malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,266
- 3,698
Una watoto?Habar wakuu kwa miaka karibia10 Sasa nna shida yakushindwa kurudia Tendo round ya pili na hata nlifanikiwa round ya kwanza hiyo nna tumia dakika5 namaliza nahamu inaisha kabisa Hadi baada ya masaa zaid ya10..nahata round yakwanza uume nkichelewa kuingiza unalala au hata unalala ukiwa ukeni...nin nifanye kuondokana na adha hii inanitesa sana
Mshaanza na ramli zenu chonganishiHukuwa unajichukulia sheria mkononi?
Mazoezi Gani mkuu?Anza mazoezi na kunywa maji mengi. Achana na vyakula vya kukaanga kwenye mafuta
Hiyo ndio sababu kuu sema anazunguka sana, hizo case ni nyingi sana ss hivi na chanzo kikuu (Punyeto)Mshaanza na ramli zenu chonganishi
Utashanfaa hivohivo ulivo bado unachepuka dadeeeeki....Habari wakuu kwa miaka karibia 10 Sasa nina shida yakushindwa kurudia tendo round ya pili na hata nilifanikiwa round ya kwanza hiyo nina tumia dakika 5 namaliza na hamu inaisha kabisa hadi baada ya masaa zaid ya 10.
Round ya kwanza uume nikichelewa kuingiza unalala au hata unalala ukiwa ukeni, nini nifanye kuondokana na adha hii inanitesa sana.
sawa inaweza kuwa ni standard au sio standard lakini cha kutisha hapo ni huyo jamaa kutoweza kurudia tena round nyengineDakika 5 ni standard wala sio tatizo
Wauza vumbi wamekuja na sera mpya ya kupotosha watu ili dawa zao ziuzike...