Umuhimu wa Kiarabu kuwa lugha Rasmi Tanzania

Umuhimu wa Kiarabu kuwa lugha Rasmi Tanzania

Huo ndiyo ujinga uliojazwa.

Waarabu Afrika hawakuja. Hilo neno Afrika lenyewe ni Kiarabu, for your information.

Uarabu si taifa, si nchi, si eneo, si rangi, ni lugha tu.

Lugha ya kwanza Afrika ni ipi?

Acha uongo bibiye!.....Africa was coined by the GREEKS for lands south of Greece ....after a certain general AFRICANUS who won the battle in Carthage!
Huna ulijualo weye, umekomalia dini utaijuaje historia madhubuti bila elmu dunia/sayansi/"anthropology"?
Tena ukome kuwapotosha watu!
 
Mbona hamuelezi utumwa WA wazungu kwa sababu ni.mabwana zenu naona kila mmoja anapost Upuuzi, hata historia hamjui, kilwa ilitawaliwa na Watu kutoka PERSIA yaani Iran mpaka leo Yako mabaki Yao na Bagamoyo na Zanzibar, ukisoma historia ya Hassan Bin Ali na wanawe Sita walikuja Kabla waarabu na Wareno, hata mtawala WA Mozambique alikuwa anaitwa Mussa Bin Beick ndio neno Mozambique lilipotokea, Ustaarabu WA Africa mashariki ni.Muingilianao WA mataifa Mengi Ila Kuja kwa Waarabu ndio ikawa chachu ya Kuunganisha watu na kupatwa Kiswahili maana Waafrika walikuwa na Lugha zao tafauti kama kinyakyusa Na kichagaa na ndani ya Lugha hizo ni maneno machache sana yanafahamika kwa hio walikuwa hawaelewani, pia Kimbulu au Ki-iraqi ni Lugha inashabihiana sana na Kiarabu cha zamani sana hata Lafiji yake inafanana kwa hio Maneno Mengi ya Kiswahili ni asili karibu 60 ni Lugha ya kiarabu, kiajemi,kihindi na Kireno kwa baadhi ya Maneno but kiarabu kimehodhi maneno mengi sababu kubwa kwanza Waafrika waliunganishwa na Dini Ya Kiislaam ambayo kiarabu ndio hukutaka mpaka Sasa hakuna Muislaam muafrika anaingia msikitini asizungumze Kiarabu maana ni LAZIMA, kuhusu utumwa WA kiarabu Africa Mashariki ni waarabu WA Oman na sio wote walikuja kuchukua watumwa ni watu kama vile biashara haram Ya Unga kwa Sasa but kwa kipindi kile Wazungu nao walwachukua waafrika kuwauza na waarabu waliwauzia watumwa wazungu wakapelekwa visiwa vya Madagascar,Reunion, Maldives, Commorea,Seychelles, Na baadhi tu walipelekwa Uarabuni, WA Yemen ni waarabu hakuna historia INAONESHA walishiriki biashara Ya UTUMWA na huyo Tipu Tibbs Hakuwa mwaraabu someni historia ni Mwaafeika yeye alikuwa anapokea Watumwa waliokuwa wanapokea watumwa waliokuwa wanakamatwa na MA chief WA kiafrica wakiwauzia kwa hio hata WAAFRIKA NAO walishiriki biashara ya UTUMWA SANA, Wazungu nao kwa sababu waliandika historia na kutaka kubatiza Waafrika wakatumia sana PROPAGANDA za kusema Waarabu ni wabaya na dini Yao ni.Mbaya Ili kihalalisha Dini Yao kuingia Kanda hii ya Africa Mashariki. Lakini sijaona mtu yoyote anasema Wazungu walikuwa wabaya na dini Yao Mbaya ndio maana utaona Lugha kama kiengereza Kiliweza kuingia Africa mashariki kwa haraka japo Mjerumani katawala Tanganyika Hakuna mtu anaongea Kijerumani sio kama Nchi Angola au Mozambique wanazungumza Kireno au Wakongoman na.baadhi ya nchi hata za kiarabu Ziliotawaliwa na Wafaransa wanaongea kifaransa Mfano Morocco

Angalau wazungu hawakuwanyofoa nyeti zao mababu zetu na kuwafanya kutoweza kuzaliana.
Tazama WAMAREKANI WEUSI LEO HII....mamilioni...hata WABRAZIL,COLOMBIA ,HAITI na kadhalika.
Wazungu wenyewe wakagundua makosa yao na kupigana vita kuukomesha UTUMWA.
Waliwapiga hata hao waarabu wako ili utumwa ukomeshwe dunia nzima.
Leo hii waarabu bado wanaendeleza utumwa...Mauritani,mashariki ya kati n.k
Makatili, mahayawani hawa waarabu wako!
 
