Umri wako sio gereza, acha kujihukumu na ondoa hiyo fikra

Tormenter

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2019
Posts
427
Reaction score
808
USIACHE UMRI UAMUE HATMA YAKO...

Unaweza kuanza kwa bidii, ukiwa na miaka 29 tu—
Ukajipanga, ukajiamini, ukajenga ndoto zako kimyakimya, baada ya kupoteza kwenye 18-25s

Miaka 31, ukaoa au kuolewa, maisha yakawa tulivu alafu poa tu yani.
Sio mchongo, bali upendo wa kweli, msingi wa kesho yako.

Ukafika 35, ghafla, ukapiga chini...
Kila kitu kikaenda mrama, tofauti na ulivyopanga,
Mungu ukaona amekaa kimya, hata mganga akawa hayupo kabisa.

Lakini miaka 38, ukajikongoja, ukanyanyuka polepole—
Kidogo kidogo, ukaanza kutabasamu tena,
Na amini, kusimama tena inawezekana!

Miaka 41 ikakukaribisha na dhoruba mpya,
Biashara ikayeyuka, marafiki wakawa hewa,
Hata tumaini likatoweka, ukatamani hata kifo kikutie nguvu
Lakini roho ikakuambia: "Don't fool yourself. Hujazaliwq kuwa Mac muga, Simama. Go for it again!"

Ukahangaika huku na kule...
Na hatimaye YOU MADE IT!

Miaka 43, ukaangalia nyuma ukasema:
"Kweli, pale nilipoanguka siyo mwisho wangu!"
Ukafanya RESET ya maisha—ukajenga upya kwa akili na neema.

Na ulipofika 45, maisha yakawa tulivu,
Kila kitu kikawa sawa, kama hakukuwa na mshindani,
Unajipigia zako bata kimya kimya! Yaan kama
Hakukuwa na historia mbaya—ni wewe tu na ushindi wako.

Kimya kimya, bila kelele, ukatoboa mzima mzima...

Sasa ni nani aliyesema umekwisha, ilhali bado unapumua?
Nani huyo anayeweza kuandika mwisho wa hadithi yako, wakati mwandishi bado ni wewe?

Maisha hayana ratiba moja kwa wote...
Kuchelewa si kushindwa, kuanguka si kufa...
Mradi unapumua—BADO UNA NAFASI YA KUSHINDA!
 
Yaani bana hata sizingatii mi nawaza nipambane tuuu badae niwe na familia yangu huko kijijini maeneo ya pwani kama si mkuranga basi itakua chanika

Au kisarawe.. huko najenga naishi ntamalizia huko life langu na kama nitapangiwa dodoma kikazi basi takaa huko kule juu karibu na chuo
 
USIACHE UMRI UAMUE HATMA YAKO...

Unaweza kuanza kwa bidii, ukiwa na miaka 29 tu—
Ukajipanga, ukajiamini, ukajenga ndoto zako kimyakimya, baada ya kupoteza kwenye 18-25s

Miaka 31, ukaoa au kuolewa, maisha yakawa tulivu alafu poa tu yani.
Sio mchongo, bali upendo wa kweli, msingi wa kesho yako.

Ukafika 35, ghafla, ukapiga chini...
Kila kitu kikaenda mrama, tofauti na ulivyopanga,
Mungu ukaona amekaa kimya, hata mganga akawa hayupo kabisa.

Lakini miaka 38, ukajikongoja, ukanyanyuka polepole—
Kidogo kidogo, ukaanza kutabasamu tena,
Na amini, kusimama tena inawezekana!

Miaka 41 ikakukaribisha na dhoruba mpya,
Biashara ikayeyuka, marafiki wakawa hewa,
Hata tumaini likatoweka, ukatamani hata kifo kikutie nguvu
Lakini roho ikakuambia: "Don't fool yourself. Hujazaliwq kuwa Mac muga, Simama. Go for it again!"

Ukahangaika huku na kule...
Na hatimaye YOU MADE IT!

Miaka 43, ukaangalia nyuma ukasema:
"Kweli, pale nilipoanguka siyo mwisho wangu!"
Ukafanya RESET ya maisha—ukajenga upya kwa akili na neema.

