Umuhimu wa KATIBA MPYA: Mkuu wa Itifaki Serikalini avaa nguo za CCM

Unaanza kupoteza "focus"...

Shati alilovaa si la CCM....

Si kila rangi ya kijani ni CCM....

Unataka KUANDAMANA kuifuta rangi ya kijani katika bendera yetu ya JMT?!!

#Nchi kwanza!

..Naamini mtoa mada alilenga kutoa dukuduku lake kuhusu uwepo wa Mkuu wa Itifaki wa serikali ktk shughuli ya chama cha siasa.
 
🙄
 
Hivi Mary Majaliwa nae alikua ticha?
 
KAZI kweli kweli
 
Tatizo nyie vijana hamfanyi tafakuri, mihemko na ukurupukaji kwa sana! Umejidharaulisha kwa andiko hili
 
Nguo ya CCM imetajwa kwenye katiba ipi?

Umeona neno CCM kwenye hilo.vazi?
 
"...akimkaribisha WM ktk mktn wa CCM...". Hata alilovaa WM halina nembo yyte lkn ...nk.- mambo mngne yanajitafsiri yenyewe, hayahitaji nembo...
Amevaa shati la kitenge, lisilo na nembo Wala Jina la CCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…