Makongodcrue
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,864
- 2,591
Hao wananchi wana huo uhuru wa kuchagua viongozi wanaowataka? Tukijificha kwenye kivuli cha amani wakati hakuna haki tunakua wanafiki. Mfano Mzuri ni Mpina alichoongea na maelekezo aliyotoa Rais mbele ya hadhara. Je, Rais ndo anapaswa kuwachagulia wananchi mbunge au wananchi ndo wanatakiwa kumchagua mbunge wao. Uchaguzi wa Kenya wa 2022 Mstaafu Kikwete alikua ni mmoja kati ya waangalizi wa nje, alisifia transparence ya ule uchaguzi akisisitiza swala la mawakala kuruhusiwa kuingia na smartphones kwenye vyumba vya kuhesabia kura. Kwa nini hapa Tanzania wanakatazwa? Kwa nini wagombea wa Upinzani walienguliwa bila sababu za msingi? Mwenyekiti wa chama cha siasa anapokua na mamlaka ya kuteua wajumbe wa Tume ya uchaguzi akiwamo mwenyekiti mwenyewe wa Tume unategemea nini? Kanuni za maadili ya uchaguzi zina kila kiashiria cha kuiba kura, huo uchaguzi huru na haki mnaotaka kuwaaminisha watanzania ni upi?
#NoReformsNoElectionKupiga kura ni haki ya kikatiba inayomwezesha kila Mtanzania kushiriki katika maamuzi ya nchi kwa njia ya amani, kupitia kura wananchi huamua ni nani awaongoze katika nafasi za kisiasa kama Rais, Wabunge na Madiwani na hii ni njia halali ya kushiriki katika ujenzi wa taifa na kuhakikisha kuwa sauti ya wananchi inasikika.
Ni wajibu wa kiraia kwa kila mwenye sifa ya kupiga kura kuhakikisha anatumia haki hiyo, kutojitokeza kupiga kura ni kuruhusu watu wengine kufanya maamuzi kwa niaba yako, jambo linaloweza kusababisha kuchaguliwa kwa viongozi wasiowatumikia wananchi ipasavyo.
Wananchi wanapojitokeza kwa wingi kupiga kura, wana nafasi ya kuchagua viongozi waadilifu na wenye uwezo wa kuleta maendeleo, Kupitia kura matatizo ya huduma duni za jamii kama elimu, afya na maji yanaweza kushughulikiwa kwa kuchagua viongozi wanaojali maendeleo ya wananchi.
Aidha, kupiga kura huimarisha misingi ya demokrasia na utawala bora, inawafanya viongozi walioko madarakani kuwajibika kwa wananchi wakijua kuwa wanaweza kuondolewa kwa kura iwapo hawatatimiza ahadi zao.
Kila Mtanzania anapaswa kutambua kuwa kura yake ni sauti yake na anatakiwa kuwajibika ifikapo Oktoba Ili taifa lipige hatua, kila mwananchi mwenye sifa anapaswa kujitokeza kwa hiari na kwa wingi kushiriki katika uchaguzi kwa kupiga kura kwa amani na utulivu.
#OktobaNawajibika
#OktobaTunatiki
#KuraYanguSautiYangu
Kushiriki kupiga kukura ni muhimu sana ila kushiriki kupiga kura halafu wanawekwa watu ambao hawajachaguliwa ni kunyima haki ya kuchagua na kuchaguliwaKupiga kura ni haki ya kikatiba inayomwezesha kila Mtanzania kushiriki katika maamuzi ya nchi kwa njia ya amani, kupitia kura wananchi huamua ni nani awaongoze katika nafasi za kisiasa kama Rais, Wabunge na Madiwani na hii ni njia halali ya kushiriki katika ujenzi wa taifa na kuhakikisha kuwa sauti ya wananchi inasikika.
Ni wajibu wa kiraia kwa kila mwenye sifa ya kupiga kura kuhakikisha anatumia haki hiyo, kutojitokeza kupiga kura ni kuruhusu watu wengine kufanya maamuzi kwa niaba yako, jambo linaloweza kusababisha kuchaguliwa kwa viongozi wasiowatumikia wananchi ipasavyo.
Wananchi wanapojitokeza kwa wingi kupiga kura, wana nafasi ya kuchagua viongozi waadilifu na wenye uwezo wa kuleta maendeleo, Kupitia kura matatizo ya huduma duni za jamii kama elimu, afya na maji yanaweza kushughulikiwa kwa kuchagua viongozi wanaojali maendeleo ya wananchi.
Aidha, kupiga kura huimarisha misingi ya demokrasia na utawala bora, inawafanya viongozi walioko madarakani kuwajibika kwa wananchi wakijua kuwa wanaweza kuondolewa kwa kura iwapo hawatatimiza ahadi zao.
Kila Mtanzania anapaswa kutambua kuwa kura yake ni sauti yake na anatakiwa kuwajibika ifikapo Oktoba Ili taifa lipige hatua, kila mwananchi mwenye sifa anapaswa kujitokeza kwa hiari na kwa wingi kushiriki katika uchaguzi kwa kupiga kura kwa amani na utulivu.
