Mtoto huwa anaishi kwenye maji ndani ya placental. Hujigeuza na huzoea mazingira yake. Anapozaliwa humchukua muda mfupi kuzoea hali ya duniani, kipindi hiki mtoto analia sana hasa akihisi baridi ya usiku.
Miezi mitatu mtoto anakua amepashapata chanjo za awali na ameanza kujenga adopted immune system. Si vibaya katika kipindi hiki kuanza kumfundisha kuogelea. Kwani anakua hajasahau kabisa mazingira yake ya tumboni.
Kuogelea ni life skill ambayo kila binadamu anapaswa kuijua. Hijui utaihitaji lini.
Sababu hujui ni lini unaweza ukaungua...., Wewe mfundishe kama sports huenda ikamsaidia huko mbeleni kwenye Taifa lisilo na ajira wala uhakika wa mtu kupata mkate wake wa kila siku