Patra31 JF-Expert Member Joined Apr 24, 2020 Posts 6,918 Reaction score 13,885 Aug 31, 2021 #21 Kijukuu cha ngoyayi said: Tunasamehe ila kusahau ndio mbinde Click to expand... Hautakiwi kusahau ili uweze chukua tahadhari kwa wakati ujao
Kijukuu cha ngoyayi said: Tunasamehe ila kusahau ndio mbinde Click to expand... Hautakiwi kusahau ili uweze chukua tahadhari kwa wakati ujao
Aladeen04 JF-Expert Member Joined Sep 6, 2016 Posts 3,524 Reaction score 5,731 Aug 31, 2021 #22 Tungekuwa tunabadilishiwa kumbukumbu tungekuwa na uwezo wa kusamehe. Ukimuona tu aliyekukosea unakumbuka yooote, unasamehe vipi hapo?
Tungekuwa tunabadilishiwa kumbukumbu tungekuwa na uwezo wa kusamehe. Ukimuona tu aliyekukosea unakumbuka yooote, unasamehe vipi hapo?