Umuhimu wa chakula katika mapenzi/mahusiano


mamaaaaaaaaaaaaa.....Ashadii, this is perfecto!
nshasiba kwa kusoma tu...
naomba date! 1st date kwako..lol.
 
........... i cant, she is on my mind!! even my last born knows it


Dude you are in trouble!!! Chukua hio in courtesy of Wycleaf & Blidge.... Dah! lol

Someone please call 911

If this is the kind of love that my mom used to warn me about
Man, I'm in trouble, I'm in real big trouble
If this is the kind of love that the old folks used to warn me about
Man, I'm in trouble, I'm in real big trouble

Someone please call 911, yeah yeah
Tell them I just got shot down
And it's piercin' through my soul
Feel my body gettin' cold
 
if loving is wrong, then i dont want to be right!!
 
mamaaaaaaaaaaaaa.....Ashadii, this is perfecto!
nshasiba kwa kusoma tu...
naomba date! 1st date kwako..lol.


Date ya nini tena hali umeshiba....lol
 
Love until it hurts no more i.e if you can not handle pain, you can not love.

You are spot on.....................the only person I ever loved was ME........................it is sad, isn't it..........................how much pleasure I could have given others if I only stepped out of my cocoon?......................................Well, I have refused to pass the test of fear factor...........
 
aaa mjukuu mwenza...mbona kunkatisha stimu kiivyo!??\
Ntakuja ku-gate crush ukinibania.


Mjukuu mwenza wooori NOT!! BUT uje na yule binti eeeh??
The one you have fallen for ili niwatambulishe woote kwa shemejio....lol
 
Mjukuu mwenza wooori NOT!! BUT uje na yule binti eeeh??
The one you have fallen for ili niwatambulishe woote kwa shemejio....lol

Hahaha..si bado hajaingia boxi!??
 
hebu tumwulize cassim gwiji wa mahaba labda atatupa siri ya ziada..........





ha ha ha .... Rutah...

Hii video mahala pake kabisa.... aisee hao warembo... Dah!
Kweli fahari ya macho kabisaaaa.... ila imekaa kishawishi shawishi...
 
Last edited by a moderator:
makulaji labda ni haya..................................................ya kuimarisha afya haswa ya kujaamiana.........................

[h=2]MAMBO YA CHAPATI HAYOO[/h]

Yaani hapo kama hukutoa oda tangu jana yake basi imekula kwako,pamoja na kwamba unamuona mama nanihii akifanya mambo lakini utaambiwa zimeshaisha japo bado zingine ziko jikoni.hao waliokaa pembeni wanasubiria ni wale waliotoa oda zao.
 



ha ha ha.... kweli umeamua... hii nimeipenda...
 
Haaaaaaa!! hii inanikumbushia thread ya lizzy, nakwambia umepitwa mengi mamii, kwa kweli chakula kina play part kubwa sana kwenye maisha, ila chakula gani tunakula ndio ishu.... mie napenda maakuli ya shatashata chuzi ziito kujiramba ndio zangu, sasa nikimpikia mwenzangu anaweza ale kijiko kimoja tu na wala sio mnene kusema anaogopa maunene,Na mara nyingi tunasahau msingi wa msosi pale asubuhi kwenye breakfast...mie napenda sana kukomeshea pale sababu mara nyingi sie wafanakazi tukirudi home tunajisahau kula, nafikiri sababu ya uchovu wa siku nzima, hata ukila mtu unaweza gusagusa tu....hivi mie kwa nini napenda biriani ya kuku hivi!!!!!!!!
 



ha ha ha.... Gaga huishi vituko wala kunichekesha kupelekea kulengwa machozi....
Hio link ya Lizzy kanipa mwenyewe, it was really nice nilishangaa watu kama
The Boss na Bak wakitoa maujuzi, maana tumezoea wadada ndio wanaweza..
na i am very impressed na mdada anaitwa Gaiji... i think yule kama wew jirani unakua mpole kwake...


Ila Gaga dear ni muhimu saana kuangalia hizi rich food (shete shete ) hasa mkifika
middle age.. maana huo ni umri uki gain weight kimbembe ku lose... ila wengine
wana bahati saaana... kimbao mbao anakula na hanenepi!!! Hua nawaonea kweli wivu...lol
 
hahahahaaaa wembamba wa reli, mie napenda sana mabiriani, marosti na mavitu kama hayo
kwa kweli inabidi kupunguza hii, nikila sanasana labda mchemsho hivi.....kuna mchemsho mmoja hivi
ngoja nikwambie ujaribu...chukua kuku wa kienyeji,pilipili mtama zilizosagwa, pilipili mbuzi kama nne na unazikata, hivi kama wala
pilipili ikiwa kuku mmoja vitunguu kama saba hivi unakata makubwamakubwa nandimu za kutosha
ngogwe na vibamia kama kimoja au viwili, vikichemka ukaona kuku kaanza kuiva kiasi, weka viazi mviringo
na hoho kama nne,carrot kama tatu pia na hivi vinachemkaaaaaaaa ukiona vimeiva unasonga kiasi kama ugali hv chumvi usisahau
linatokea bonge la chakula aisee jaribu na hii kisha nipe feedback
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…