzani. Over
Sawa mkuu endelea unavyoaminiWewe mbona huelewi?Unaelewa maana ya watawala kuwatumia vijana kufanya uovu?Hao uliowataja huoni wako Katika kundi hilo?
Kwa nini liwe taifa la wendawazimu kuruhusu kila mtu kugombea bila kujali vyeti wala umri?Hahahhhaa... Hilo sasa litakua taifa la wendawazimu..!!