Mkuu! Naona umepitia baadhi ya mitandao ukaona wanasema mwanaume rijali anarudia zaidi ya round kadhaa kitandani....
Kuna muda mitandao kwa kiasi flani inatuharibu baadhi ya wanadamu. Tupo tayari kupambania mahitaji ya hisia zetu za kimwili ili kumridhisha mwenza uliyenae,
Wafanyabiashara wa dawa za asili na hata za kisasa za kutibu matatizo yetu wanaleta points za ajabu sanaaaa, ili kuteka fikra na akili za wateja wao. mfano: atakushauri ununue dawa yake ili ukamridhishe mwenza wako kwa kukaa zaidi saa kadhaa kitandani...(haya ni matumizi mabaya ya muda) Kwa bahati mbaya zaidi hata hawa wanawake waliopo kwenye jamii zetu wanasikia hayo matangazo na wanahitaji kujiaminisha kama ni kweli au laaah?
Mkuu! Dakika tano huenda zikawa ni sahihi kwako kama mkeo atakubaliana na hiyo hali lakini kama hakubaliani na hiyo hali basi pambana kubadirisha mfumo wako wa maisha kuanzia: chakula( kula vyakula vya asili), vinywaji( tumia maji kwa wingi kuliko vilevi) na mazoezi pia.
Umesema una miaka 37, hapo bado kidogo uingie 45+ kama una watoto pambania pesa za kukutunza ukifika 48+ uishi kifalme zaidi ( kama pesa zipo za kutosha tulia )...
PESA za kukusaidia wewe na familia yako(watoto wako) ukizeeka na NGUVU ZA KIUME za kupiga round zaid ya 3 ili kumfurahisha huyo uliye nae kipi bora ????