Umuhimu wa Katiba Mpya

Umuhimu wa Katiba Mpya

A warrior

Member
Joined
Mar 13, 2023
Posts
5
Reaction score
4
Nchi inahitaji kuwa na katiba mpya pamoja na tume huru ya uchaguzi, toka miaka ya sitini mpaka Sasa nchi hii haijawahi ongozwa na chama kingine zaidi ya CCM.

Nchi ina mfumo wa vyama vingi vya siasa na vinashiriki uchaguzi Kila baada ya miaka mitano, kutokana na ukosefu wa uhuru katika taasisi inayosimamia uchaguzi (NEC)ndio zinzkuwa ni kama hazishiki kwenye uchaguzi, hivyo basi Kuna ulazima wa kuiunda katiba inayosimamia uhuru wa haki za binadamu.
 
Katiba idaiwe na waTanzania na asasi za kiraia. Na hii ije baada ya kutoa elimu na hamasa ya umuhimu wa Katiba Mpya na utii wa sheria!

Imani yangu ni ndogo sana kwa vyama vya siasa na mawakala wao!
Tusiwategemee na wala tusiwaweke mstari wa mbele kwenye michakato ya Katiba Mpya!
 
Back
Top Bottom