Umuhimu wa Kiarabu kuwa lugha Rasmi Tanzania

Hilo janamke limejisongeza ulaya kwa wazungu habanduki badala ya kuhamia uarabuni kwa mabwana zake!
 
Mimi si Mwanahistoria kama wewe lakini pamoja na yote hayo, naweza kusema with confidence kwamba hapo juu umeibananga historia kwa kiwango kikubwa!
  • Mosi, kabla huja-conclude kwamba Arabs walichangia kuharibu states unatakiwa kwanza kukumbuka Arabs walikuja wakati gani! Hata kama unasema kuna historia mpya bado historia hiyo haitabadilisha ukweli kwamba, watu wa mwanzo kutoka Middle East ni Waajemi. Baada ya Waajemi kuja Pwani ya Afrika Mashariki, moja ya familia hizo wali-settle Kilwa kunako karne ya 12 ambako ni kweli walikuta kuna established society ya watu weusi. Baada ya Waajemi hawa ku-settle Kilwa, kwanza si kweli kwamba walilazimisha Uislamu! Ni katika kipindi hiki ndipo Kilwa ilipata umaarufu mkubwa sana kwenye ukanda wa Pwani ya Afrika hadi Sofala kiasi cha kuipiku Mogadishu kama central business center kwenye ukanda huu! Na ni katika kipindi hiki ndipo Sultani wa Kilwa (Mhajemi) alikuwa na control ya Pwani yote Afrika Mashariki hadi Mombasa! Mombasa, Lamu, Zanzibar, Mafia... zote hizi zilikuwa subjects za Sultan wa Kilwa!
  • Mwaka 1497 ndo kwa mara ya kwanza Vasco da Gama aliingia Kilwa (Kilwa Sultanate) wakati akielekea India. Meliya pili iliingia miaka michache baadae na mwaka 1502 Wareno wakaja kishari zaidi baada ya kuona subjects wa Kilwa Sultanate hawamwelewi! Hapa ndipo Mreno alianza kushambulia subjects wa Kilwa Sultanate ambapo alianza kwa kuitwanga Zanzibar kisha akaja kuitwanga Mombasa na Kilwa yenyewe! Ni hawa Wareno ndio WALIZIBOMOA hizi states na ndio walioharibu mji wa Kilwa na sio Waarabu! Kwavile wakati huo Wareno walikuwa wanaikalia hadi Oman; wakaona strategic location kwao ni Mombasa na hapo ukawa ndio mwisho wa Kilwa!!!
  • Mwaka 1650's Wa-Oman wakafanikiwa kuwatimua Wareno kule kwao! Miaka michache baadae wakafanikiwa kuwatimua na Mombasa pamoja na the rest of East Africa na hapo ukawa ndio mwisho wa Portugal domination in East Africa! Wa-Oman, ambao ndio Waarabu walikuja East Africa wakati Kilwa imeshajifia miongo kadhaa iliyopita! Na hakuna any African state ambayo ilihariiwa na Waarabu wakati huo kwa sababu, wakati huo sehemu ambazo zilikuwa zimeendelea zaidi ni Mombasa, Malindi na Zanzibar!
 



Yupi muafrika hapo Kama wote ni waarabu?

Hapo wote ni Waafrika, Waarabu hawa hapa wanaua waarabu wenzao...


Afrika Kusini

Afika Kusini




Niendelee kukuletea sasa Waarabu wa Tanzania wanavyouana?
 

Mmmh!...sasa tumwamini nani?....ila kuna kaukweli fulani hapa!
 
Hilo janamke limejisongeza ulaya kwa wazungu habanduki badala ya kuhamia uarabuni kwa mabwana zake!
Mitoto yake yote kaizombea Canada lenyewe linatafuna pension ya mzungu saivi nashangaa kwanini asingeenda kuishi Syria au
Hapo wote ni Waafrika, Waarabu hawa hapa wanaua waarabu wenzao...