Leo hii Marekani ana raisi mweusi wa asili ya KENYA/AFRIKA(baba mzazi)
Ulaya kuna viongozi wengi tu weusi pamoja na wa asili ya Afrika
ARABUNI JE?
Hata wazawa weusi hawana nafasi,hawapendwi,hawapewi nafasi hata uongozi............na husiniambie lolote kwasababu nipo hapa hapa SAUDIA...na nimekuwepo Iraq,Kuwait,Qatar,Egypt na hizi nchi zote za kiarabu arabu.

waarabu mashetani tu!
 
kwani wew umekuja n.a. mtukufu mfalme au ni huku huku tz?
Ha ha ha haa haww!! Nimeipenda hiyo juu "Don't study me You wont Graduate" !!!

Ndg.mpendwa Mie nilikuja tangu karne ya 14... Babu yangu alikuja na jahazi huku, Sasa huyo highness Mfalme kaja kunirubuni nirudi anichukue huko Morocco..!! Na hapa mashemeji na wajomba wananihitaji khaswa.. !! Sasa sijui vipi ? nipeni ushauri jamani
 
Oh, umeni'pre empty' mkuu. Kwa kweli lugha kubwa duniani ni Kichina na hawa hatuwatendei haki kabisa kwa yale mema waliyotutendea na bado wanatutendea mema tu. Sasa halua na tende kutua tu basi baadhi yetu tumevurugwa! Aibu.
Na wewe sijui unaingea pumba gani.
Umesoma nilicho andika? Na hapo nilipo weka
Rangi nyekundu ndio nini tu ulitaka kusema?
Maana sijaelewa.
 
Hujaona filamu ya Rootsnani Kasema wazungu hawajatowa nyeti zao tazama utumwa uliofanywa na Waarabu na waafrika wenyewe asili ya huku kama Kuwait, Bahrain, Saudi Arabia ni RoyaL family tazama TV za Uarabuni utaona hata mawaziri ni Asili ya Kiafrica hata mtoto WA kifalme alitawala Kuwait ni Muafrika asili, Jee mazungu gani aliemtukuza muafrika huko Ulaya na Mmarekani hakuna mpaka imediriki Wabaguzi wazungu south Kufanya Ibada makanisa hawaingii waafrika halafu mnawatetea wazungu na propaganda zao
 
Acha urongo wewe... Me natumia Decoder ya CTV kuna channel kama 15 hivi za kiarabu ukisikiliza cha zaidi utasikia Sifuri,Shekran,Saba,Al-khamis,sub - Kheli ,Walakini, Raisi, Waziri,Tasmini, Magharibi,Wakati,Hamsini,Isha,IShirini,Themanini,Sabini,Tisini wao huitamka Tisaini na maneno yakubahatisha kwenye mpira wakitangaza ndio zero% mambo ya kusema ati ni 50% wewe ni jipu...

Wakusanye Watoto wako uwapumbaze hadi wakue wakiamini Kiswahili ni 50% ya Kiarabu.. Naomba utuandikie Maneno mia tu ambayo kwa kiarabu ni sawa sawa na Kiswahili... nikupe Zawadi achana na hiyo 50% na ukikaa kimya usichangie kabisa vitu usivyovifanyia utafiti...
Sa' ndugu hapa huoni unajikanganya mwenyewe? Umeambiwa 50% ya Kiswahili ni maneno ya Kiarabu sasa wewe ukaenda kutafuta Kiswahili kwenye Kiarabu! Kwani mtu akisema 80% ya chai ni maji; unachotakiwa kufanya ni kwenda kutafuta %age ya chai kwenye maji au maji kwenye chai?

Smart move, tena ya kukomoa, ungeandika paragraph mzima ya Kiswahili halafu ungemtaka anayesema 50% ya Kiswahili ni maneno ya Kiarabu, aoneshe angalau hiyo 50% ya maneno ya Kirabu kwenye paragraph yako ya Kiswahili! Kinyume chake, ingekuwa ndo unabishana na mimi; ningekuambia ikiwa Kiarabu kina maneno 100 na Kiswahili maneno 60 basi ni maneno 33.3% tu ya maneno ya Kiswahili ndiyo unaweza kuyakuta kwenye Kiarabu kwahiyo usishangae kupata maneno machache kwavile unatafuta maneno machache toka kwenye bahari ya maneno mengi!!!
 
