gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 3,915
- 6,272
Yaani soda zinaharibu kabisa nguvu za kiumeUnafanya mazoezi,unakunywa soda,kiasia unaspend time kwenye social media,unaangalia pornography?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani soda zinaharibu kabisa nguvu za kiumeUnafanya mazoezi,unakunywa soda,kiasia unaspend time kwenye social media,unaangalia pornography?
Umesamehewa dhambi zote isipokuwa tu kuwa Makolokolo.Dakika 5 ni standard wala sio tatizo
Wauza vumbi wamekuja na sera mpya ya kupotosha watu ili dawa zao ziuzike.
Na hii inakuja kupewa nguvu na watu ambao wako kwenye abyss na pornografía.
Wanajifananisha wao na hao ma pornstar na kuona kama wao hawana uwezo kwasababu hao ma pornstar wanaenda beyond.
Yan ni ngum sana kukutana na chanzo au kupata sabab y wazi kama kisababish cha tatizo hili.. nyeto wanaisingizia tu ila kiukweli haina uhusiano wa moja kwq moja na upungufu wa nguv za kiumeMkuu muhimbili nshaenda vipindi viwili tofaut kwa ajili ya hii shida nkaonekana Sina tatizo
Oaaa mpaka imepatikana daahKaka Hilo game balaa
Una bahati ni dada angu ila otherwise....😂😂😂😂😂😂😂Wee nae kimokoo chaliii, huna lolote, na huyo mshangazi koko wako.
Mxxxxxxiiiiiieeeeeew!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Leta elimu Kwa faida ya kizazi kijachoNaona kuna haja ya kuwapa Elimu vijana, juu ya hili.
Mnaisingizia sana nyeto, punyeto haiondoi nguvu wala uwezo wa mwanaume.Pole sana kijana wangu.
Bado haujachelewa jaribu kubadili mfumo wako wa maisha hasa ktk nyanja za vyakula, kula vyakula vya asili na vyenye virutubisho vilevile fanya mazoezi kila siku asubuhi na jioni.
Mwisho kabisa ondoa hofu ukiwa na mwenza wako wakati mwengine hofu ya kumaliza mapema na kupata aibu husababisha hayo mambo bila ya kusahau kama wewe ni muumini wa kupanda mnazi kwa mkono mmoja (punyeto) achana na hiyo tabia.
Mtu mwenye matatizo ya nguvu za kiume ni either kazaliwa hivyo ama alipata ajali au magonjwa kama kisukariWee kumbee? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama ulikuwa unapiga pull, acha kabisaHabari wakuu kwa miaka karibia 10 Sasa nina shida yakushindwa kurudia tendo round ya pili na hata nilifanikiwa round ya kwanza hiyo nina tumia dakika 5 namaliza na hamu inaisha kabisa hadi baada ya masaa zaid ya 10.
Round ya kwanza uume nikichelewa kuingiza unalala au hata unalala ukiwa ukeni, nini nifanye kuondokana na adha hii inanitesa sana.
Sekondari hakuna mtu aliwahi kugusa Spika? Maana boarding schools ndio ilikua michezo yenu.Habari wakuu kwa miaka karibia 10 Sasa nina shida yakushindwa kurudia tendo round ya pili na hata nilifanikiwa round ya kwanza hiyo nina tumia dakika 5 namaliza na hamu inaisha kabisa hadi baada ya masaa zaid ya 10.
Round ya kwanza uume nikichelewa kuingiza unalala au hata unalala ukiwa ukeni, nini nifanye kuondokana na adha hii inanitesa sana.
sawa inaweza kuwa ni standard au sio standard lakini cha kutisha hapo ni huyo jamaa kutoweza kurudia tena round nyengine
Ni masikini ndio tu anang'ang'na na kurudia raundi ya pilina vipi kutoweza kurudia mzunguko mwengine?
1. Fanya mazoeziHabari wakuu kwa miaka karibia 10 Sasa nina shida yakushindwa kurudia tendo round ya pili na hata nilifanikiwa round ya kwanza hiyo nina tumia dakika 5 namaliza na hamu inaisha kabisa hadi baada ya masaa zaid ya 10.
Round ya kwanza uume nikichelewa kuingiza unalala au hata unalala ukiwa ukeni, nini nifanye kuondokana na adha hii inanitesa sana.
aaaah mkuu nyeto inahusika sana hapoYan ni ngum sana kukutana na chanzo au kupata sabab y wazi kama kisababish cha tatizo hili.. nyeto wanaisingizia tu ila kiukweli haina uhusiano wa moja kwq moja na upungufu wa nguv za kiume
Punyeto ni hatari sana,wengi wenye misuli legevu wakati wa tendo wamepiti zoezi hilo. Misuli ilishalegea haina ushirikiano kabisa,kwa hiyo akichovya tu kidogo basi na wakati mwingine uume unaanguka ukiwa ndani ya uke! Hebu fikria kwa joto lote lile badala ya kupata msisimko zaidi eti mashine inazima tena..! Ajabu sana.aaaah mkuu nyeto inahusika sana hapo