Umuhimu wa Kiarabu kuwa lugha Rasmi Tanzania

Geniveros hebu na mimi nifundishe mwanangu mwenyewe japo kumwambia mtotoz i love you[emoji1] [emoji23]
Nifundishe maneno ya kutongoza na mapenzi mapenzi nikienda zenj watanikoma vitoto vya kiarabu[emoji12]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yapaswa uje tuition na unilipe pia!!

ya akhiii....!!Supermarket.....!!!
 
kumbe nawe hujui kama mie
Ndio mimi sijui ndo nimeomba msaada wa kufundishwa maneno machache muhimu[emoji1] [emoji1]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yapaswa uje tuition na unilipe pia!!

ya akhiii....!!Supermarket.....!!!
Sawa mkuu..naomba twisheni tuifanye mida ya jioni jioni kama muda huu[emoji12]
 
Zungumza maneno ya ukweli na kujua sio unaongea kwa Shanna kiswahili no lugha ambayo I me ko a maneno mengi toka lugha za kiarabu kihindi pamoja na lugha za kibantu pia kiasi kuna maneno yakijerumani kama shule na mengine halafu kuna Kireno lugha hizo zote zimeingia kwenye kiswahili
 
Labda kiarabu cha Egypt! Pia kiko tofauti kidogo na cha Gulf countries , nipo Oman hapa hamna anayekuelewa ukiongea Kiswahili! Labda ukutane na Wa Oman wenye asili ya Tanzania! Sema Kiswahili na Kiarabu kina share baadhi ya maneno.
Hicho kiarabu cha Egypt nacho kipo tofauti na kiswahili, nimefika Cairo na niliishi miaka miwili , nilipata tabu sana kwenye lugha
 
Ndio mimi sijui ndo nimeomba msaada wa kufundishwa maneno machache muhimu[emoji1] [emoji1]

Sawa mkuu..naomba twisheni tuifanye mida ya jioni jioni kama muda huu[emoji12]
nami nitajiunga iyo kwisheni tena Iwe mapema kabla hajaondoka mfalme kuna kitu nataka kumuomba pliZ
 
Sasa hii mada Mnaipotosha mnatoka kwenye lugha mnaenda kwenye utaifa. Hao watu wengine mnasema RAIA sijui wa Yemen hao wengi wao ni Watanzania wenye asili ya Yemen au Oman kama ilivyo kwa Mfalmewa Oman wazazi wake mmoja no mtanzania lakini ni Mu Oman
Ingawa kiarabu ni lugha inayozungumzwa sana barani Afrika ikifuatiwa na Kiswahili bado sijaona sababu ya kukirasimisha.Kiingereza ni muhimu kwa dunia ya leo na kinatusumbua sana Watanzania.Kurasimisha lugha kuna hatua nyingi sana
 
Mkuu umeongea points, tena Lugha wenzetu shuleni ni tatu, sisi ni mbili tu, kichina ulaya sasa watajifunza kwa sababu ulaya sasa imeingiwa na wachina kama watalii
 

Architectural design sio ushahidi kuwa ni waarabu walijenga. Ushahidi upo kuwa zilijengwa na waafrica waliocopy style ya Kiarabu kutumia corals kutengeneza lime mortar na features walizocopy baada ya kuwa exposed na Arabic styles. Hivyo indigenous nao walishiriki katika kukuza architectures.

Kuna maneno kama Bagamoyo hutakiwi kusifia kwa sababu iliyokana na ukatili wa Arabs katika slavery.

Kilwa ni jina ambalo lilikwepo na ilipewa heshima kwa Africans kutoka kwa externals. Terms nyingine zinaweza kuwepo kwa arabic names lakini sio kwamba hakukwepo na local names. Its a matter of popularity and who ruled later na kubadili facts.

Arabs hawakuleta Ustaarab. Ustaarab ulikwepo kabla ya kuja kwao na walikuja kutokana na kujua kuna interests na nguvu wao wakataka kuichukua kwa self interests. Ndio maana kulikwepo na centralized states, coins, kings, scripts, roman trades na Neolithic cultures.[/QUOTE]
Katika historian uliosoma zaidi ya miji kama Kilwa ,Bagamoyo na Zanzibar wapi katika. Maeneo ya bara walikua na coin zao
 
Iweje Kenya English iwe lugha mama wao kinacho wasaidia wakenya in kwamba sio kama sisi wao wanaongea broken English ukimuelewa basi hawa chekani kama sisi hapa ukiongea English broken utachekwa sana kitu ambacho ni ujinga kiingereza sio mother tongue kwetu mradi ume elewa anasema nini basi
 
ugumu wa hili swala ni kuwa lugha ya kiarabu inanasibishwana uislamu hivyo kukubali iwe sehemu ya lugha rasmi au iwekwe ktk mitaala ya elimu itaonekana ni udini.
 
