Kila lenye mwanzo halikosi kuwa na mwisho.USIACHE UMRI UAMUE HATMA YAKO...
Unaweza kuanza kwa bidii, ukiwa na miaka 29 tu—
Ukajipanga, ukajiamini, ukajenga ndoto zako kimyakimya, baada ya kupoteza kwenye 18-25s
Miaka 31, ukaoa au kuolewa, maisha yakawa tulivu alafu poa tu yani.
Sio mchongo, bali upendo wa kweli, msingi wa kesho yako.
Ukafika 35, ghafla, ukapiga chini...
Kila kitu kikaenda mrama, tofauti na ulivyopanga,
Mungu ukaona amekaa kimya, hata mganga akawa hayupo kabisa.
Lakini miaka 38, ukajikongoja, ukanyanyuka polepole—
Kidogo kidogo, ukaanza kutabasamu tena,
Na amini, kusimama tena inawezekana!
Miaka 41 ikakukaribisha na dhoruba mpya,
Biashara ikayeyuka, marafiki wakawa hewa,
Hata tumaini likatoweka, ukatamani hata kifo kikutie nguvu
Lakini roho ikakuambia: "Don't fool yourself. Hujazaliwq kuwa Mac muga, Simama. Go for it again!"
Ukahangaika huku na kule...
Na hatimaye YOU MADE IT!
Miaka 43, ukaangalia nyuma ukasema:
"Kweli, pale nilipoanguka siyo mwisho wangu!"
Ukafanya RESET ya maisha—ukajenga upya kwa akili na neema.
Na ulipofika 45, maisha yakawa tulivu,
Kila kitu kikawa sawa, kama hakukuwa na mshindani,
Unajipigia zako bata kimya kimya! Yaan kama
Hakukuwa na historia mbaya—ni wewe tu na ushindi wako.
Kimya kimya, bila kelele, ukatoboa mzima mzima...
Sasa ni nani aliyesema umekwisha, ilhali bado unapumua?
Nani huyo anayeweza kuandika mwisho wa hadithi yako, wakati mwandishi bado ni wewe?
Maisha hayana ratiba moja kwa wote...
Kuchelewa si kushindwa, kuanguka si kufa...
Mradi unapumua—BADO UNA NAFASI YA KUSHINDA!
USIACHE UMRI UAMUE HATMA YAKO...

Asante..
Wanaowazaga umri ni waajiriwa tu ,wanahisi wakistaafu miaka 60 ndio wamamaliza na hawataki kufanya chochote.Anakuambia zaa mapema usome wote , wakati Mengi ana miaka 70 wanae ni wadogo hata primary hawajamaliza ,kaacha mali mpaka kesho wanasoma vizuri.Daah mimi huwa tofauti kabisa sijawahi wazaga umri..
Kuna sehemu flan kama si polisi waliwahi niuliza umri nikachukua simu na kuanza kutoa 2025-2..... Ndo nakuja kukumbuka umri wangu
Ndio mana sijawahi waza umri ..Wanaowazaga umri ni waajiriwa tu ,wanahisi wakistaafu miaka 60 ndio wamamaliza na hawataki kufanya chochote.Anakuambia zaa mapema usome wote , wakati Mengi ana miaka 70 wanae ni wadogo hata primary hawajamaliza ,kaacha mali mpaka kesho wanasoma vizuri.
Kuna muda unaona roho haitaki wala haiwazi ila ni jamii tu inakupa presha.Ndio mana sijawahi waza umri ..
Mi huwa na pambana kufikia malengo flan ila kichwani nasema kila kitu kitafika wakati sahihi
Na kweli kuna wakati kila kitu kitakua sawa tuu haijalishi
Jamii tuu..Kuna muda unaona roho haitaki wala haiwazi ila ni jamii tu inakupa presha.
Well Said Ndugu yanguMaisha hayana ratiba moja kwa wote...
