Umuhimu wa Kiarabu kuwa lugha Rasmi Tanzania

Bila kusahau mbatata - batatiis
 
Bila kusahau mbatata - batatiis
Wee ha ha ha ha .. naona una kanjaa .. akili ipo kweny mloooo!!! (yaani matunda kma Tufaha,Ananasi,zabibu nk nk)

Ok pokea hizi:-
Kiswahili Kiarabu
kabila = Qabila
Sahani = Sahan
Kula = Kul
Fedha = Fedhwa
Dhahabu = Dhahab
Alamsi = Almas
Jabali = Jabal
Bahari = Bahar
Elimu = Eilm
Kadhalika = kadhalik
Hata majina na wadhifa wa kijeshi na polisi tuna share majina kadha...
na maneno ni mengi tu tuna share !!
 
Nio hao hapo MIARABU MASHETANI YAKICHINJANA!
Hii yote ni lana ya kuwaua na kuwatesa waafrika watauana wenyewe kwa wenyewe mpaka waishe na walivyonyimwa akili hapo wanawalaumu magharibi utasikia ni marekani hao wakati wanamalizana na kuchinjana wenyewe bora ya wanyama pori.
 
We nawe umeonesha utahira wako, kwani kiarabu hakikuletwa na waarabu according to history?
 
Suicide bombing
Wee jitoe ufahamu, baki na umbumbumbu wako !! Since day one WAARABU tumeiBARIKI nchi hii kwa LUGHA MAMA, USTAARABU (Arabian Civiliztions ), AMANI, UUNGANISHI WA MAKABILA kwa lahaja moja "Salaam Aleykum" na pia majina ya miji yote (DAR-ES-SALAAM-MTWARA-TANGA-KIGHOMA-ARUSHA-TABORA-SINGHIDA-ZANZIBAR-KILWA-MAFIA-KIL~MANJAA~ARO, MUSSOMA,KIBAHA ,BAGA~MOYO,nk nk..

Tazama artitecture design za waarabu (majengo ya kama ikulu/Ocean road Hospital, majengo nk nk) !!! Pamoja na kutaifishiwa mashamba,Viwanda,maghorofa na mhospitali.... Bado wasema uwekezaji gani.. Nguruwe wee/shwaein ngedere wa chooni !!

Long live SS Bakhressa kuweza sambaza bidhaa zake na kuajiri wazawa.... (huyo mmoja tu)

chuki na husda zimekutawala....[/QUOTE]
Mahaba yakizidi utaonekana mchawi sasa
 
Mleta uzi umebashiri jambo ambalo watu wengi hawajui, but one day Islam will dominate the world.
Yeah of course according to bibble na imani ya kikristo itakua ngumu sana kupractise maana wengi watauliwa kwa imani yao na huo ndo utakua mwisho wa dunia umekaribia....mark my words islam dominance in world will complete the bibble prophecy
 
Mahaba yakizidi utaonekana mchawi sas


Yaani hamna kitu sipendi kama haya mashetani yanavyotuona sisi weusi walitukuta hatujiwezi hata kushindwa kujitawala
Sasa huyo nyumbu anasema Kilimanjaro ni kiarabu kwelii??? Kilimanjaro limetokana na neno Kilima Kya Rua yaani Mlima Wa Mungu kwa kichagga huyo nyumbu anasema ni waarabu wametoa jina.
Arusha limetokana na neno Arusa eneo la malisho mazuri ya Mifugo kimaasai hicho huyo nyumbu anasema ni kiarabu hicho

Hivi Musoma ni kiarabu kweli?
 
Leo ndiyo umejua kuongea eeeh...
Woo woo woo.. chi chi chi ssususuu hizi tamko ushasahau eeeh?????
 

I think tunatofautiana katika usawa wa maelezo lakini tofauti ni nyakati.

Ukizungumzia kuja kwa waajemi kukaa Kilwa, Kilwa haikuwa state ya Watu wa Nje. Kilwa ilikuwa state ya Indigenous Africans waliokuwa na trades kukua kutoka Zimbabwe na Mapungubwe. Waarabu na warumi ni wageni Kilwa lakini hapo baadae Arabs kuwepo katika ushirikiano na Rulers wa Africans na mpaka wanakuja kuhamia moja kwa moja tayari wapo ambao walikwepo kutokana na Intermarriage na rullers. Hivyo tambua Kilwa ilijengwa na kuwa na power before external influence kuja hapo baadae.

Pia waajemi wamechelewa kufika. Warumi, Egyptians na Greeks walishaitambua East Africa na kulikwepo na Miji kama Raphta.

Egyptians wanaujua mlima Kilimanjaro, Herotus alishadocument Lake Victoria na Kagera kama chanzo cha Mto Nile na kuandika kuhusu Mlima Kilimanjaro. At that time before Arabs at the Coast. Pia Somalia ndio ilianza kuwa settled na wahajemi ndipo wakaja to the southern East Africa.


Kuhusu Arabs na conflicts na Portuguese ilikuwa ni kutokana na kwanza kila mmoja alikuwa anataka kutawala East African routines ambazo zina faida kubwa na pia kuhusu kueneza udini. Haikuwa kwa faida ya Indigenous bali interests zao kutokana na potentiality iliyokwepo na ilikwepo hata kabla ya kuja na ndichi kiini kuwafanya wapende East Africa.
Kuhusu states kuharibiwa, zipo. Na sio naelezea kwa nadharia ya kukupinga bali zipo research paper mbalimbali zimeelezea. Zipo mpaka takwimu za idadi East Africans waliouzwa na adhari ya Caravan Slavery katika areas ambazo ilitawala.


Sorry nilipochora sio its part of this talk, nilikwepo ninasoma na kuweka notes.
 
Tuwe proud na kiswahili chetu and native languages zetu jamani
 

Wow. Asante sana. Nimekuwa impressed sana umeweza kumfahamu Chittick.

Ndio chanzo cha Old history ya sasa na wengi kwenye huu mjadala wanafuata mawazo yake. Alikuwa archaeologist wa kwanza kufanya tafiti East Afrika juu ya Arabs. Alikuwa na mitazamo kuwa Swahili civilization ilianzishwa na Arabs lakini alibadili mitazamo yake baada ya kugundua East Africa ilikwepo Centralized kabla ya Middle East kuja. Alikuwa very racist archaeologist. Lakini hapo miaka ya 1970 watu kama Mark Hotton akampinga kwa kugundua mabaki ya magofu ya kale kabla ya kilwa yakiwa na Neolithic ya miaka ya kale sana. Prof Chami anayefahamika duniani kwa uchunguzi wa Swahili Coast na kupinga hoja za Chittick. Chittick naye pia alibadili mtazamo wake 1982.

Kulikwepo na mgogoro mkubwa sana kutokana na ubaguzi. Lakini hivi sasa haupo tena na kila mtafiti wa Coast anatambua Africans walikuwa kiini cha Centralized State ya Africa.

Nitajaribu kufuata mawazo yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…