Umughaka ni mtu wa kawaida tu ndugu zangu,ni deiwaka tu asiyekuwa na lolote

Bodaboda wanapiga pesa mingi sana , cha muhimu sio pesa kiasi gani , cha muhimu mipango tu master.
 
Kama kipi
 
Hii - tabia ya kuanza kulia lia ili watu wasikuombe PESA sio tabia nzuri .

MTU ukiona amekuomba kitu usianze kulia lia kwa kusema hata Mimi ni boda boda.

Jifunze njia bora za kuumega mkate wako na watu wengine.
 
Katumia defensive mechanism mkuu
Mkuu Mimi Nikitaka kibarua Wala hata sinaga uoga kama unavyodhani,Mimi Nina kibarua changu kwasasa naendesha boda,siku nikikosa kibarua au kazi nitakuja kuomba hapa Wala sionagi aibu!

Nimewasilisha hili bandiko hapa kwasababu pm kwangu Kuna baadhi ya Vijana wananiomba kazi bila kujua na Mimi ni mpambanaji nisiyekuwa na AJira rasmi!
 
Hii - tabia ya kuanza kulia lia ili watu wasikuombe PESA sio tabia nzuri .

MTU ukiona amekuomba kitu usianze kulia lia kwa kusema hata Mimi ni boda boda.

Jifunze njia bora za kuumega mkate wako na watu wengine.
Nishawasaidia Vijana wengi sana mkuu Hela ya mkate,but Kwa uwezo wangu pia inafika sehemu simudu Kwa wote!

Hivyo kama una uwezo wa kuwasaidia Vijana hapa wasaidie siyo kiwasimanga kama mwanamke!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…