peno hasegawa JF-Expert Member Joined Feb 24, 2016 Posts 14,255 Reaction score 23,949 Sep 22, 2023 #1 Mwenye kuifahamu sheria ya ndoa tafadhali! Kuna mama ana miaka 70 anataka kuolewa hii imekaaje?
U Utajua ujui JF-Expert Member Joined Aug 3, 2023 Posts 268 Reaction score 894 Sep 22, 2023 #2 peno hasegawa said: Mwenye kuifahamu sheria ya ndoa tafadhali!! Kuna mama ana miaka 70 anataka kuolewa hii imekaaje?? Click to expand... Kwanini umeweka jukwaa la siasa.
peno hasegawa said: Mwenye kuifahamu sheria ya ndoa tafadhali!! Kuna mama ana miaka 70 anataka kuolewa hii imekaaje?? Click to expand... Kwanini umeweka jukwaa la siasa.
U Utajua ujui JF-Expert Member Joined Aug 3, 2023 Posts 268 Reaction score 894 Sep 22, 2023 #3 peno hasegawa said: Mwenye kuifahamu sheria ya ndoa tafadhali!! Kuna mama ana miaka 70 anataka kuolewa hii imekaaje?? Click to expand... Mwanamke 35 mwanaume uume ukilala .
peno hasegawa said: Mwenye kuifahamu sheria ya ndoa tafadhali!! Kuna mama ana miaka 70 anataka kuolewa hii imekaaje?? Click to expand... Mwanamke 35 mwanaume uume ukilala .
dudus JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 23,782 Reaction score 54,213 Sep 22, 2023 #5 .... fatilia maandiko ukapate kuona mitume walioa hadi umri gani na wake zao waliolewa max umri gani Kisha cheza humo humo! Usisahau min age pia bila kusahau kuoa au kuolewa ni hiari sio lazima.
.... fatilia maandiko ukapate kuona mitume walioa hadi umri gani na wake zao waliolewa max umri gani Kisha cheza humo humo! Usisahau min age pia bila kusahau kuoa au kuolewa ni hiari sio lazima.
S Samiaagain2025 JF-Expert Member Joined Dec 2, 2020 Posts 3,626 Reaction score 3,869 Sep 22, 2023 #6 Peleka huu uchafu kwenye jukwaa la mapenzi.