Kuchelewa si kushindwa, kuanguka si kufa...
Mradi unapumua—BADO UNA NAFASI YA KUSHINDA!
Ushauri mzuri sn huu mkuu.USIACHE UMRI UAMUE HATMA YAKO...
Unaweza kuanza kwa bidii, ukiwa na miaka 29 tu—
Ukajipanga, ukajiamini, ukajenga ndoto zako kimyakimya, baada ya kupoteza kwenye 18-25s
Miaka 31, ukaoa au kuolewa, maisha yakawa tulivu alafu poa tu yani.
Sio mchongo, bali upendo wa kweli, msingi wa kesho yako.
Ukafika 35, ghafla, ukapiga chini...
Kila kitu kikaenda mrama, tofauti na ulivyopanga,
Mungu ukaona amekaa kimya, hata mganga akawa hayupo kabisa.
Lakini miaka 38, ukajikongoja, ukanyanyuka polepole—
Kidogo kidogo, ukaanza kutabasamu tena,
Na amini, kusimama tena inawezekana!
Miaka 41 ikakukaribisha na dhoruba mpya,
Biashara ikayeyuka, marafiki wakawa hewa,
Hata tumaini likatoweka, ukatamani hata kifo kikutie nguvu
Lakini roho ikakuambia: "Don't fool yourself. Hujazaliwq kuwa Mac muga, Simama. Go for it again!"
Ukahangaika huku na kule...
Na hatimaye YOU MADE IT!
Miaka 43, ukaangalia nyuma ukasema:
"Kweli, pale nilipoanguka siyo mwisho wangu!"
Ukafanya RESET ya maisha—ukajenga upya kwa akili na neema.
Na ulipofika 45, maisha yakawa tulivu,
Kila kitu kikawa sawa, kama hakukuwa na mshindani,
Unajipigia zako bata kimya kimya! Yaan kama
Hakukuwa na historia mbaya—ni wewe tu na ushindi wako.
Kimya kimya, bila kelele, ukatoboa mzima mzima...
Sasa ni nani aliyesema umekwisha, ilhali bado unapumua?
Nani huyo anayeweza kuandika mwisho wa hadithi yako, wakati mwandishi bado ni wewe?
Maisha hayana ratiba moja kwa wote...
Kuchelewa si kushindwa, kuanguka si kufa...
Mradi unapumua—BADO UNA NAFASI YA KUSHINDA!
Ni kweli mkuu.Ndio mana sijawahi waza umri ..
Mi huwa na pambana kufikia malengo flan ila kichwani nasema kila kitu kitafika wakati sahihi
Na kweli kuna wakati kila kitu kitakua sawa tuu haijalishi
Wanaowazaga umri ni waajiriwa tu ,wanahisi wakistaafu miaka 60 ndio wamamaliza na hawataki kufanya chochote.Anakuambia zaa mapema usome wote , wakati Mengi ana miaka 70 wanae ni wadogo hata primary hawajamaliza ,kaacha mali mpaka hesabu miaka kana kwamba ndoto zina "expiry date"
Jamii ni mbaya sana ikianza kuja na ajenda zakeKuna muda unaona roho haitaki wala haiwazi ila ni jamii tu inakupa presha.
Ni kweli umri una nafasi yake, lakini haujaumbwa kuwa mtego.Usiforce zaidi hadi ukaharibu ila usibweteke ukashindwa kujaribu. Umri ni kipengele mkuu, as you age you decay and some opportunities lost,
1. kuna ajira huwez jiunga ukiwa na umri fulani
2. Kwa mwanamke, uwezo wa kuoata ujauzito hupungua zaidi akifika 30.
3. Nguvu za mwili pia hupungua.
Umri una matter, na usicheze na nyakati. Kubeba zenge at 60 sio poa bro
Asante ndio maana wanasiasa hukuta waapambana hata kama ana miaka 70 plus.USIACHE UMRI UAMUE HATMA YAKO...