Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Teeth🤓🤐🤐🤐🤫Mimi pia bado najitafuta mkuu,kama una kazi niambie Wala usicheke!
Bodaboda wanapiga pesa mingi sana , cha muhimu sio pesa kiasi gani , cha muhimu mipango tu master.
Kama kipiKwa Dar es salaam wapite na kutembelea maeneo ya kisarawe2 wilaya ya kigamboni wakiwa na copy za vitambulisho vya NIDA, leseni za udereva au vitambulisho vya kura pamoja na barua za utambulisho za serikali za mitaa walipotoka au kuishi.
Kuna viwanda vingi vinatoa ajira kwa vijana wasio na ujuzi wowote.
Mkuu Mimi Nikitaka kibarua Wala hata sinaga uoga kama unavyodhani,Mimi Nina kibarua changu kwasasa naendesha boda,siku nikikosa kibarua au kazi nitakuja kuomba hapa Wala sionagi aibu!Katumia defensive mechanism mkuu
Nishawasaidia Vijana wengi sana mkuu Hela ya mkate,but Kwa uwezo wangu pia inafika sehemu simudu Kwa wote!Hii - tabia ya kuanza kulia lia ili watu wasikuombe PESA sio tabia nzuri .
MTU ukiona amekuomba kitu usianze kulia lia kwa kusema hata Mimi ni boda boda.
Jifunze njia bora za kuumega mkate wako na watu wengine.