Umuhimu wa kukaa ghetto

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Dah aisee, ukiwa na huruma sana geto linakua hostel
 
Ghetto utakuwa unalipa kodi mwenyewe na washkaji wote watahamia humo,solution ni kuwa na Demu king'ang'anizi kila time yupo ghetto
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] sa unakuta geto hushindi apo na ikitokea basi ni mara 2 kwa wiki au ukiwepo mchana basi usiku haupo labda upo kwenye mihangaiko
 
ila mkuu mbona kama umetoka kwenye ban
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Dah aisee, ukiwa na huruma sana geto linakua hostel
Yaaap ukiwa na huruma sana litageuka gest bubu, misosi utanunua kila siku, m nilishakua na mshikaji fulani tulikutana tu nilipoanza kukaa gheto, jmaa ratiba za msosi zote kwangu, anakuja kugongea tu daily... Sikua na shida kwenye chakula tatizo akifika nimekula anataka nimpikue hapo ndo tulishindana..
Mda mwingine anakuja kupiga story ikifika saa 4 analala gheto kwangu. Siku nyingine kapata demu akaniomba gheto alitumie xx hapi ndo nikaona mazoea yamezidi, gheto langu lenyewe siingizi mademu yy ndo alitumie kisa ni mshikaji wangu.. Nikampa big NO.
Nikapunguza mazoea, kila akiuliza niko wap namwambia niko mishemishe mpaka saa 6 usiku
 
Genye zitakutoa nyumbani na kwenda kupanga pale utakapoona unakosa uhuru wa kugegeda
 
Dah hii kero nisiyoipenda kodi inaisha na gesi nayo imeisha ni hatari
Yaani mkuu unaweza kuhisi vitu vinafanya njama ya kukuhujumu..
Siku ukiwa na pesa huwezi sikia umeme umeisha wala bill ya maji..

Ukiishiwa hela tu gesi inakata + kodi unaanza kudaiwa + umeme + simu inaharibika
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Yaani mkuu unaweza kuhisi vitu vinafanya njama ya kukuhujumu..
Siku ukiwa na pesa huwezi sikia umeme umeisha wala bill ya maji..

Ukiishiwa hela tu gesi inakata + kodi unaanza kudaiwa + umeme + simu inaharibika
 
Hahahaha imenitokea hyo kodi imeisha, gesi imeisha na msosi umeisha, halagu hela nayo itegema ni ya kumdai mtu tena ni mtu mzima nimemdai akasrma nisubir kdgo, halafu akaenda kwa baba yangu mzazi akamuomba amsaidie kuniambia kua nimsubiri kwa miezi 2. Atanilipa
Yaan daaaaahhhh inafikirisha hyo.
Dah hii kero nisiyoipenda kodi inaisha na gesi nayo imeisha ni hatari
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ety kaenda kwa baba mzazi, kwani yeye ndo alimkopa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…