Umri wangu ni miaka 37. Sina nguvu za kiume imara, siwezi kurudia round ya pili

Umri wangu ni miaka 37. Sina nguvu za kiume imara, siwezi kurudia round ya pili

Usije ukatumia Viagra. Utajuta.
Juzi Kati nilikwenda Mloganzila kukawa na promoshon ya dawa za kuongeza nguvu almaaruf Zwagra kutoka Yemen. Dogo kaniambia nichukue tani yangu. Mie nikachukua vibox vitatu ndani Kuna vidonge 2. Nikafika home sikumuambia MTU, siku ya kwanza nikabugia kimoja kutest zali. Kweli mchezo ulikua mtam tukifaidi saana. Siku ya pili nikabugia viwili, mchezo ukawa mtamu ajabu karibia nusu saa tunabadilisha staili tu. Nikawa nimenogewa, siku ya tatu nikanywa viwili Mambo yakawa Moto Mara mbili nikaona na mwenzangu hakai mbali Nami, Upendo Mara mbili, vyakula vitamu tamu tu, siku ya nne nikamalizia kale kamoja Mambo yakazidi kunoga.
Sasa bwana, baada ya kuacha matumizi ya vile vidonge, inachukua romance ya nusu saa nzima ndio abdala astuke. Ikawa hivyo kwa muda wa miezi miwili, abdala kichwa wazi hataki majukumu.
Sasa hivi afadhali Hali ya zamani ya kutwa Mara mbili imeanza kurejea.
Sitakaa niguse mkongo au Viagra. Tangawizi, vitunguu saumu na asali Ni dawa tosha.
 
Punguza mastress,kula vizuri,maji shazi kama unakunywa marizimu na mafegi temana nayo pata muda wa kupumzika
Rizimu c ndo inaboost nguvu yaan mwendo wa humu tyuu humu tyuu.

Au? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Puli mnaisingizia sana yani kila mtu anasema puli hivi mara puli vile yani ni hayo tu.

Ku ejaculate ndani ya dakika 5 ni hali ambayo ni standard kiafya.

Angesema dakika 1 hapo ndio tungeanza kumjadili labda ni over weight au namna gani.

Kisayansi mtu anayechelewa ku ejaculate zaidi ya dakika 30 wanasema moja ya sababu ni eidha demu huyo ni mbaya yani hakuvutii au umetumia madawa.

Nafasi ndogo sana inaangukia kwenye hali ya akili yani kuzaliwa ukiwa hivyo.
Kheeeeh kumbeee??
 
Habari wakuu kwa miaka karibia 10 Sasa nina shida yakushindwa kurudia tendo round ya pili na hata nilifanikiwa round ya kwanza hiyo nina tumia dakika 5 namaliza na hamu inaisha kabisa hadi baada ya masaa zaid ya 10.

Round ya kwanza uume nikichelewa kuingiza unalala au hata unalala ukiwa ukeni, nini nifanye kuondokana na adha hii inanitesa sana.

Kwenye account yako ya bank Una sh ngapi?

Sometimes sio kwamba hauna nguvu za kiume ila ni stress za Maisha Tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio maana shangazi huwa ananizingatia sana kwenye msosi na kuniweka fresh mentally.....

Mkuu pole sana aiseee
Wee nae kimokoo chaliii, huna lolote, na huyo mshangazi koko wako.
Mxxxxxxiiiiiieeeeeew!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nenda kwa urologist.

Ukisikiliza ushauri wa mtu baki utakuwa mpumbavu nenda kwa wataalamu.

Huku utasikia habari za nyeto tu na uchawi.
Mkuu nshaenda kwa ma urologist kama Zakir Akbar agakha,prof yongolo bingwa wa urology aliishia kunipa tadalafil2.5mg baada yakuona hamna shida Sasa nibmstaafu,nilionana na urologist MNH mara mbili,bingwa wa gyno yahaya kapona,mama physician wengi tu wa hospital zingine..ila majibu Yao hamna shida Bali saikolojia hata nkisema najiamin nakuwa Norma Sina wasiwasi sti
Kwenye account yako ya bank Una sh ngapi?

Sometimes sio kwamba hauna nguvu za kiume ila ni stress za Maisha Tu
Account ya bank Salio lipo lakutosha tu
 
Inabidi upige sana tizi brother, Achana na nyeto na madem kwa kipindi cha miaka miwili uwe unaiona kwa mbinde sana… Umia hadi uzoee maumivu, Toka jasho sana brother…. Hamna dawa zaidi ya hiyo and no way brother yani inabidi uitafute pumzi hadi uipate, Nje na hapo KWISHEEER.

Kimoja chali sio issue ila inabidi kiwe more than 20mnts
 
Round moja inamtosha, amka vaa nguo katafute hela. Huwezi kumridhisha mwanamke kwani kuna wanaokwenda mpaka bao saba lakini mwanamke haridhiki, wewe ni nani mpaka umridhishe kiumbe mwanamke?
 
Rizimu c ndo inaboost nguvu yaan mwendo wa humu tyuu humu tyuu.

Au? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Inategemea na rizimu zenyewe mapombe ya kienyeji na ma banana sio
Maybe kischana Cha konyagi na nyama choma robo tatu na ndizi mbili halafu unakazia na maji yako makubwa ya Kilimanjaro
 
Habari wakuu kwa miaka karibia 10 Sasa nina shida yakushindwa kurudia tendo round ya pili na hata nilifanikiwa round ya kwanza hiyo nina tumia dakika 5 namaliza na hamu inaisha kabisa hadi baada ya masaa zaid ya 10.

Round ya kwanza uume nikichelewa kuingiza unalala au hata unalala ukiwa ukeni, nini nifanye kuondokana na adha hii inanitesa sana.
Duuuuuh
 
Back
Top Bottom