Na ulipofika 45, maisha yakawa tulivu,
Kila kitu kikawa sawa, kama hakukuwa na mshindani,
Unajipigia zako bata kimya kimya! Yaan kama
Hakukuwa na historia mbaya—ni wewe tu na ushindi wako.

Kimya kimya, bila kelele, ukatoboa mzima mzima...

Sasa ni nani aliyesema umekwisha, ilhali bado unapumua?
Nani huyo anayeweza kuandika mwisho wa hadithi yako, wakati mwandishi bado ni wewe?

Maisha hayana ratiba moja kwa wote...
Kuchelewa si kushindwa, kuanguka si kufa...
Mradi unapumua—BADO UNA NAFASI YA KUSHINDA!
Kila lenye mwanzo halikosi kuwa na mwisho.
 
Asante..
 
Daah mimi huwa tofauti kabisa sijawahi wazaga umri..
Kuna sehemu flan kama si polisi waliwahi niuliza umri nikachukua simu na kuanza kutoa 2025-2..... Ndo nakuja kukumbuka umri wangu
Wanaowazaga umri ni waajiriwa tu ,wanahisi wakistaafu miaka 60 ndio wamamaliza na hawataki kufanya chochote.Anakuambia zaa mapema usome wote , wakati Mengi ana miaka 70 wanae ni wadogo hata primary hawajamaliza ,kaacha mali mpaka kesho wanasoma vizuri.
 
Ndio mana sijawahi waza umri ..
Mi huwa na pambana kufikia malengo flan ila kichwani nasema kila kitu kitafika wakati sahihi

Na kweli kuna wakati kila kitu kitakua sawa tuu haijalishi
 
USIACHE UMRI UAMUE HATMA YAKO...

Unaweza kuanza kwa bidii, ukiwa na miaka 29 tu—
Ukajipanga, ukajiamini, ukajenga ndoto zako kimyakimya, baada ya kupoteza kwenye 18-25s

Miaka 31, ukaoa au kuolewa, maisha yakawa tulivu alafu poa tu yani.
Sio mchongo, bali upendo wa kweli, msingi wa kesho yako.

Ukafika 35, ghafla, ukapiga chini...
Kila kitu kikaenda mrama, tofauti na ulivyopanga,
Mungu ukaona amekaa kimya, hata mganga akawa hayupo kabisa.

Lakini miaka 38, ukajikongoja, ukanyanyuka polepole—
Kidogo kidogo, ukaanza kutabasamu tena,
Na amini, kusimama tena inawezekana!

Miaka 41 ikakukaribisha na dhoruba mpya,
Biashara ikayeyuka, marafiki wakawa hewa,
Hata tumaini likatoweka, ukatamani hata kifo kikutie nguvu
Lakini roho ikakuambia: "Don't fool yourself. Hujazaliwq kuwa Mac muga, Simama. Go for it again!"

Ukahangaika huku na kule...
Na hatimaye YOU MADE IT!

Miaka 43, ukaangalia nyuma ukasema:
"Kweli, pale nilipoanguka siyo mwisho wangu!"
Ukafanya RESET ya maisha—ukajenga upya kwa akili na neema.

Na ulipofika 45, maisha yakawa tulivu,
Kila kitu kikawa sawa, kama hakukuwa na mshindani,
Unajipigia zako bata kimya kimya! Yaan kama
Hakukuwa na historia mbaya—ni wewe tu na ushindi wako.

Kimya kimya, bila kelele, ukatoboa mzima mzima...

Sasa ni nani aliyesema umekwisha, ilhali bado unapumua?
Nani huyo anayeweza kuandika mwisho wa hadithi yako, wakati mwandishi bado ni wewe?

Maisha hayana ratiba moja kwa wote...
Kuchelewa si kushindwa, kuanguka si kufa...
Mradi unapumua—BADO UNA NAFASI YA KUSHINDA!
Ushauri mzuri sn huu mkuu.
 
