Umuhimu wa kukaa ghetto

Umuhimu wa kukaa ghetto

Usisahau kuwa geto kupiga pasi ndefu kwa siku ni kitu cha kawaida,sio siku 1 umepiga pasi ndefu unaanza kupiga simu wakurushie hata buku 5
 
Nakumbuka kipindi naanza maisha ya magetoni nilinunua tv kabla ya godolo,niliomba ruhusa kazini alafu nikaazima CD 15 nilikuwa nakesha hadi asbuhi naangalia Tv,ila swala la usafi kwangu ilikuwa mtihani.
 
Hii kitu ina umhimu wake aisee, natamani siku moja nipange room, nianze kujitegemea, kikubwa room yangu sitaki ikose Pad na Tv kwa ajili ya game, yaani game kwa kwenda mbele.

Mbali na uchumi kwangu kua mgumu, kitu inayonikimbiza kupanga, ni kupika kupika so kazi ya kitoto aisee, alafu kuna na kudeki unaweza ukavunjika ata uti wa mgongo kisa kuinama inama asubui.

mambo ya kufagia, sasa apo ndo tutamalizana na majirani.

alafu uzuri wa geto nasikia ua kuna watu wanatafunwa kama mihogo, wakuu wekeni wazi usumbufu ulioko geto, raha za geto, pamoja na mihangaiko,
Unafanya mazoezi kweli? Au kukaa kitako na video games ndio mwisho.
 
Usisahau kuwa geto kupiga pasi ndefu kwa siku ni kitu cha kawaida,sio siku 1 umepiga pasi ndefu unaanza kupiga simu wakurushie hata buku 5
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] io nshashuhudia kwa wana
 
Gheto linahitaji hekima ktk swala la umeme maana unaweza toana meno na wapangaji wenzako au mama mwenye gheto.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nasikia umeme ua unatembea balaa
 
usafi sio mimi tu hasa hasa kudeki
Nakumbuka kipindi naanza maisha ya magetoni nilinunua tv kabla ya godolo,niliomba ruhusa kazini alafu nikaazima CD 15 nilikuwa nakesha hadi asbuhi naangalia Tv,ila swala la usafi kwangu ilikuwa mtihani.
 
ila mizunguko yangu ni mazoezi tosha, na huo mda wa mazoezi sina
 
Apa sina cha kuchangia,ila cheki maana ya gheto kwenye dictionary
 
Ghetto utakuwa unalipa kodi mwenyewe na washkaji wote watahamia humo,solution ni kuwa na Demu king'ang'anizi kila time yupo ghetto
Ni kuweka misimamo tu, mi ghetoni kwangu siruhusu washikaji kuja kulitumia, gheto ni kwa ajili yangu na siruhu wadau kuja kushinda gheto kama sehemu ya kupumzika.
Lipe heshima gheto lako, demu aje wa kwako tu, ila mashikaji wasije na mademu zao. Then jiweke busy na mishe zako mshikaji akihitaji kuja gheto mwambie subir nirudi..
La Sivyo hautakua huru na gheto lako.. Mi nawapiga chini masela wengi tu, mtu anakuja kulala ghetoni kwako bila sababu maalumu, haiwezekani bhana. Akalale gheto kwake au kama hana gheto akomae kwao.
 
Back
Top Bottom