Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Rais ni cheo cha kisiasa, mkuu wa itifaki si cheo cha kisiasa.Sasa kama rais tuu ana chama sembuse mkuu wa itifaki?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rais ni cheo cha kisiasa, mkuu wa itifaki si cheo cha kisiasa.Sasa kama rais tuu ana chama sembuse mkuu wa itifaki?
Thamani ya AMANI ni kubwa zaidi ya huo ubwabwa.....ni ubwabwa unawapeleka pale si unajua njaa wagogo wanauita maulaga ndugu!
Hiivi wananchi wanaendaje kuhudhuria mikutano ambayo haina faida kwa nchi kama hii?
Unaanza kupoteza "focus"...
Shati alilovaa si la CCM....
Si kila rangi ya kijani ni CCM....
Unataka KUANDAMANA kuifuta rangi ya kijani katika bendera yetu ya JMT?!!
#Nchi kwanza!
🙄Kuna upuuzi unafanyika nchi hii nadhani ni kuzimu tu wanaweza kuuelewa.
Tunaposema kuna haja ya kupata KATIBA MPYA kuuondoa huu upuuzi tuna maanisha kweli maana hii nchi imefikia hatua mbaya kiasi cha kusikitisha na kuogopesha.
Mkuu wa Itifaki Serikalini ( Chief of Protocol) ni cheo cha utendaji. Cheo hiki kina hadhi ya Mkurugenzi pale Wizara ya Mambo ya Nje. Mtumishi huyu analipwa mshahara kwa kodi za Wananchi wa Tanzania ambao ndani yake kuna wanachama wa vyama tofauti vya siasa. Analipwa posho kwa kodi hizo za wananchi ambazo pia kuna Watanzania ambao sio wanachama wa chama chochote cha siasa.
Mtumishi huyu anapovaa nguo za CCM tena kwenye sherehe ya CCM ni upuuzi na matusi makubwa sana juu ya utawala bora na utawala wa Sheria.
Ni kielelezo cha ujinga sio tu wake ila kwa Watanzania kuwa tupo kwenye hali mbaya sana.
Kwa kifupi mtumishi huyu hapaswi hata kuwepo kwenye shughuli ya Chama maana shughuli za chama zinapaswa kuratibiwa na kuendeshwa na Chama husika.
Mungu atusaidie.
Pichani:
Mkuu wa Itifaki Serikalini Yusuf Mndolwa akimkaribisha Waziri Mkuu ndani ya Mkutano wa CCM.
Hayo ni mazombie! Ccm ni laana!Uchawa kwa kiwango cha uzamivu (PhD)
KAZI kweli kweliKuna upuuzi unafanyika nchi hii nadhani ni kuzimu tu wanaweza kuuelewa.
Tunaposema kuna haja ya kupata KATIBA MPYA kuuondoa huu upuuzi tuna maanisha kweli maana hii nchi imefikia hatua mbaya kiasi cha kusikitisha na kuogopesha.
Mkuu wa Itifaki Serikalini ( Chief of Protocol) ni cheo cha utendaji. Cheo hiki kina hadhi ya Mkurugenzi pale Wizara ya Mambo ya Nje. Mtumishi huyu analipwa mshahara kwa kodi za Wananchi wa Tanzania ambao ndani yake kuna wanachama wa vyama tofauti vya siasa. Analipwa posho kwa kodi hizo za wananchi ambazo pia kuna Watanzania ambao sio wanachama wa chama chochote cha siasa.
Mtumishi huyu anapovaa nguo za CCM tena kwenye sherehe ya CCM ni upuuzi na matusi makubwa sana juu ya utawala bora na utawala wa Sheria.
Ni kielelezo cha ujinga sio tu wake ila kwa Watanzania kuwa tupo kwenye hali mbaya sana.
Kwa kifupi mtumishi huyu hapaswi hata kuwepo kwenye shughuli ya Chama maana shughuli za chama zinapaswa kuratibiwa na kuendeshwa na Chama husika.