Mwanamme wa kweli hutamuona akisema upuuzi huo mbele ya halaiki, nna mashaka sana kuwa wewe ni mtoto si rizki.
Ni kweli bebi maana miss chagga atakuuwa akikuta tunachombezana hapa .......haya nimekuelewa nakuja inbobo.......chukua busu kabisa kabla sijaja huko nibox
 
Kiarabu kiingizwe kwenye mitaala 2025 na sio sasa hivi maana tunahitaji maandalizi na kujipanga tujue kiingereza kwanza.
 
Mbona hamuelezi utumwa WA wazungu kwa sababu ni.mabwana zenu naona kila mmoja anapost Upuuzi, hata historia hamjui, kilwa ilitawaliwa na Watu kutoka PERSIA yaani Iran mpaka leo Yako mabaki Yao na Bagamoyo na Zanzibar, ukisoma historia ya Hassan Bin Ali na wanawe Sita walikuja Kabla waarabu na Wareno, hata mtawala WA Mozambique alikuwa anaitwa Mussa Bin Beick ndio neno Mozambique lilipotokea, Ustaarabu WA Africa mashariki ni.Muingilianao WA mataifa Mengi Ila Kuja kwa Waarabu ndio ikawa chachu ya Kuunganisha watu na kupatwa Kiswahili maana Waafrika walikuwa na Lugha zao tafauti kama kinyakyusa Na kichagaa na ndani ya Lugha hizo ni maneno machache sana yanafahamika kwa hio walikuwa hawaelewani, pia Kimbulu au Ki-iraqi ni Lugha inashabihiana sana na Kiarabu cha zamani sana hata Lafiji yake inafanana kwa hio Maneno Mengi ya Kiswahili ni asili karibu 60 ni Lugha ya kiarabu, kiajemi,kihindi na Kireno kwa baadhi ya Maneno but kiarabu kimehodhi maneno mengi sababu kubwa kwanza Waafrika waliunganishwa na Dini Ya Kiislaam ambayo kiarabu ndio hukutaka mpaka Sasa hakuna Muislaam muafrika anaingia msikitini asizungumze Kiarabu maana ni LAZIMA, kuhusu utumwa WA kiarabu Africa Mashariki ni waarabu WA Oman na sio wote walikuja kuchukua watumwa ni watu kama vile biashara haram Ya Unga kwa Sasa but kwa kipindi kile Wazungu nao walwachukua waafrika kuwauza na waarabu waliwauzia watumwa wazungu wakapelekwa visiwa vya Madagascar,Reunion, Maldives, Commorea,Seychelles, Na baadhi tu walipelekwa Uarabuni, WA Yemen ni waarabu hakuna historia INAONESHA walishiriki biashara Ya UTUMWA na huyo Tipu Tibbs Hakuwa mwaraabu someni historia ni Mwaafeika yeye alikuwa anapokea Watumwa waliokuwa wanapokea watumwa waliokuwa wanakamatwa na MA chief WA kiafrica wakiwauzia kwa hio hata WAAFRIKA NAO walishiriki biashara ya UTUMWA SANA, Wazungu nao kwa sababu waliandika historia na kutaka kubatiza Waafrika wakatumia sana PROPAGANDA za kusema Waarabu ni wabaya na dini Yao ni.Mbaya Ili kihalalisha Dini Yao kuingia Kanda hii ya Africa Mashariki. Lakini sijaona mtu yoyote anasema Wazungu walikuwa wabaya na dini Yao Mbaya ndio maana utaona Lugha kama kiengereza Kiliweza kuingia Africa mashariki kwa haraka japo Mjerumani katawala Tanganyika Hakuna mtu anaongea Kijerumani sio kama Nchi Angola au Mozambique wanazungumza Kireno au Wakongoman na.baadhi ya nchi hata za kiarabu Ziliotawaliwa na Wafaransa wanaongea kifaransa Mfano Morocco
 
Labda kiarabu cha Egypt! Pia kiko tofauti kidogo na cha Gulf countries , nipo Oman hapa hamna anayekuelewa ukiongea Kiswahili! Labda ukutane na Wa Oman wenye asili ya Tanzania! Sema Kiswahili na Kiarabu kina share baadhi ya maneno.

Sio kwamba eti hawakuelewi, ni wanafik hawa waarabu wenyu, huenda wanakuona duni/mtumwa na wana ubaguzi wa kuficha ficha, iweje wajifunze lugha ya watumwa?

Mashetani sana nawachukia balaa!
Waliwapora waafrika ardhi(NORTH AFRICA), kuwaua na kuwasukuma kusini.
Natamani mtu mweusi ainuke siku moja na Afrika iuangane iwe nchi, binafsi ningelikuwa na uwezo ningewasongeza nje kule Kaskazini mwa Afrika woote niwaregeshe ARABIA.
Nina rafiki mmoja hapa Saudia ni mmisri wa kusini kule Aswan, alinihadithia ushetani wao, waliowafanyia watu weusi na ardhi yao pamoja na ile Sudan ya shetani mpumbavu Al Bashir!
Wabaguzi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…