Umuhimu wa Kiarabu kuwa lugha Rasmi Tanzania

Na tutawala kweli shenzi kabisa hawa......kuna blog fulani niliona picha za ajabu za vituko wanavyofanyiwa waafrik yaani ni unyama......picha na video......wafanyakazi wa kike wanapigwa wakiwa uchi halafu wanawalaza kwenye mabanda ya kuku na mbwa......sasa unajiuliza hawa mbwa wanaojiita waarabu sisi tuwape hadhi ya nini shenzi type........mzungu anaweza kuwa mbaya lakini at least unaweza kwenda bara lao ukajimix na kuishi fresh kama bongo......na hata ndoa utafunga na jamii ya wazungu......ila waarabu seeeee mbwa kabisa hawa.....yaani huwezi oa muarabu pure wa familia ya kishua au ya kati ukiwa ni mtu mweusi...........kwanza wanaweza kukua wakijua unamendea binti yao...........sasa Faiza Foxy anakuja hapa anajikomba komba utadhani hata akikaa nao watamuoma ni mtu watamuona kama gorilla na watamtoa baruti.........

Jinsi mnavyofanyiana Afrika Kusini weusi kwa weusi umeyasahau? na waliyoyafanya Wayahudi kwa weusi umeyasahau nikukumbushe?

Una usongo na Waarabu au ndiyo walikufanya ukawa hivyo, si rizki?

Hapa Afrika awe Mwarabu au asiye Mwarabu wote ni Waafrika tu, unyama unaofanywa hapa Tanzania kwa Watanzania wengine ni mdogo? Nikuoneshe?
 
Kwa hivyo FaizaFoxy jua kuwa warab sio rizki!
Anaelewa sema washa mloga huyu.....ndio maana hata haambiliki......ila ngoja niendelee na mgegedo atakaa sawa tu na sasa hivi mtashangaa anaingia church kumsifu bwana.........
 
Na hii shule nzima wamelawitiwa na Mapadri hapa hapa Tanzania, nao hawa wote ni Waarabu? :

Catholicism
Cif belief
He was my priest and my friend. Then I found out he was a paedophile
How the scandal of Father Kit Cunningham has made Peter Stanford question his church and his faith
Father-Kit-Cunningham-007.jpg

Father Kit Cunningham abused schoolchildren in his care at Soni, Tanzania. Photograph: Mike Pattison

Soma zaidi: He was my priest and my friend. Then I found out he was a paedophile
 
Mbona gemu langu unalikubali......na hata umeshindwa kuniacha bado tunamegana ki'man fongo.......[emoji1]

Wewe mwenyewe unamegwa, utaweza wapi wewe mtoto wa wenyewe, wenye kuweza hawasemi, wametulia tuli.
 
Jinsi mnavyofanyiana Afrika Kusini weusi kwa weusi umeyasahau? na waliyoyafanya Wayahudi kwa weusi umeyasahau nikukumbushe?

Una usongo na Waarabu au ndiyo walikufanya ukawa hivyo, si rizki?

Hapa Afrika awe Mwarabu au asiye Mwarabu wote ni Waafrika tu, unyama unaofanywa hapa Tanzania kwa Watanzania wengine ni mdogo? Nikuoneshe?
Sikiliza........mtu mweusi kumpiga mtu mweusi inaitwa kawaida ila mtu wa jamii nyingine anapomgusa ama kumdhuru mtu mweusi haiwezi chukuliwa ni kawaida.......

Waarabu sio waafrika bana........hebu google Africans kama utaletewa sura ya muarabu mbona unataka kurahisisha mambo......achana na historia za kutengeneza hizo........

Waarabu asili yao ni huko Persian empires.......sio Afrika hapa walikuja tu na umbea wao.......sisi waafrika by nature ni watu weusi......nakushangaa wewe unaukana uafrika wako unataka kujifanya muarabu.....nonsense.......utafeli na ukoo wako wote ......wewe ni mtu mweusi period......hizo mbwembwe za kujifanya una DNA za kiarabu utuondolee kabisa ushamba huo wa kizamani.......na ninyi ndio aina ya waafrika mnao tufanya waafrika tujikane na kujiona dhaifu mbele ya ngozi nyeupe.......bure kabisa na maturubai yako hayo.......
 
Anaelewa sema washa mloga huyu.....ndio maana hata haambiliki......ila ngoja niendelee na mgegedo atakaa sawa tu na sasa hivi mtashangaa anaingia church kumsifu bwana.........

Hujasoma shule hii na hawa siyo ma father wako?

Tim Choice said:
Kwa hivyo FaizaFoxy jua kuwa warab sio rizki!
Na hii shule nzima wamelawitiwa na Mapadri hapa hapa Tanzania, nao hawa wote ni Waarabu? :

Catholicism
Cif belief
He was my priest and my friend. Then I found out he was a paedophile
How the scandal of Father Kit Cunningham has made Peter Stanford question his church and his faith
Father-Kit-Cunningham-007.jpg

Father Kit Cunningham abused schoolchildren in his care at Soni, Tanzania. Photograph: Mike Pattison

Soma zaidi: He was my priest and my friend. Then I found out he was a paedophile
 
Sikiliza........mtu mweusi kumpiga mtu mweusi inaitwa kawaida ila mtu wa jamii nyingine anapomgusa ama kumdhuru mtu mweusi haiwezi chukuliwa ni kawaida.......