Afrika Kusini

Afika Kusini




Niendelee kukuletea sasa Waarabu wa Tanzania wanavyouana?
Wewe no zezeta sasa kisa cha kuwafananisha waafrika na waarabu kimetokea wapi??
Waafrika watabaki kuwa waafrika na hao nyumbu wengine watabaki kuwa nyumbu kama walivyo usituchafulie nasaba zetu na majinamizi.
 


Ewe punguani, wewe una asilimia ngapi ya Uarabu?
 
Mmmh!...sasa tumwamini nani?....ila kuna kaukweli fulani hapa!
Yaani hiyo ndiyo historia ya kweli kuhusu kushamiri na kuanguka kwa miji ya pwani ya Afrika Mashariki. Unajua watu wa Middle East walikuwa wajanja sana na ndio maana huwezi kukuta historia ya uhasama kati ya Waarabu au Waajemi na watu wa asili ya Pwani ya Afrika Mashariki!

Wale walikuwa wakifika mahali, wanajifanya watu wema na kukaa kwa amani na wenyeji! Na ndio maana hata biashara ya utumwa Zanzibar, waliokuwa wanaathirika ni watu kutoka bara na sio wenyeji wa Zanzibar! Na hata ukitafuta asili ya watu Weusi wa Zanzibar kujiita Washirazi, ni ile kutaka kujitofautisha na Weusi kutoka bara ambao waliletwa Zanzibar kwenye shughuli za Biashara ay utumwa. Na ni kutokana na ukweli huu, ndio maana ni ngumu sana kumshawishi Mwana Mwambao halisi kwamba Mwarabu alikuwa ni mtu mbaya kwa sababu huo ubaya yeye hakuu-feel... labda tu umshawishi ubaya wa Mwarabu kutokana na yale waliyoyafanya kwa weusi wengine lakini sio kwa Waswahili wenyewe!!!
 


Wewe itakuwa ndiyo wale mliojazwa ujinga badala ya kutolewa ujinga shuleni.

Hivi kitoke kiarabu kimoja au viwili au kumi, waende bara huko ushenzini, wakakamate vikaka vilivyojaa misuli kwa kukimbizana na mbawala na wao wanawatazama tu? Hivi hilo linakuingia akilini kweli?

Ikiwa hilo linakuingia akilini basi sina budi bali kukuita punguani.
 
Hivi unaamini kabisa kwamba hicho ulichoandika kina uhusiano wa namna yoyote na nilichoandika mimi?!
 
wewe .....wewe.....wewe hapo hapo.....hebu wacha uongo wako hapo.......hapa mimi nimtaja AC au calculator........haaa......mbona unabadili safari tuliyoanza...........nipe hayo majina ya kiswahili ya hayo niliyotaja kuwa yametoholewa......
Nilivyokutajia mie ni mfano tu, ila ulotaja wewe vyote vipo kwa Kiswahili na nimetanguliza kukwambia kuwa ni magumu majina yake, usichoelewa ni nini?
 


Kule bara unakokuita ushenzini ni kwa mamako pia wewe jini la kiarabu!......kumbuka hilo siku zote, maana chimbuko la binadamu ni kule kule unakokuita ushenzini...........*******####
 

Nasimamia kwenye hoja yangu; asilimia 50% ya mameno ya Kiswahili yana asli ya Kiarabu. Nimesema ukitaka kuthibitisha hilo tafuta kamusi ya Kiswahili yenye maelezo ya asili ya maneno. Nimefanya utafiti kwa kutumia kamusi na matokeo ni kama nilivyoyatoa hapa. Na kumbuka utafiti unapingwa kwa utafiti.

Kwa nini niorodheshe maneno mia? Hiyo ndio 50% ya maneno yote ya Kiswahili?

Ukirudi uje na matokeo yako ya utafiti.
 
Kule bara unakokuita ushenzini ni kwa mamako pia wewe jini la kiarabu!......kumbuka hilo siku zote, maana chimbuko la binadamu ni kule kule unakokuita ushenzini...........*******####

Naam, hilo ni neno walilotufundisha Wajerumani, unalijuwa hilo?
 
nina hakika umeanza kupenda status kuna Vingi utavipenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…