Mbona hamuelezi utumwa WA wazungu kwa sababu ni.mabwana zenu naona kila mmoja anapost Upuuzi, hata historia hamjui, kilwa ilitawaliwa na Watu kutoka PERSIA yaani Iran mpaka leo Yako mabaki Yao na Bagamoyo na Zanzibar, ukisoma historia ya Hassan Bin Ali na wanawe Sita walikuja Kabla waarabu na Wareno, hata mtawala WA Mozambique alikuwa anaitwa Mussa Bin Beick ndio neno Mozambique lilipotokea, Ustaarabu WA Africa mashariki ni.Muingilianao WA mataifa Mengi Ila Kuja kwa Waarabu ndio ikawa chachu ya Kuunganisha watu na kupatwa Kiswahili maana Waafrika walikuwa na Lugha zao tafauti kama kinyakyusa Na kichagaa na ndani ya Lugha hizo ni maneno machache sana yanafahamika kwa hio walikuwa hawaelewani, pia Kimbulu au Ki-iraqi ni Lugha inashabihiana sana na Kiarabu cha zamani sana hata Lafiji yake inafanana kwa hio Maneno Mengi ya Kiswahili ni asili karibu 60 ni Lugha ya kiarabu, kiajemi,kihindi na Kireno kwa baadhi ya Maneno but kiarabu kimehodhi maneno mengi sababu kubwa kwanza Waafrika waliunganishwa na Dini Ya Kiislaam ambayo kiarabu ndio hukutaka mpaka Sasa hakuna Muislaam muafrika anaingia msikitini asizungumze Kiarabu maana ni LAZIMA, kuhusu utumwa WA kiarabu Africa Mashariki ni waarabu WA Oman na sio wote walikuja kuchukua watumwa ni watu kama vile biashara haram Ya Unga kwa Sasa but kwa kipindi kile Wazungu nao walwachukua waafrika kuwauza na waarabu waliwauzia watumwa wazungu wakapelekwa visiwa vya Madagascar,Reunion, Maldives, Commorea,Seychelles, Na baadhi tu walipelekwa Uarabuni, WA Yemen ni waarabu hakuna historia INAONESHA walishiriki biashara Ya UTUMWA na huyo Tipu Tibbs Hakuwa mwaraabu someni historia ni Mwaafeika yeye alikuwa anapokea Watumwa waliokuwa wanapokea watumwa waliokuwa wanakamatwa na MA chief WA kiafrica wakiwauzia kwa hio hata WAAFRIKA NAO walishiriki biashara ya UTUMWA SANA, Wazungu nao kwa sababu waliandika historia na kutaka kubatiza Waafrika wakatumia sana PROPAGANDA za kusema Waarabu ni wabaya na dini Yao ni.Mbaya Ili kihalalisha Dini Yao kuingia Kanda hii ya Africa Mashariki. Lakini sijaona mtu yoyote anasema Wazungu walikuwa wabaya na dini Yao Mbaya ndio maana utaona Lugha kama kiengereza Kiliweza kuingia Africa mashariki kwa haraka japo Mjerumani katawala Tanganyika Hakuna mtu anaongea Kijerumani sio kama Nchi Angola au Mozambique wanazungumza Kireno au Wakongoman na.baadhi ya nchi hata za kiarabu Ziliotawaliwa na Wafaransa wanaongea kifaransa Mfano Morocco