Waarabu sio waafrika bana........hebu google Africans kama utaletewa sura ya muarabu mbona unataka kurahisisha mambo......achana na historia za kutengeneza hizo........

Waarabu asili yao ni huko Persian empires.......sio Afrika hapa walikuja tu na umbea wao.......sisi waafrika by nature ni watu weusi......nakushangaa wewe unaukana uafrika wako unataka kujifanya muarabu.....nonsense.......utafeli na ukoo wako wote ......wewe ni mtu mweusi period......hizo mbwembwe za kujifanya una DNA za kiarabu utuondolee kabisa ushamba huo wa kizamani.......na ninyi ndio aina ya waafrika mnao tufanya waafrika tujikane na kujiona dhaifu mbele ya ngozi nyeupe.......bure kabisa na maturubai yako hayo.......

Hapo ndipo ulipojazwa ujinga shule, soma, nime google...

African Arabs - Google Search
 
Hujasoma shule hii na hawa siyo ma father wako?

Tim Choice said:
Kwa hivyo FaizaFoxy jua kuwa warab sio rizki!
Na hii shule nzima wamelawitiwa na Mapadri hapa hapa Tanzania, nao hawa wote ni Waarabu? :

Catholicism
Cif belief
He was my priest and my friend. Then I found out he was a paedophile
How the scandal of Father Kit Cunningham has made Peter Stanford question his church and his faith
Father-Kit-Cunningham-007.jpg

Father Kit Cunningham abused schoolchildren in his care at Soni, Tanzania. Photograph: Mike Pattison

Soma zaidi: He was my priest and my friend. Then I found out he was a paedophile
Kimbilio lako siku zote ni kesi za mapadre kubaka watoto hapo ndipo uligotea na siku wakiacha sijui utatumia nini............

Sasa huwezi kutumia sample ya uhalifu kujadili tabia za population ya watu maana hata wapo watu ambao wanafanya matukio hayo na wapo taasisi za dini kama madrasa na huwezi conclude kuwa dini yao inasapoti huo ujinga......lakini pia wapo watu wakawaida kama walimu wa shule za kawaida binafsi ama za serikali mbona nao wanafanya hayo matukio......sasa we ndio unachukulia ndio angle ya kujitetea........bure kabisa.

Sasa utoke kwenye mada........wewe kama utakuwa muislamu uwe tu lakini acha ujinga wa kujikana kuwa mwafrika na kujibadili asili kujiona muarabu.......watu wa aina yako ndio walikuwa masnitch miaka ya utumwa maana walikuwa wanachongea wenzao kwa waarabu ili wao waonekane ni muhimu......
 
Jinsi mnavyofanyiana Afrika Kusini weusi kwa weusi umeyasahau? na waliyoyafanya Wayahudi kwa weusi umeyasahau nikukumbushe?

Una usongo na Waarabu au ndiyo walikufanya ukawa hivyo, si rizki?

Hapa Afrika awe Mwarabu au asiye Mwarabu wote ni Waafrika tu, unyama unaofanywa hapa Tanzania kwa Watanzania wengine ni mdogo? Nikuoneshe?
Wewe acha kuwapamba hao mafirauni....
Kama ni wazuri mbona hamkimbilii nchi zao mnaenda kwa wazungu?
 
Acha uongo bibiye!.....Africa was coined by the GREEKS for lands south of Greece ....after a certain general AFRICANUS who won the battle in Carthage!
Huna ulijualo weye, umekomalia dini utaijuaje historia madhubuti bila elmu dunia/sayansi/"anthropology"?
Tena ukome kuwapotosha watu!
Huyu bibi kwenye mada zenye harufu ya udini na kuutukuza uarabu.. habanduki.
 
Kimbilio lako siku zote ni kesi za mapadre kubaka watoto hapo ndipo uligotea na siku wakiacha sijui utatumia nini............

Sasa huwezi kutumia sample ya uhalifu kujadili tabia za population ya watu maana hata wapo watu ambao wanafanya matukio hayo na wapo taasisi za dini kama madrasa na huwezi conclude kuwa dini yao inasapoti huo ujinga......lakini pia wapo watu wakawaida kama walimu wa shule za kawaida binafsi ama za serikali mbona nao wanafanya hayo matukio......sasa we ndio unachukulia ndio angle ya kujitetea........bure kabisa.

Sasa utoke kwenye mada........wewe kama utakuwa muislamu uwe tu lakini acha ujinga wa kujikana kuwa mwafrika na kujibadili asili kujiona muarabu.......watu wa aina yako ndio walikuwa masnitch miaka ya utumwa maana walikuwa wanachongea wenzao kwa waarabu ili wao waonekane ni muhimu......

