Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kuweka misimamo tu, mi ghetoni kwangu siruhusu washikaji kuja kulitumia, gheto ni kwa ajili yangu na siruhu wadau kuja kushinda gheto kama sehemu ya kupumzika.
Lipe heshima gheto lako, demu aje wa kwako tu, ila mashikaji wasije na mademu zao. Then jiweke busy na mishe zako mshikaji akihitaji kuja gheto mwambie subir nirudi..
La Sivyo hautakua huru na gheto lako.. Mi nawapiga chini masela wengi tu, mtu anakuja kulala ghetoni kwako bila sababu maalumu, haiwezekani bhana. Akalale gheto kwake au kama hana gheto akomae kwao.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] sa unakuta geto hushindi apo na ikitokea basi ni mara 2 kwa wiki au ukiwepo mchana basi usiku haupo labda upo kwenye mihangaikoGhetto utakuwa unalipa kodi mwenyewe na washkaji wote watahamia humo,solution ni kuwa na Demu king'ang'anizi kila time yupo ghetto
Ni kuweka misimamo tu, mi ghetoni kwangu siruhusu washikaji kuja kulitumia, gheto ni kwa ajili yangu na siruhu wadau kuja kushinda gheto kama sehemu ya kupumzika.
Lipe heshima gheto lako, demu aje wa kwako tu, ila mashikaji wasije na mademu zao. Then jiweke busy na mishe zako mshikaji akihitaji kuja gheto mwambie subir nirudi..
La Sivyo hautakua huru na gheto lako.. Mi nawapiga chini masela wengi tu, mtu anakuja kulala ghetoni kwako bila sababu maalumu, haiwezekani bhana. Akalale gheto kwake au kama hana gheto akomae kwao.
Yaaap ukiwa na huruma sana litageuka gest bubu, misosi utanunua kila siku, m nilishakua na mshikaji fulani tulikutana tu nilipoanza kukaa gheto, jmaa ratiba za msosi zote kwangu, anakuja kugongea tu daily... Sikua na shida kwenye chakula tatizo akifika nimekula anataka nimpikue hapo ndo tulishindana..[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Dah aisee, ukiwa na huruma sana geto linakua hostel
Kama cjakupata (cjaelewa umemaanisha n) vileila mkuu mbona kama umetoka kwenye ban
Dah hii kero nisiyoipenda kodi inaisha na gesi nayo imeisha ni hatariMi tatu tu...
Lakini sio mchezo.. kodi ikikaribia kuisha gesi nayo inaisha , simu itaharibika ,umeme unabaki unit 0.6 yaani unaweza kulia
Hahaha mkuu umenikumbusha mbali sana aseeeKuna kipindi nilikosaga demu kisa ghetto.nilikuwa bado sijatoka home.
Demu kagoma kwenda guest.
Daah
Ila guest ni pahala kwa kujidai sana asee tofauti na magetoni....Watu wengine kuingia gest kwao ni mwiko mzee.unaweza ukafosi akaenda kukupandishia mashetani chumbani
ko manzi wengi wanapenda ue na geto sio
Yaani mkuu unaweza kuhisi vitu vinafanya njama ya kukuhujumu..Dah hii kero nisiyoipenda kodi inaisha na gesi nayo imeisha ni hatari
Yaani mkuu unaweza kuhisi vitu vinafanya njama ya kukuhujumu..
Siku ukiwa na pesa huwezi sikia umeme umeisha wala bill ya maji..
Ukiishiwa hela tu gesi inakata + kodi unaanza kudaiwa + umeme + simu inaharibika
Dah hii kero nisiyoipenda kodi inaisha na gesi nayo imeisha ni hatari
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ety kaenda kwa baba mzazi, kwani yeye ndo alimkopaHahahaha imenitokea hyo kodi imeisha, gesi imeisha na msosi umeisha, halagu hela nayo itegema ni ya kumdai mtu tena ni mtu mzima nimemdai akasrma nisubir kdgo, halafu akaenda kwa baba yangu mzazi akamuomba amsaidie kuniambia kua nimsubiri kwa miezi 2. Atanilipa
Yaan daaaaahhhh inafikirisha hyo.
Dah hatari sanaYaani mkuu unaweza kuhisi vitu vinafanya njama ya kukuhujumu..
Siku ukiwa na pesa huwezi sikia umeme umeisha wala bill ya maji..
Ukiishiwa hela tu gesi inakata + kodi unaanza kudaiwa + umeme + simu inaharibika