Mungu atusaidie.
Pichani:
Mkuu wa Itifaki Serikalini Yusuf Mndolwa akimkaribisha Waziri Mkuu ndani ya Mkutano wa CCM.
Tatizo nyie vijana hamfanyi tafakuri, mihemko na ukurupukaji kwa sana! Umejidharaulisha kwa andiko hiliKuna upuuzi unafanyika nchi hii nadhani ni kuzimu tu wanaweza kuuelewa.
Tunaposema kuna haja ya kupata KATIBA MPYA kuuondoa huu upuuzi tuna maanisha kweli maana hii nchi imefikia hatua mbaya kiasi cha kusikitisha na kuogopesha.
Mkuu wa Itifaki Serikalini ( Chief of Protocol) ni cheo cha utendaji. Cheo hiki kina hadhi ya Mkurugenzi pale Wizara ya Mambo ya Nje. Mtumishi huyu analipwa mshahara kwa kodi za Wananchi wa Tanzania ambao ndani yake kuna wanachama wa vyama tofauti vya siasa. Analipwa posho kwa kodi hizo za wananchi ambazo pia kuna Watanzania ambao sio wanachama wa chama chochote cha siasa.
Mtumishi huyu anapovaa nguo za CCM tena kwenye sherehe ya CCM ni upuuzi na matusi makubwa sana juu ya utawala bora na utawala wa Sheria.
Ni kielelezo cha ujinga sio tu wake ila kwa Watanzania kuwa tupo kwenye hali mbaya sana.
Kwa kifupi mtumishi huyu hapaswi hata kuwepo kwenye shughuli ya Chama maana shughuli za chama zinapaswa kuratibiwa na kuendeshwa na Chama husika.
Mungu atusaidie.
Pichani:
Mkuu wa Itifaki Serikalini Yusuf Mndolwa akimkaribisha Waziri Mkuu ndani ya Mkutano wa CCM.
Nguo ya CCM imetajwa kwenye katiba ipi?Kuna upuuzi unafanyika nchi hii nadhani ni kuzimu tu wanaweza kuuelewa.
Tunaposema kuna haja ya kupata KATIBA MPYA kuuondoa huu upuuzi tuna maanisha kweli maana hii nchi imefikia hatua mbaya kiasi cha kusikitisha na kuogopesha.
Mkuu wa Itifaki Serikalini ( Chief of Protocol) ni cheo cha utendaji. Cheo hiki kina hadhi ya Mkurugenzi pale Wizara ya Mambo ya Nje. Mtumishi huyu analipwa mshahara kwa kodi za Wananchi wa Tanzania ambao ndani yake kuna wanachama wa vyama tofauti vya siasa. Analipwa posho kwa kodi hizo za wananchi ambazo pia kuna Watanzania ambao sio wanachama wa chama chochote cha siasa.
Mtumishi huyu anapovaa nguo za CCM tena kwenye sherehe ya CCM ni upuuzi na matusi makubwa sana juu ya utawala bora na utawala wa Sheria.
Ni kielelezo cha ujinga sio tu wake ila kwa Watanzania kuwa tupo kwenye hali mbaya sana.
Kwa kifupi mtumishi huyu hapaswi hata kuwepo kwenye shughuli ya Chama maana shughuli za chama zinapaswa kuratibiwa na kuendeshwa na Chama husika.
Mungu atusaidie.
Pichani:
Mkuu wa Itifaki Serikalini Yusuf Mndolwa akimkaribisha Waziri Mkuu ndani ya Mkutano wa CCM.
Amevaa shati la kitenge, lisilo na nembo Wala Jina la CCM.
"...siyo kulialia na uharo juu"!! Uchawa kamili ...dah!Acheni kutapatatapa hicho ni kitenge cha kawaida. km hamwezi siasa au hamuijui nenda mkalime siyo kulialia na uharo juu
amani ya wizi wa kula na utekaji pumbafuThamani ya AMANI ni kubwa zaidi ya huo ubwabwa.....