Umri wangu ni miaka 37. Sina nguvu za kiume imara, siwezi kurudia round ya pili

Umri wangu ni miaka 37. Sina nguvu za kiume imara, siwezi kurudia round ya pili

Dakika 5 ni standard wala sio tatizo

Wauza vumbi wamekuja na sera mpya ya kupotosha watu ili dawa zao ziuzike.

Na hii inakuja kupewa nguvu na watu ambao wako kwenye abyss na pornografía.

Wanajifananisha wao na hao ma pornstar na kuona kama wao hawana uwezo kwasababu hao ma pornstar wanaenda beyond.
Umesamehewa dhambi zote isipokuwa tu kuwa Makolokolo.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Mkuu muhimbili nshaenda vipindi viwili tofaut kwa ajili ya hii shida nkaonekana Sina tatizo
Yan ni ngum sana kukutana na chanzo au kupata sabab y wazi kama kisababish cha tatizo hili.. nyeto wanaisingizia tu ila kiukweli haina uhusiano wa moja kwq moja na upungufu wa nguv za kiume
 
Kakae na vijana wa sokoni,wao kuanzia asubuhi ni mwendo wa kula kula tu,asubuhi supu ya samaki ya kawaida sana.
baada ya muda uji/wa ulezi/mtama/ngano.mara aletewe parkage ale(parkGe kuna karanga mbichi,kokwa za maboga,nazi na mhogo.
mchana ugali na mboga zake.
Jioni kikombe cha kasusu anapitishiwa anakunywa,juice ya tikiti/miwa/tende/ndimu/passion/ukwaju. harafu anatembea mita kama 500 kupanda gari na akishuka ana kama mita 500 kufika kwake.
Zingatia mlo,na usiogope kula chochote.
 
Wee nae kimokoo chaliii, huna lolote, na huyo mshangazi koko wako.
Mxxxxxxiiiiiieeeeeew!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Una bahati ni dada angu ila otherwise....😂😂😂😂😂😂😂

Nakupa namba ya shangazi leo
 
Pole sana kijana wangu.

Bado haujachelewa jaribu kubadili mfumo wako wa maisha hasa ktk nyanja za vyakula, kula vyakula vya asili na vyenye virutubisho vilevile fanya mazoezi kila siku asubuhi na jioni.

Mwisho kabisa ondoa hofu ukiwa na mwenza wako wakati mwengine hofu ya kumaliza mapema na kupata aibu husababisha hayo mambo bila ya kusahau kama wewe ni muumini wa kupanda mnazi kwa mkono mmoja (punyeto) achana na hiyo tabia.
Mnaisingizia sana nyeto, punyeto haiondoi nguvu wala uwezo wa mwanaume.

Huyo mwamba ajiangalie msosi, mazoezi pia akapime magonjwa na hali ya afya yake. Ishu kama kisukari na wingi wa damu pia.
 
Habari wakuu kwa miaka karibia 10 Sasa nina shida yakushindwa kurudia tendo round ya pili na hata nilifanikiwa round ya kwanza hiyo nina tumia dakika 5 namaliza na hamu inaisha kabisa hadi baada ya masaa zaid ya 10.

Round ya kwanza uume nikichelewa kuingiza unalala au hata unalala ukiwa ukeni, nini nifanye kuondokana na adha hii inanitesa sana.
Kama ulikuwa unapiga pull, acha kabisa
Hiyo ni koja ya side effect
And punguza pombe na vinywaji vya sukari

Piga mazoezi
 
Habari wakuu kwa miaka karibia 10 Sasa nina shida yakushindwa kurudia tendo round ya pili na hata nilifanikiwa round ya kwanza hiyo nina tumia dakika 5 namaliza na hamu inaisha kabisa hadi baada ya masaa zaid ya 10.

Round ya kwanza uume nikichelewa kuingiza unalala au hata unalala ukiwa ukeni, nini nifanye kuondokana na adha hii inanitesa sana.
Sekondari hakuna mtu aliwahi kugusa Spika? Maana boarding schools ndio ilikua michezo yenu.
 
Habari wakuu kwa miaka karibia 10 Sasa nina shida yakushindwa kurudia tendo round ya pili na hata nilifanikiwa round ya kwanza hiyo nina tumia dakika 5 namaliza na hamu inaisha kabisa hadi baada ya masaa zaid ya 10.

Round ya kwanza uume nikichelewa kuingiza unalala au hata unalala ukiwa ukeni, nini nifanye kuondokana na adha hii inanitesa sana.
1. Fanya mazoezi
2. Kunywa maji mengi
3. Tafuta mwani(sea moss)
Jaribu hivyo vitu. Vimaweza kukisaidia
 
Unakuta mtu ana shida ya nguvu za kiume kwa miaka 5 na zaidi,ila kwenye tiba anataka atumie siku 3 tu apone.Hii nayo ni changamoto kubwa sana kwa wahanga.Yaani tatizo lina miaka halafu unataka upone wiki moja tu! Tatizo kama hili lazima ukubali kutumia dozi kwa mida ili kurejesha na kurekebisha mfumo ulioathirika kwa muda mrefu.Mfumo huendelea kuumarika polepole kadri unavyotumia dawa au lishe au mazoezi tu kulingana na ukubwa wa tatizo.
 
aaaah mkuu nyeto inahusika sana hapo
Punyeto ni hatari sana,wengi wenye misuli legevu wakati wa tendo wamepiti zoezi hilo. Misuli ilishalegea haina ushirikiano kabisa,kwa hiyo akichovya tu kidogo basi na wakati mwingine uume unaanguka ukiwa ndani ya uke! Hebu fikria kwa joto lote lile badala ya kupata msisimko zaidi eti mashine inazima tena..! Ajabu sana.
 
Back
Top Bottom