Woga wako tu kawaida.mbona ya kama ya bei kubwa sana
Mwambie huyu..Gheto linaitaji kodi tu ukiweza hiyo hakuna usumbufu kamwe.
[emoji125][emoji125][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Daah wenye mageto muna tutambia basi tu.Makoro koro mengi miyeyusho, mi na Tanfomu yangu inch nane tano Kwa sita, na kitanda cha mninga, sabufa kama kawa na laptop yangu matata, zuria si la nchi hii , mapazia ya kibishoo, jiko la gas, Diaba na ndoo kadhaa, na vyombo vya kiaina, kila mtoto wa kike akiingia anatamani kuvua chupi, nami natenda haki ipasavyo
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] dah baharia umeamua uanze na boya kabisaWe boya msela hapewi rariba ya kudeki choo wala kufagia uwanja haimuhus hata labda awe na mwanamke, kupika si lazima migahawa ipo kibao uwe unapika mara mbil kwa wiki na ukipika majirani wanasimama ni kuku wa kienyeji mapochopocho n.k
Woga wako tu kawaida.
Pc million 1 na kuendelea.
Pad (50k hadi 150k)+ racing wheel kama utahitaji jumla lak3 had 4.
Monitor au tv laki 5 had 7
Hiyo meza complete lak 4
Mziki wa hi-fi lak 4 na kuendelea.
Jumla hapo wastani mil3
(Starehe gharama)
Mwambie huyu..
Uchawi wa gheto kodi tu.
Kama ni kuosha vyombo unaweza kuviacha vichafu hata week kwani nani anakudai.
Kama ni kudeki unadeki mara 1 then huingii na viatu vichafu so kurudia ni baada ya mwezi..
Ukiwa na kodi kila kitu ni bwelele
[emoji3][emoji3][emoji3] na wewe bado ni MA HOT POT FC
Kidogo kidogo unanunua kitu kimoja kimojakweli izo no starehe aisee, labda ngoja nkiokota ela
Mi tatu tu...dah, em niambie mkuu ua unalipa kila baada ya miezi mingapi
Miezi mitatu mzee laki 3 naitoa wapi kwa mwezi??laki 3 kwa mwezi
Kwani hapo nyumbani unalala na nani?[emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] dah, vp kulala peke ako geto na hii baridi, s unaweza jikuta umeoa mtoto wa diwani