Umri wangu ni miaka 37. Sina nguvu za kiume imara, siwezi kurudia round ya pili

Umri wangu ni miaka 37. Sina nguvu za kiume imara, siwezi kurudia round ya pili

malembeka18

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2018
Posts
3,266
Reaction score
3,698
Habari wakuu kwa miaka karibia 10 Sasa nina shida yakushindwa kurudia tendo round ya pili na hata nilifanikiwa round ya kwanza hiyo nina tumia dakika 5 namaliza na hamu inaisha kabisa hadi baada ya masaa zaid ya 10.

Round ya kwanza uume nikichelewa kuingiza unalala au hata unalala ukiwa ukeni, nini nifanye kuondokana na adha hii inanitesa sana.
 
Habar wakuu kwa miaka karibia10 Sasa nna shida yakushindwa kurudia Tendo round ya pili na hata nlifanikiwa round ya kwanza hiyo nna tumia dakika5 namaliza nahamu inaisha kabisa Hadi baada ya masaa zaid ya10..nahata round yakwanza uume nkichelewa kuingiza unalala au hata unalala ukiwa ukeni...nin nifanye kuondokana na adha hii inanitesa sana
Una watoto?
 
Pole sana kijana wangu.

Bado haujachelewa jaribu kubadili mfumo wako wa maisha hasa ktk nyanja za vyakula, kula vyakula vya asili na vyenye virutubisho vilevile fanya mazoezi kila siku asubuhi na jioni.

Mwisho kabisa ondoa hofu ukiwa na mwenza wako wakati mwengine hofu ya kumaliza mapema na kupata aibu husababisha hayo mambo bila ya kusahau kama wewe ni muumini wa kupanda mnazi kwa mkono mmoja (punyeto) achana na hiyo tabia.
 
Dakika 5 ni standard wala sio tatizo

Wauza vumbi wamekuja na sera mpya ya kupotosha watu ili dawa zao ziuzike.

Na hii inakuja kupewa nguvu na watu ambao wako kwenye abyss na pornografía.

Wanajifananisha wao na hao ma pornstar na kuona kama wao hawana uwezo kwasababu hao ma pornstar wanaenda beyond.
 
Habari wakuu kwa miaka karibia 10 Sasa nina shida yakushindwa kurudia tendo round ya pili na hata nilifanikiwa round ya kwanza hiyo nina tumia dakika 5 namaliza na hamu inaisha kabisa hadi baada ya masaa zaid ya 10.

Round ya kwanza uume nikichelewa kuingiza unalala au hata unalala ukiwa ukeni, nini nifanye kuondokana na adha hii inanitesa sana.
Utashanfaa hivohivo ulivo bado unachepuka dadeeeeki....
 
Back
Top Bottom