#OktobaNawajibika
#OktobaTunatiki
#KuraYanguSautiYangu
Kama kupiga kura ni haki ya kikatiba! Kwa nini mnafanya udanganyifu kwa kuiba hizo kura, na pia kuwatangaza wagombea wenu walioshindwa?Kupiga kura ni haki ya kikatiba inayomwezesha kila Mtanzania kushiriki katika maamuzi ya nchi kwa njia ya amani, kupitia kura wananchi huamua ni nani awaongoze katika nafasi za kisiasa kama Rais, Wabunge na Madiwani na hii ni njia halali ya kushiriki katika ujenzi wa taifa na kuhakikisha kuwa sauti ya wananchi inasikika.
Ni wajibu wa kiraia kwa kila mwenye sifa ya kupiga kura kuhakikisha anatumia haki hiyo, kutojitokeza kupiga kura ni kuruhusu watu wengine kufanya maamuzi kwa niaba yako, jambo linaloweza kusababisha kuchaguliwa kwa viongozi wasiowatumikia wananchi ipasavyo.
Wananchi wanapojitokeza kwa wingi kupiga kura, wana nafasi ya kuchagua viongozi waadilifu na wenye uwezo wa kuleta maendeleo, Kupitia kura matatizo ya huduma duni za jamii kama elimu, afya na maji yanaweza kushughulikiwa kwa kuchagua viongozi wanaojali maendeleo ya wananchi.
Aidha, kupiga kura huimarisha misingi ya demokrasia na utawala bora, inawafanya viongozi walioko madarakani kuwajibika kwa wananchi wakijua kuwa wanaweza kuondolewa kwa kura iwapo hawatatimiza ahadi zao.
Kila Mtanzania anapaswa kutambua kuwa kura yake ni sauti yake na anatakiwa kuwajibika ifikapo Oktoba Ili taifa lipige hatua, kila mwananchi mwenye sifa anapaswa kujitokeza kwa hiari na kwa wingi kushiriki katika uchaguzi kwa kupiga kura kwa amani na utulivu.
#OktobaNawajibika
#OktobaTunatiki
#KuraYanguSautiYangu
Hawako Tayari kujibu maswali kama haya. Washawaona Watanzania ni mapoyoyo sana.Kama kupiga kura ni haki ya kikatiba! Kwa nini mnafanya udanganyifu kwa kuiba hizo kura, na pia kuwatangaza wagombea wenu walioshindwa?
Kama kupiga kura kunaimarisha demokrasia! Kwa nini hamtaki mabadiliko ya msingi ya uwepo wa tume huru ya uchaguzi?
Kwa nini Rais, na ambaye ni mgombea na mwanachama wa chama tawala aruhusiwe kuteua wasimamizi na watangaza matokeo wa huo uchaguzi?
Yaani bora ubaki na kichinjio nyumbaniNamna pekee ya pekee ya kuilinda kura yako ni kubaki nayo wewe mwenyewe. Ukiiweka kwenye sanduku tu, umekuwa. By askofu.
Expecting results from what you knowkupiga kura ni ujinga uliotukuka especially wakati unajua kura yako haina thamani yeyote CCM watajipitisha wenyewe kwa kuiba...NO REFORM NO ELECTION
NRNE....Kupiga kura ni haki ya kikatiba inayomwezesha kila Mtanzania kushiriki katika maamuzi ya nchi kwa njia ya amani, kupitia kura wananchi huamua ni nani awaongoze katika nafasi za kisiasa kama Rais, Wabunge na Madiwani na hii ni njia halali ya kushiriki katika ujenzi wa taifa na kuhakikisha kuwa sauti ya wananchi inasikika.
Ni wajibu wa kiraia kwa kila mwenye sifa ya kupiga kura kuhakikisha anatumia haki hiyo, kutojitokeza kupiga kura ni kuruhusu watu wengine kufanya maamuzi kwa niaba yako, jambo linaloweza kusababisha kuchaguliwa kwa viongozi wasiowatumikia wananchi ipasavyo.
Wananchi wanapojitokeza kwa wingi kupiga kura, wana nafasi ya kuchagua viongozi waadilifu na wenye uwezo wa kuleta maendeleo, Kupitia kura matatizo ya huduma duni za jamii kama elimu, afya na maji yanaweza kushughulikiwa kwa kuchagua viongozi wanaojali maendeleo ya wananchi.
Aidha, kupiga kura huimarisha misingi ya demokrasia na utawala bora, inawafanya viongozi walioko madarakani kuwajibika kwa wananchi wakijua kuwa wanaweza kuondolewa kwa kura iwapo hawatatimiza ahadi zao.
Kila Mtanzania anapaswa kutambua kuwa kura yake ni sauti yake na anatakiwa kuwajibika ifikapo Oktoba Ili taifa lipige hatua, kila mwananchi mwenye sifa anapaswa kujitokeza kwa hiari na kwa wingi kushiriki katika uchaguzi kwa kupiga kura kwa amani na utulivu.
#OktobaNawajibika
#OktobaTunatiki
#KuraYanguSautiYangu
Watakupigia juu kwa juu hawaSipigi KURA. Nilijiandikisha ili nipate KITAMBULISHO TU BASI.
Siwezi kupiga kura isiyokuwa na thamani yeyote
Ole wake mtu atakayepiga kura badala yangu
Na mkeka sahv utatengenezwaNi muhimu kama kura zinaheshimiwa ila kama Uchaguzi wa mchongo hakuna sababu.
Nitafuatilia nimejiandikisha kurasini. Sm minaziniWatakupigia juu kwa juu hawa
Ova
NERNE inafaa zaidi, No electroral reforms 2025, No elections 2025NRNE....
KUPIGA KURA NI KUPOTEZA MUDA
ova