TheChoji
JF-Expert Member
- Apr 14, 2009
- 5,771
- 17,849
Kwa uzoefu wangu, kushindwa kurudia round ya pili kunasababishwa na mambo yafuatayo, ambayo hayana uhusiano na upungufu wa nguvu za kiume:na vipi kutoweza kurudia mzunguko mwengine?
1. Kuwa na mwanamke uliemzoea sana (mfano mkeo). Hii inawatokea karibu wanaume wote walio oa.
2. Kuwa na mwanamke asie na ushirikiano au asiejua cha kufanya. Baada ya round 1, inabidi mwanamke wako ndio aanze kukuhamasisha kwa njia mbalimbali ili urudi kwenye mood. Sasa ukikutana na "gogo" yeye kajilaza tu hapo kurudia gemu itakua ndoto.
3. Kuwa na mwanamke asie na mvuto. Kurudia round 2 inataka nguvu za ziada. Kama siku hiyo uko na "guluguja" mfano mwanamke ana likitambi, manyama uzembe, mamichirizi, mabakabaka, ananuka k/kikwapa/mdomo nk yaani hayupo sexy, sahau kuhusu round 2.
4. Kufanya mapenzi usiku. Kama umetoka kwenye mihangaiko ya kutwa nzima, umechoka, ukaoga vizuri ukala cha jioni halafu ukaingia kwenye gemu, lazima baada ya goli la kwanza utapitiwa na usingizi mzito na hautaamka tena mpaka kesho yake!
5. Mwanamke kuanza kukuomba hela au kukueleza matatizo yake mara baada ya round 1.