Wanaowazaga umri ni waajiriwa tu ,wanahisi wakistaafu miaka 60 ndio wamamaliza na hawataki kufanya chochote.Anakuambia zaa mapema usome wote , wakati Mengi ana miaka 70 wanae ni wadogo hata primary hawajamaliza ,kaacha mali mpaka hesabu miaka kana kwamba ndoto zina "expiry date"

hawa ndo wanasema zaa mapema, soma haraka, alafu ustaafu na kukaa—kwani wewe genereta au roho ya mbuzi?

wanasahau, marehemu Mengi, Mungu amlaze pema,
Alizaa akiwa na miaka 60+, watoto wake bado wanaandika kwa penseli
Na guess what? Wanasoma kwenye legacy—siyo kwenye madeni! UMRI SIO GEREZA

AMINI ukifika 60, utaaanza ku-run foundation,
Utaandika vitabu, utatoa scholarships,
Na bado utamwaga busara kuliko kijana wa 25 anayepost TikTok tu.

Umri si kifungo. Ni rangi tu kwenye kalenda ya safari ya maisha.
Huwez jua lini ni wakati wako wa kung’aa,
utaangaza hata ukiwa na ndevu nyeupe na msaada wa walking stick! Kikubwa ni kuhustle hard
 
Usiforce zaidi hadi ukaharibu ila usibweteke ukashindwa kujaribu. Umri ni kipengele mkuu, as you age you decay and some opportunities lost,
1. kuna ajira huwez jiunga ukiwa na umri fulani
2. Kwa mwanamke, uwezo wa kuoata ujauzito hupungua zaidi akifika 30.
3. Nguvu za mwili pia hupungua.

Umri una matter, na usicheze na nyakati. Kubeba zenge at 60 sio poa bro
 
Kuna muda unaona roho haitaki wala haiwazi ila ni jamii tu inakupa presha.
Jamii ni mbaya sana ikianza kuja na ajenda zake
“Mbona wenzako wameoa?”
“Mbona hujazaa bado?”
“Mbona bado uko nyumbani?”
“Mbona hujaanzisha biashara?”
Mbona, mbona, mbona...

Wanataka ukubali presha, uzikimbize ndoto kwa mbio ambazo hujawahi huna uwezo nazo!

moyoni, unajua
"Hii siyo njia yangu."
"Huu siyo muda wangu."
"Na kama ni safari, basi si lazima nianze na wengine."

Jamii haijui roho yako inasema nini.
Haijui maumivu uliyo nayo,
Haijui sala zako za usiku.
Inajua tu ku-compare na ku-compete
Hustle hard tu.
 
Mchawi ni afya njema tu. Ukiwa na afya ya mwili na akili, hata uwe na miaka 90 bado unaweza kufanya utakacho na kuishi upendavyo.

Tatizo bana nchi zetu hizi ukishafikisha miaka 55+ unashangaa kila aina ya magonjwa yanaanza kukuandama na ni kama vile hua hamna solution. Ukifanikiwa kugonga 70 ni bahati😐

Wakati kuna nchi unakuta watu kugonga miaka 85 mpaka 100 ni kawaida kabisa.
 
Usiforce zaidi hadi ukaharibu ila usibweteke ukashindwa kujaribu. Umri ni kipengele mkuu, as you age you decay and some opportunities lost,
1. kuna ajira huwez jiunga ukiwa na umri fulani
2. Kwa mwanamke, uwezo wa kuoata ujauzito hupungua zaidi akifika 30.
3. Nguvu za mwili pia hupungua.

Umri una matter, na usicheze na nyakati. Kubeba zenge at 60 sio poa bro
Ni kweli umri una nafasi yake, lakini haujaumbwa kuwa mtego.
Kama kila kitu kingehesabiwa kwa kalenda ya binadamu,
Tungesema Abraham alichemka kumzaa Isaka akiwa mzee.
Lakini kumbe muda wa Mungu huwa hauna hofu ya "deadlines."

Unaongelea ajira za kuingia zikiwa na kikomo cha umri?
Fine. Lakini ajira si riziki pekee.
Watu wengi wamepata uhuru mkubwa wakiwa wameacha ajira hizo hizo unazozitukuza.
Wameanzisha kampuni, mashamba, brands, NGOs, podcasts, apps na maduka—
Wengine walikuwa wamekata tamaa na CV, wakakumbatia creativity.