Na wewe sijui unaingea pumba gani.
Umesoma nilicho andika? Na hapo nilipo weka
Rangi nyekundu ndio nini tu ulitaka kusema?
Maana sijaelewa.
Mkuu, nilikuwa namaanisha kile nilichokuwa nataka kuchangia (mawazo yangu) wewe umeniwahi, kwa maana unachowaza wewe na mie ni hivo hivo.
 
Sa' ndugu hapa huoni unajikanganya mwenyewe? Umeambiwa 50% ya Kiswahili ni maneno ya Kiarabu sasa wewe ukaenda kutafuta Kiswahili kwenye Kiarabu! Kwani mtu akisema 80% ya chai ni maji; unachotakiwa kufanya ni kwenda kutafuta %age ya chai kwenye maji au maji kwenye chai?

Smart move, tena ya kukomoa, ungeandika paragraph mzima ya Kiswahili halafu ungemtaka anayesema 50% ya Kiswahili ni maneno ya Kiarabu, aoneshe angalau hiyo 50% ya maneno ya Kirabu kwenye paragraph yako ya Kiswahili! Kinyume chake, ingekuwa ndo unabishana na mimi; ningekuambia ikiwa Kiarabu kina maneno 100 na Kiswahili maneno 60 basi ni maneno 33.3% tu ya maneno ya Kiswahili ndiyo unaweza kuyakuta kwenye Kiarabu kwahiyo usishangae kupata maneno machache kwavile unatafuta maneno machache toka kwenye bahari ya maneno mengi!!!
Hata KUNG'ATUKA ni Kiarabu!!!!!!!!!!
 
NUOTE="FaizaFoxy, post: 18205560, member: 43551"]Kwa uchache ttu bila kwenda mbali, hayo yote niliyokuwekea nyekundu ni maneno yanayotokana na Kiarabu.

Sasa yahesabu yana asilimia ngapi halafu ukatae wewe huna asilimia hizo za Uarabu.

Kumbuka, Uarabu ni lugha, si kabila wala taifa
wala eneo fulani.[/QUOTE]

Ni kweli kiswahili kimebeba mane no mengi ya kiaarabu ni nadra kuunda sentensi ya kiswahili bila neno ya kiaarabu stl hiyo haimaanishi kiswahili ni kiaarabu
Hata kiajemi/farsi na kihindi/Urdu imebeba mane no hayo hayo ya kiaarabu ambayo yapo vile vile kwenye kiswahili

Ni
 
Sasa basi kumbe kiswahili pia ni kiingereza maana kompyuta- Computer......baiskeli - bicycle ......televisheni - television..........taipureta -typewriter .......helikoputa- helicopter..........beseni- basin .......dishi-dish.........
Vyote hivyo vina majina yake ya kiswahi na ni magumu mno, nedna kwenye website ya taasisi ya Kiswahili au endelea kuulizia...AC-Kiyoyozi...Calculator - Kikokotoa, Usijidanganye vyote ulivyotaja vina majina yake halisi.
 
Asante Pharaoh na ancient Egypt ilikua ni Africans tupu watu weusi ulikua ni mfumo nzima wa mweusi mmatumbi mpaka leo wapo kule Somalia na masalia yao painting na artifacts nyingi zinamuonesha Pharaoh walikua weusi waafrika

Lakini haya masheeetaaania maarabu na mizungu baathi yamepotosha history ya Negroes yamechukua our golden history na kujifanya wao hata siku moja muarabu hakuwahi kuwa na urafiki na muafrika yametuibia ardhi yetu yamewahasi mababu zetu wamewachukua mababu zetu utumwani masheeetaaania kabisa maarabu na wazungu wao mlaaniwe milele
Baaasi baaasi baaasi baba usije ukauwa mtu hapa kwa hasira maana wamekukera sana wewe.[emoji1]
 
Architectural design sio ushahidi kuwa ni waarabu walijenga. Ushahidi upo kuwa zilijengwa na waafrica waliocopy style ya Kiarabu kutumia corals kutengeneza lime mortar na features walizocopy baada ya kuwa exposed na Arabic styles. Hivyo indigenous nao walishiriki katika kukuza architectures.

Kuna maneno kama Bagamoyo hutakiwi kusifia kwa sababu iliyokana na ukatili wa Arabs katika slavery.

