ndammu
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 5,424
- 6,327
Hakuna thamani ya kura bila ya haki na ccm kitu wasichoweza ni kutotaka haki ya kupiga kura. Kwa vile mnataka mjihalalishe jitangazeni tu kwamba mmeshinda kwa ushindi wa 99%

No reform, No electionKupiga kura ni haki ya kikatiba inayomwezesha kila Mtanzania kushiriki katika maamuzi ya nchi kwa njia ya amani, kupitia kura wananchi huamua ni nani awaongoze katika nafasi za kisiasa kama Rais, Wabunge na Madiwani na hii ni njia halali ya kushiriki katika ujenzi wa taifa na kuhakikisha kuwa sauti ya wananchi inasikika.
Ni wajibu wa kiraia kwa kila mwenye sifa ya kupiga kura kuhakikisha anatumia haki hiyo, kutojitokeza kupiga kura ni kuruhusu watu wengine kufanya maamuzi kwa niaba yako, jambo linaloweza kusababisha kuchaguliwa kwa viongozi wasiowatumikia wananchi ipasavyo.
Wananchi wanapojitokeza kwa wingi kupiga kura, wana nafasi ya kuchagua viongozi waadilifu na wenye uwezo wa kuleta maendeleo, Kupitia kura matatizo ya huduma duni za jamii kama elimu, afya na maji yanaweza kushughulikiwa kwa kuchagua viongozi wanaojali maendeleo ya wananchi.
Aidha, kupiga kura huimarisha misingi ya demokrasia na utawala bora, inawafanya viongozi walioko madarakani kuwajibika kwa wananchi wakijua kuwa wanaweza kuondolewa kwa kura iwapo hawatatimiza ahadi zao.
Kila Mtanzania anapaswa kutambua kuwa kura yake ni sauti yake na anatakiwa kuwajibika ifikapo Oktoba Ili taifa lipige hatua, kila mwananchi mwenye sifa anapaswa kujitokeza kwa hiari na kwa wingi kushiriki katika uchaguzi kwa kupiga kura kwa amani na utulivu.
#OktobaNawajibika
#OktobaTunatiki
#KuraYanguSautiYangu
We maku nini?...Acha ungeseKupiga kura ni haki ya kikatiba inayomwezesha kila Mtanzania kushiriki katika maamuzi ya nchi kwa njia ya amani, kupitia kura wananchi huamua ni nani awaongoze katika nafasi za kisiasa kama Rais, Wabunge na Madiwani na hii ni njia halali ya kushiriki katika ujenzi wa taifa na kuhakikisha kuwa sauti ya wananchi inasikika.
Ni wajibu wa kiraia kwa kila mwenye sifa ya kupiga kura kuhakikisha anatumia haki hiyo, kutojitokeza kupiga kura ni kuruhusu watu wengine kufanya maamuzi kwa niaba yako, jambo linaloweza kusababisha kuchaguliwa kwa viongozi wasiowatumikia wananchi ipasavyo.
Wananchi wanapojitokeza kwa wingi kupiga kura, wana nafasi ya kuchagua viongozi waadilifu na wenye uwezo wa kuleta maendeleo, Kupitia kura matatizo ya huduma duni za jamii kama elimu, afya na maji yanaweza kushughulikiwa kwa kuchagua viongozi wanaojali maendeleo ya wananchi.
Aidha, kupiga kura huimarisha misingi ya demokrasia na utawala bora, inawafanya viongozi walioko madarakani kuwajibika kwa wananchi wakijua kuwa wanaweza kuondolewa kwa kura iwapo hawatatimiza ahadi zao.
Kila Mtanzania anapaswa kutambua kuwa kura yake ni sauti yake na anatakiwa kuwajibika ifikapo Oktoba Ili taifa lipige hatua, kila mwananchi mwenye sifa anapaswa kujitokeza kwa hiari na kwa wingi kushiriki katika uchaguzi kwa kupiga kura kwa amani na utulivu.
#OktobaNawajibika
#OktobaTunatiki
#KuraYanguSautiYangu
Ukipiga wewe inatosha no reforms no electionsKupiga kura ni haki ya kikatiba inayomwezesha kila Mtanzania kushiriki katika maamuzi ya nchi kwa njia ya amani, kupitia kura wananchi huamua ni nani awaongoze katika nafasi za kisiasa kama Rais, Wabunge na Madiwani na hii ni njia halali ya kushiriki katika ujenzi wa taifa na kuhakikisha kuwa sauti ya wananchi inasikika.