Na kwa wanawake, ni kweli uwezo wa uzazi hupungua na umri.
Lakini usifanye kama kila mwanamke anataka kuzaa kabla 30.
Wengine wanajenga akili zao kwanza, wengine miili yao bado ina nafasi hata wakiwa 40.
Na kwa teknolojia ya sasa – IVF, freezing, medical care bora –
Muda wa uzazi si tishio kama ilivyokuwa miaka ya 80.

Na kuhusu nguvu za mwili kupungua?
Bila shaka!
Lakini kumbuka: nguvu za mwili si hoja kama una msimamo wa akili.
Mzee mwenye maono anaweza akatoa matokeo kuliko kijana mwenye misuli ila hana mwelekeo.

NI KWELI kubeba zege kwenye 60s Age sio poa, lakini je labda mtu huyo amekuwa mbeba zege, kwasbab alipokuwa na miaka 30 alifanya mambo kwa presha yako? Akashindwa kutuliza kichwa
Na sasa anakomaa na ndoto zake akiwa 60?

Listen brother MIVIGA
🛑 Usiwape presha watu kwa hofu ya miaka,
✅ Wape watu nafasi ya kupangilia maisha kwa wakati wao,
🚀 Na waambie: "Ukikosea leo, bado kesho unaweza kurekebisha."
Kwa sababu kuna watu wamechelewa kwa kalenda ya jamii, lakini wamefanikiwa kwa ratiba ya Mungu.
 
USIACHE UMRI UAMUE HATMA YAKO...

Unaweza kuanza kwa bidii, ukiwa na miaka 29 tu—
Ukajipanga, ukajiamini, ukajenga ndoto zako kimyakimya, baada ya kupoteza kwenye 18-25s

Miaka 31, ukaoa au kuolewa, maisha yakawa tulivu alafu poa tu yani.
Sio mchongo, bali upendo wa kweli, msingi wa kesho yako.

Ukafika 35, ghafla, ukapiga chini...
Kila kitu kikaenda mrama, tofauti na ulivyopanga,
Mungu ukaona amekaa kimya, hata mganga akawa hayupo kabisa.

Lakini miaka 38, ukajikongoja, ukanyanyuka polepole—
Kidogo kidogo, ukaanza kutabasamu tena,
Na amini, kusimama tena inawezekana!

Miaka 41 ikakukaribisha na dhoruba mpya,
Biashara ikayeyuka, marafiki wakawa hewa,
Hata tumaini likatoweka, ukatamani hata kifo kikutie nguvu
Lakini roho ikakuambia: "Don't fool yourself. Hujazaliwq kuwa Mac muga, Simama. Go for it again!"

Ukahangaika huku na kule...
Na hatimaye YOU MADE IT!

Miaka 43, ukaangalia nyuma ukasema:
"Kweli, pale nilipoanguka siyo mwisho wangu!"
Ukafanya RESET ya maisha—ukajenga upya kwa akili na neema.

Na ulipofika 45, maisha yakawa tulivu,
Kila kitu kikawa sawa, kama hakukuwa na mshindani,
Unajipigia zako bata kimya kimya! Yaan kama
Hakukuwa na historia mbaya—ni wewe tu na ushindi wako.

Kimya kimya, bila kelele, ukatoboa mzima mzima...

Sasa ni nani aliyesema umekwisha, ilhali bado unapumua?
Nani huyo anayeweza kuandika mwisho wa hadithi yako, wakati mwandishi bado ni wewe?

Maisha hayana ratiba moja kwa wote...
Kuchelewa si kushindwa, kuanguka si kufa...
Mradi unapumua—BADO UNA NAFASI YA KUSHINDA!
Asante ndio maana wanasiasa hukuta waapambana hata kama ana miaka 70 plus.

Unaweza kujiuliza huyu anapambana ili aende wapi wakati muda wa kuondoka duniani unakaribia?

Watu waliofanikiwa duniani hawana kizingiti cha umri kwenye harakati zao.
Rugemalila alikuwa bilionea, ungeweza kusema kwanini alikubali kufungwa wakati angetoa hongo akaondoka jela la mahabusu? Vijana wangesema bora uhonge utoke lakini kwa matajiri ni tofauti.
 
Back
Top Bottom