Kilwa ni jina ambalo lilikwepo na ilipewa heshima kwa Africans kutoka kwa externals. Terms nyingine zinaweza kuwepo kwa arabic names lakini sio kwamba hakukwepo na local names. Its a matter of popularity and who ruled later na kubadili facts.

Arabs hawakuleta Ustaarab. Ustaarab ulikwepo kabla ya kuja kwao na walikuja kutokana na kujua kuna interests na nguvu wao wakataka kuichukua kwa self interests. Ndio maana kulikwepo na centralized states, coins, kings, scripts, roman trades na Neolithic cultures.
Katika historian uliosoma zaidi ya miji kama Kilwa ,Bagamoyo na Zanzibar wapi katika. Maeneo ya bara walikua na coin zao[/QUOTE]
cc: Faiza Foxy
 
Leo hii Marekani ana raisi mweusi wa asili ya KENYA/AFRIKA(baba mzazi)
Ulaya kuna viongozi wengi tu weusi pamoja na wa asili ya Afrika
ARABUNI JE?
Hata wazawa weusi hawana nafasi,hawapendwi,hawapewi nafasi hata uongozi............na husiniambie lolote kwasababu nipo hapa hapa SAUDIA...na nimekuwepo Iraq,Kuwait,Qatar,Egypt na hizi nchi zote za kiarabu arabu.

waarabu mashetani tu!
Huku inabidi Faiza FOxy apelekwe ili akajue kuwa shobo zake na michepuko yake ya kiarabu ni kwanini inatukera na hatuielewi hata kodogo...........maana akianza kutapika uozo wake hapa utadhani ana hata ndugu muarabu katika ukoo wake......wakati yeye ni mweusi tii kama ameangukiwa na kunia la mkaa............aende tu kule akapewe makofi na mitama hadi akirudi aelewe kuwa waarabu ni mbwa tu....
 
Sa' ndugu hapa huoni unajikanganya mwenyewe? Umeambiwa 50% ya Kiswahili ni maneno ya Kiarabu sasa wewe ukaenda kutafuta Kiswahili kwenye Kiarabu! Kwani mtu akisema 80% ya chai ni maji; unachotakiwa kufanya ni kwenda kutafuta %age ya chai kwenye maji au maji kwenye chai?

Smart move, tena ya kukomoa, ungeandika paragraph mzima ya Kiswahili halafu ungemtaka anayesema 50% ya Kiswahili ni maneno ya Kiarabu, aoneshe angalau hiyo 50% ya maneno ya Kirabu kwenye paragraph yako ya Kiswahili! Kinyume chake, ingekuwa ndo unabishana na mimi; ningekuambia ikiwa Kiarabu kina maneno 100 na Kiswahili maneno 60 basi ni maneno 33.3% tu ya maneno ya Kiswahili ndiyo unaweza kuyakuta kwenye Kiarabu kwahiyo usishangae kupata maneno machache kwavile unatafuta maneno machache toka kwenye bahari ya maneno mengi!!!
Sasa kiswahili ni kipi na wewe mbona unazungumza vitu ambavyo ni havina maana...........sasa unasema kiswahili ni kiarabu na tayari hapo ni umeshatofautisha majina kuwa ni lugha mbili tofauti........kutohoa ni tayari umeshaharibu ladha halisi ya neno maana umelibadili kulitamka na hata kuliandika na hiyo inalifanya lile neno kuwa ni jipya ingawa maana zinafanana.....ila haimaanishi kuwa hizi lugha mbili ni zinafanana kabisa......so acha mawazo ya kiwehu.......ni sawa sawa na kusema baadhi ya gari za toyota na zile za marekani......huwa zinafanana kwa asilimia kadhaa body zao.....lakini ukija kwenye performance na bei pamoja na nchi zimetengenezwa inakuwa ni different issue hakuna kufanana hata kidogo na hapo ndipo level tunapoanza kuzungumzia gari......sio kufanana we vipi wewe aaaaagh
 
Huku Taifa likipokea wawekezaji wengi kutoka nchi zinazozungumza lugha ya kiarabu duniani na pia kuwepo kwa fursa za ajira na biashara katika nchi zinazozungumza kiarabu (Morocco, Algeria, UAE, Saudi Arabia, Misri, Libyan n.k) Nafikiri ni busara sasa Lugha ya Kiarabu irasimishwe kwa kuingizwa kwenye mitaala ya elimu kama lugha rasmi ya mawasiliano nchini Tanzania.
umetumwa?????
 
Back
Top Bottom