A warrior
Member
- Mar 13, 2023
- 5
- 4
Nchi inahitaji kuwa na katiba mpya pamoja na tume huru ya uchaguzi, toka miaka ya sitini mpaka Sasa nchi hii haijawahi ongozwa na chama kingine zaidi ya CCM.
Nchi ina mfumo wa vyama vingi vya siasa na vinashiriki uchaguzi Kila baada ya miaka mitano, kutokana na ukosefu wa uhuru katika taasisi inayosimamia uchaguzi (NEC)ndio zinzkuwa ni kama hazishiki kwenye uchaguzi, hivyo basi Kuna ulazima wa kuiunda katiba inayosimamia uhuru wa haki za binadamu.