Vipi, inauma?
 
Angalau wazungu hawakuwanyofoa nyeti zao mababu zetu na kuwafanya kutoweza kuzaliana.
Tazama WAMAREKANI WEUSI LEO HII....mamilioni...hata WABRAZIL,COLOMBIA ,HAITI na kadhalika.
Wazungu wenyewe wakagundua makosa yao na kupigana vita kuukomesha UTUMWA.
Waliwapiga hata hao waarabu wako ili utumwa ukomeshwe dunia nzima.
Leo hii waarabu bado wanaendeleza utumwa...Mauritani,mashariki ya kati n.k
Makatili, mahayawani hawa waarabu wako!

Tatizo huwa hamsomi au mnachosoma hamkielewi. Soma uone Wazungu tena wakanisani walivyowafanya babu zako...

How Violent Was American Slavery? Colonial Slave Codes

The South Carolina legislature pioneered these laws in the 1690s, mandating that for the first offense, male and female slaves would be branded with an “R” on the cheek. For a second offense, female slaves would have an ear cut off, while male slaves would be castrated.
 
Creativity, inventions and innovations ndivyo vinavyochangia ukuaji wa lugha. Wazungumzaji wa lugha inayotumiwa katika hayo yote ndio watakaotufanya automatically bila kugharamia kuwa na Lugha yao kwa kizazi kijacho kwa miaka mingi ijayo. Fikiria uwingi wa maneno ya yatokanayo na bidhaa au huduma katika ulimwengu huo. Hata mtoto mdogo anaelewa kutumia bidhaa zao kwa lugha ya wenye lugha iliyoenea kwenye teknolojia! Pia ieleweke kuwa lugha ni maisha na vinavyokuzunguka, sasa hayo ndio yataamua Lugha ya kuja kuwa lugha nyepesi (ikidhi vigezo vya kurasimishwa). Njia hii ya ukuaji wa lugha hakuna haja ya kukariri maneno bali ni kuishi nayo tu ndo kunageuka kuwa lugha inayostahili kurasimishwa. Mataifa mengi duniani yametumia fedha nyingi kuhakikisha lugha ya waliotangulia katika tasnia fulani ndiyo itafutwe haraka na kwa kila namna.
Dini nazo zimekuwa na mchango mkubwa katika ukuaji wa lugha lakini naona ile kasi kuhusu position ya ufungamano wa imani na watu iliyotabiriwa na walioagizwa wailete mbegu ya imani kuhusu imani yenyewe itakavokuwa huko mbeleni itatoa picha ya ukuaji wa lugha zinazokua kwa maandiko. Maana imetabiriwa na kila kilichotabiriwa na wao wenyewe kimekuwa kama walivyotabiri, kwa hiyo bila shaka hata imani yenyewe itaenda sawa na utabiri wao.
 
Vyovyote utakavyo hao waarabu ni wanyama walokosa utu....

Hamia saudi kama hujaonwa kinyesi.

Umeanza na Mafirauni nimekwambia hao ni Waafrika na ushahidi ukiutaka ntakupa, sasa umerukia Saudi Arabia, vipi kijana? Hujuwi uliandikalo?

Waarabu kwao Afrika kwanini niwafate Saudi Arabia? Saudi Arabia nakwenda kuhiji. Kama unavyokwenda wewe Jerusalem au wewe huendi kuhiji Jerusalem?

Hivi lugha ya kwanza Afrika ni ipi?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Kwanini huendi kuishi Saudia unakimbilia kwa wazungu?

Narudia tena waarabu ni makatili mithili ya wanyama wasio na utu.
 
wasije kutuletea mapepo maana asilimia kubwa ya waarabu na watu wengine wanao ongea kiarabu huwa wanakuwa na Roho za ukatili hivo nisingeshauli hivo 😀😀😀🙁😡
 
Umeanza na Mafirauni nimekwambia hao ni Waafrika na ushahidi ukiutaka ntakupa, sasa umerukia Saudi Arabia, vipi kijana? Hujuwi uliandikalo?

Waarabu kwao Afrika kwanini niwafate Saudi Arabia? Saudi Arabia nakwenda kuhiji. Kama unavyokwenda wewe Jerusalem au wewe huendi kuhiji Jerusalem?

Hivi lugha ya kwanza Afrika ni ipi?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Eti kwamba waarabu ni waafrika?????

Nitaukana uafrika wangu mtukufu ninaojivunia ukinifananisha na hao nyumbu hayawani waliolaanika wameua waafrika thanks Arabs uprisings yameuana na yanaendelea kuuana mpaka raha huko Syria na Iraq karibu yanaisha

Thanks Israel kwa kuyaua kabisa sababu nayo yalituulia babu zetu yaani atakayeua kwa upanga naye atauawa kwa upanga waarabu yana laana ya kuwaua waafrika wasio na hatia na kuwadhulumu haki yao leo hii yanauana kama mataahira hayawani mwituni na bado mpaka yamalizane kama yalivyowamaliza mababu zetu Mungu anatulipia.
 
Back
Top Bottom