Ni wajibu wa kiraia kwa kila mwenye sifa ya kupiga kura kuhakikisha anatumia haki hiyo, kutojitokeza kupiga kura ni kuruhusu watu wengine kufanya maamuzi kwa niaba yako, jambo linaloweza kusababisha kuchaguliwa kwa viongozi wasiowatumikia wananchi ipasavyo.
Wananchi wanapojitokeza kwa wingi kupiga kura, wana nafasi ya kuchagua viongozi waadilifu na wenye uwezo wa kuleta maendeleo, Kupitia kura matatizo ya huduma duni za jamii kama elimu, afya na maji yanaweza kushughulikiwa kwa kuchagua viongozi wanaojali maendeleo ya wananchi.
Aidha, kupiga kura huimarisha misingi ya demokrasia na utawala bora, inawafanya viongozi walioko madarakani kuwajibika kwa wananchi wakijua kuwa wanaweza kuondolewa kwa kura iwapo hawatatimiza ahadi zao.
Kila Mtanzania anapaswa kutambua kuwa kura yake ni sauti yake na anatakiwa kuwajibika ifikapo Oktoba Ili taifa lipige hatua, kila mwananchi mwenye sifa anapaswa kujitokeza kwa hiari na kwa wingi kushiriki katika uchaguzi kwa kupiga kura kwa amani na utulivu.
#OktobaNawajibika
#OktobaTunatiki
#KuraYanguSautiYang
Sawa sawa mwambaNitafuatilia nimejiandikisha kurasini. Sm minazini
Nitafuatilia kwa ukaribu sana meambaSawa sawa mwamba
Ova
Wasije wakakutikia tu 😄Nitafuatilia kwa ukaribu sana meamba
Umezuka toka sayari gani ?Kupiga kura ni haki ya kikatiba inayomwezesha kila Mtanzania kushiriki katika maamuzi ya nchi kwa njia ya amani, kupitia kura wananchi huamua ni nani awaongoze katika nafasi za kisiasa kama Rais, Wabunge na Madiwani na hii ni njia halali ya kushiriki katika ujenzi wa taifa na kuhakikisha kuwa sauti ya wananchi inasikika.
Ni wajibu wa kiraia kwa kila mwenye sifa ya kupiga kura kuhakikisha anatumia haki hiyo, kutojitokeza kupiga kura ni kuruhusu watu wengine kufanya maamuzi kwa niaba yako, jambo linaloweza kusababisha kuchaguliwa kwa viongozi wasiowatumikia wananchi ipasavyo.
Wananchi wanapojitokeza kwa wingi kupiga kura, wana nafasi ya kuchagua viongozi waadilifu na wenye uwezo wa kuleta maendeleo, Kupitia kura matatizo ya huduma duni za jamii kama elimu, afya na maji yanaweza kushughulikiwa kwa kuchagua viongozi wanaojali maendeleo ya wananchi.
Aidha, kupiga kura huimarisha misingi ya demokrasia na utawala bora, inawafanya viongozi walioko madarakani kuwajibika kwa wananchi wakijua kuwa wanaweza kuondolewa kwa kura iwapo hawatatimiza ahadi zao.
Kila Mtanzania anapaswa kutambua kuwa kura yake ni sauti yake na anatakiwa kuwajibika ifikapo Oktoba Ili taifa lipige hatua, kila mwananchi mwenye sifa anapaswa kujitokeza kwa hiari na kwa wingi kushiriki katika uchaguzi kwa kupiga kura kwa amani na utulivu.
#OktobaNawajibika
#OktobaTunatiki
#KuraYanguSautiYangu
Kwa Tanzania upige kura usipige ni sawa tu nduguKupiga kura ni haki ya kikatiba inayomwezesha kila Mtanzania kushiriki katika maamuzi ya nchi kwa njia ya amani, kupitia kura wananchi huamua ni nani awaongoze katika nafasi za kisiasa kama Rais, Wabunge na Madiwani na hii ni njia halali ya kushiriki katika ujenzi wa taifa na kuhakikisha kuwa sauti ya wananchi inasikika.
