Umuhimu wa kukaa ghetto

Umuhimu wa kukaa ghetto

mbona ya kama ya bei kubwa sana
Woga wako tu kawaida.
Pc million 1 na kuendelea.
Pad (50k hadi 150k)+ racing wheel kama utahitaji jumla lak3 had 4.
Monitor au tv laki 5 had 7
Hiyo meza complete lak 4
Mziki wa hi-fi lak 4 na kuendelea.
Jumla hapo wastani mil3
(Starehe gharama)
 
We boya msela hapewi rariba ya kudeki choo wala kufagia uwanja haimuhus hata labda awe na mwanamke, kupika si lazima migahawa ipo kibao uwe unapika mara mbil kwa wiki na ukipika majirani wanasimama ni kuku wa kienyeji mapochopocho n.k
 
Gheto linaitaji kodi tu ukiweza hiyo hakuna usumbufu kamwe.
[emoji125][emoji125][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mwambie huyu..
Uchawi wa gheto kodi tu.
Kama ni kuosha vyombo unaweza kuviacha vichafu hata week kwani nani anakudai.
Kama ni kudeki unadeki mara 1 then huingii na viatu vichafu so kurudia ni baada ya mwezi..

Ukiwa na kodi kila kitu ni bwelele
 
Makoro koro mengi miyeyusho, mi na Tanfomu yangu inch nane tano Kwa sita, na kitanda cha mninga, sabufa kama kawa na laptop yangu matata, zuria si la nchi hii , mapazia ya kibishoo, jiko la gas, Diaba na ndoo kadhaa, na vyombo vya kiaina, kila mtoto wa kike akiingia anatamani kuvua chupi, nami natenda haki ipasavyo
Daah wenye mageto muna tutambia basi tu.
 
We boya msela hapewi rariba ya kudeki choo wala kufagia uwanja haimuhus hata labda awe na mwanamke, kupika si lazima migahawa ipo kibao uwe unapika mara mbil kwa wiki na ukipika majirani wanasimama ni kuku wa kienyeji mapochopocho n.k
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] dah baharia umeamua uanze na boya kabisa
 
kweli izo no starehe aisee, labda ngoja nkiokota ela
Woga wako tu kawaida.
Pc million 1 na kuendelea.
Pad (50k hadi 150k)+ racing wheel kama utahitaji jumla lak3 had 4.
Monitor au tv laki 5 had 7
Hiyo meza complete lak 4
Mziki wa hi-fi lak 4 na kuendelea.
Jumla hapo wastani mil3
(Starehe gharama)
 
dah, em niambie mkuu ua unalipa kila baada ya miezi mingapi
Mwambie huyu..
Uchawi wa gheto kodi tu.
Kama ni kuosha vyombo unaweza kuviacha vichafu hata week kwani nani anakudai.
Kama ni kudeki unadeki mara 1 then huingii na viatu vichafu so kurudia ni baada ya mwezi..

Ukiwa na kodi kila kitu ni bwelele
 
Miezi mitatu mzee laki 3 naitoa wapi kwa mwezi??

Kila mwezi nalipa sh 50k kwahio kwa miezi mi3 nalipa 150k
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ah kumbe dah apo ujo vizuri
 
Back
Top Bottom