Ni wajibu wa kiraia kwa kila mwenye sifa ya kupiga kura kuhakikisha anatumia haki hiyo, kutojitokeza kupiga kura ni kuruhusu watu wengine kufanya maamuzi kwa niaba yako, jambo linaloweza kusababisha kuchaguliwa kwa viongozi wasiowatumikia wananchi ipasavyo.
Wananchi wanapojitokeza kwa wingi kupiga kura, wana nafasi ya kuchagua viongozi waadilifu na wenye uwezo wa kuleta maendeleo, Kupitia kura matatizo ya huduma duni za jamii kama elimu, afya na maji yanaweza kushughulikiwa kwa kuchagua viongozi wanaojali maendeleo ya wananchi.
Aidha, kupiga kura huimarisha misingi ya demokrasia na utawala bora, inawafanya viongozi walioko madarakani kuwajibika kwa wananchi wakijua kuwa wanaweza kuondolewa kwa kura iwapo hawatatimiza ahadi zao.
Kila Mtanzania anapaswa kutambua kuwa kura yake ni sauti yake na anatakiwa kuwajibika ifikapo Oktoba Ili taifa lipige hatua, kila mwananchi mwenye sifa anapaswa kujitokeza kwa hiari na kwa wingi kushiriki katika uchaguzi kwa kupiga kura kwa amani na utulivu.
#OktobaNawajibika
#OktobaTunatiki
#KuraYanguSautiYangu
Ukiona mjumbe wa CCM anaandikisha idadi ya wapigakura mtaani, ujue ni maandalizi ya kura yako kuhesabika imemchagua mtu wanayemtaka ashinde. Kwa jinsi watanzania tusivyokuwa na tabia ya kufuatilia mambo, wanakupigisha kura hata kama haupo..... Hiyo ndio modus operandi ya CCM.Nitafuatilia kwa ukaribu sana meamba
Inakuwa non sense....Expecting results from what you know
Kutegemea matokeo chanya kwenye jambo unalo lijua matokeo yatakuwa hasi
Kwakweli watuache. Njia pekee ya kulinda na kuwajibika na kura yako ni kubaki nayo.Kura za nyokwe
Hakuna asiejuabumuhimu wa kupiga kura ila unapiga kura katika mazingira yapi, hayahaya, ccm wajiapishe hakuna namnaKupiga kura ni haki ya kikatiba inayomwezesha kila Mtanzania kushiriki katika maamuzi ya nchi kwa njia ya amani, kupitia kura wananchi huamua ni nani awaongoze katika nafasi za kisiasa kama Rais, Wabunge na Madiwani na hii ni njia halali ya kushiriki katika ujenzi wa taifa na kuhakikisha kuwa sauti ya wananchi inasikika.
Ni wajibu wa kiraia kwa kila mwenye sifa ya kupiga kura kuhakikisha anatumia haki hiyo, kutojitokeza kupiga kura ni kuruhusu watu wengine kufanya maamuzi kwa niaba yako, jambo linaloweza kusababisha kuchaguliwa kwa viongozi wasiowatumikia wananchi ipasavyo.
Wananchi wanapojitokeza kwa wingi kupiga kura, wana nafasi ya kuchagua viongozi waadilifu na wenye uwezo wa kuleta maendeleo, Kupitia kura matatizo ya huduma duni za jamii kama elimu, afya na maji yanaweza kushughulikiwa kwa kuchagua viongozi wanaojali maendeleo ya wananchi.
Aidha, kupiga kura huimarisha misingi ya demokrasia na utawala bora, inawafanya viongozi walioko madarakani kuwajibika kwa wananchi wakijua kuwa wanaweza kuondolewa kwa kura iwapo hawatatimiza ahadi zao.
Kila Mtanzania anapaswa kutambua kuwa kura yake ni sauti yake na anatakiwa kuwajibika ifikapo Oktoba Ili taifa lipige hatua, kila mwananchi mwenye sifa anapaswa kujitokeza kwa hiari na kwa wingi kushiriki katika uchaguzi kwa kupiga kura kwa amani na utulivu.
#OktobaNawajibika
#OktobaTunatiki
#KuraYanguSautiYangu
Paskali, mnatufanya Watanzania wote maxuxu. Kura isiyokuwa na thamani ni kupoteza nguvu na muda wa kuzalisha; ili kura ya Mtanzania iwe na thamani inamgharimu kutumia nguvu kubwa ya kupambana na Polisi na Wasimamizi wa Uchaguzi, yote hayo ya nini?